Kumbukumbu katika picha ya shambulizi baya la kigaidi septemba mwaka 2001 kwenye majengo ya world trade center huko marekani

Kumbukumbu katika picha ya shambulizi baya la kigaidi septemba mwaka 2001 kwenye majengo ya world trade center huko marekani

Moja ya mabaki ya gari ya zimamoto ikiwa imehifadhiwa kwenye makumbusho ya National September 11 memorial and Museum huko Newyork.
FB_IMG_1756652173047.jpg
 
Skyscraper view .... majengo haya mawili yaliyokuwa fahari ya New York kabla ya September 11 2001 kwa sasa imebaki history
FB_IMG_1756652581630.jpg
 
Mitaa ya pembezoni ya manhattan kwa mbali view ya majengo pacha yalikuwa yanaonekana. Mitaa hii ilikuwa sehemu ya wapenzi kukutana ili ku enjoy magnificent view
FB_IMG_1756652829641.jpg
 
Maafisa wa zimamoto na uokozi wakikatiza katikati ya mabaki ya Wtc eneo la Ground zero. Muda mfupi baada ya majengo hayo kuporomoka.
FB_IMG_1756652950796.jpg
 
Miaka ya 1970s view downtown manhattan.. hakika isingetegemewa miaka 30 baadaye majengo haya yangebaki History
FB_IMG_1756653093119.jpg
 
Katika majengo haya ya Wtc , hili jengo la pili ingawaje lilikuwa la pili kugongwa na ndege na kulipuliwa, ndilo lilikuwa jengo la kwanza ku collapse kiasi cha kubaki vumbi na majivu.
FB_IMG_1756653258358.jpg
 
Ndege ziligonga ghorofa za juu, ikawaje jengo zima likaporomoka mpaka chini??

Ilikuaje Osama akakengeuka?

Maisha ya waislam hasa wenye asili ya kiarqbu hali zao zilikuaje baada ya hilo shambulio??
 
Ndege ziligonga ghorofa za juu, ikawaje jengo zima likaporomoka mpaka chini??

Ilikuaje Osama akakengeuka?

Maisha ya waislam hasa wenye asili ya kiarqbu hali zao zilikuaje baada ya hilo shambulio??
Nchi nyingi za kiarabu zilishangilia hili tukio sana.
 
Gari ya zimamoto Ladder 118 ikipita kwenye daraja la Brooklyn ikiwahi eneo la mkasa la zero ground September 11 2001. Maafisa wote waliopo kwenye hii gari hawakufanikiwa kurudi wakiwa hai baada ya vifusi kuwafunika wote baada ya majengo hayo kuporomoka.
Maafisa waliokuwa ndani ya hii gari ya zimamoto ni; vernon cherry miaka 49, Leon smith 48, Robert regan 45, Pete vega 36, joey agnello 35 pamoja na Scott davidson 33. Maafisa hawa wote walikufa eneo la mkasa huu wakijaribu kuokoa.
FB_IMG_1756665743800.jpg
 
Picha hii ikionyesha impact zone baada ya ndege flight 11 ilipobamiza north Tower kwa kasi ya 495 miles/hr. Kati ya floor ya 93 na 99 ikiuwa wote waliokuwa ndani ya ndege hii pamoja na mamia waliokuwa ndani ya jengo hili la WTC. Inadaiwa mafuta yaliyokuwa kwenye ndege yalichuruzika hadi kwenye shaft za lift za umeme na kusambaza moto kwenye floor za chini kwa kasi .
FB_IMG_1756666245479.jpg
 
Picha hii ya miaka ya 1970 ikionyesha ujenzi wa majengo ya Wtc ukiendelea
FB_IMG_1756666772159.jpg
 
Hapa ni baadhi ya boat zikikimbia kutoka eneo zilipokuwa zimeegeshwa eneo la manhattan muda mfupi baada ya majengo ya wtc kuporomoka .
FB_IMG_1756666944001.jpg
 
Back
Top Bottom