Nawasalimu natumaini tukopoa na wagonjwa Mungu atujaalie afyazetu ziimarikemnisamehe Kam sitakuwa na mtiririko mzuri
Leo imekuwa sikunnzuri ya kumbukumbu nzuri maishani mwangu
Kama kitu nilibahatika ni kuwa mtotowake
Mama aliwahi kunambia kabla ya kuzaliwa kwangu babayangu alikuwa asiejali Kabisa kuhusu future yake ila baada ya mama kushika ujauzitowangu alibadilika sana
Nilivozaliwa na kuanza kupata akili sijawahi kumuona babaang akigombana na mama Wala kumrushia kibao marazote Huwa anarudi kazini mapema hata akichelewa Huwa lazima ale chakula Cha usiku na sisi
Nikiwa na miak 6 Nakumbuka nilipata ajali ya kukatwa na chupa mguuni nikicheza kwenye mvua niliumia vibaya alinibeba mgongon kutoka Kwa mfipa had tumbi hakuona aibu Wala hakujali watu watamuonaje na alihakikisha napata matibabu tukarudi wote akiwa kanibeba hivohivo 🥰
Kipind hiki Cha ugonjwa sikuweza kutembea alikuwa anamsaidia mama kuniogesha akirudi kazin jioni na kunifundisha maana sikuwa naenda shule kabisa
Ilikuwa lazima Kila mwisho wa mwez arudi na vinywaji na nyama nyingi nyumbani
Alikuwa Mpenz wa supu na nyama choma hivo sikuhiyo tunabaki mm na yeye jikoni ananifundisha kuchoma nyama tunapika na ugali mama tunamuita aje kula tu 😍
Licha ya kuwa mkali(jeshi) na kuwa na hasira lakini alikuwa hatoi adhabu Zaid yafimbo Kwa watoto,alikuwa anahakikisha mnaenda shule smart kufua kilasiku na kupiga pasi Ilikuwa ni lazima na akiona unazubaa anakupigia pas mwenyew
nakumbuka alishindwa kula sababu sikuonekana nyumbni Kwa mud nilopangiwa nilicheza kupitiliza alinitafuta sanaile siku na alivonipata hakuongea chochote Zaid y kunambia nikalale
Kiukweli maishayngu na babayngu yamenifanya niwe positive kilasiku Kwa wanaume naona nina bahat kulelewa na babayule pia nilikuwa naona namna anavopambana kuhakikisha tunaishi vizuri
Alipata ulemavu wa vidole viwili akiwa kazini ila nilielewa ni katika kuhakikisha tunakuwa katika mazingira safi
Sijawahi msikia mamayangu akimsema vibaya hata baada ya kifo chake
Matukio ni mengi sitaki niwachoshe ❤️
Kiukweli Nina bahat sana
Natamani watotowangu wapate baba mzuri kama alivokuwa babuyao 🥰🥰🥰
Na Mungu awalinde wanaume mnaolea vizuri watoto wenu
Nimegundua namna tunavolea watoto Ndio matokeo ya mienendo na tabia zawatoto zinavyopatikana
I didn’t have to go searching for a role model when I grew up, I’ve always had one since the day I was born–my hero dad is my first and only role model.”❤️❤️❤️