Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
Bado wapo hai hawa warembo?Manusura wawili kushoto ni mrembo Joanne capestro akiwa na mfanyakazi mwenzake wakiwa wametapakaa vumbi na uchafu baada ya kuokolewa kutoka ghorofa ya 87 kwenye north Tower ya Wtc September 11 2001.View attachment 3461420