Kumbukumbu nzuri kwenye maisha yangu(Baba yangu)

Hongera Kwa appreciation Kwa Mzee I hope na Mimi niwe Baba bora Kwa wanangu
Sijui kwanini? Wadada wengi wanapenda kuwa na wanaume kama Baba zao

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Ni Kweli lakin Kuna ambao hawakupata nafas kulelewa Kwa sababu za kibinadamu au mpango wa Mungu
Nina mdogo wangu Kwa mama Mkubwa nine years hajamuona Wala kwenda kumsalimia babayake na baba Hana time na mtoto na hawakai mbali sana nauli ni kmaa elf 20 tu
 
Maisha ya mama yako yalimjenga baba yako kuwa vile. Wenza pia humuamlia mwenzie aishi vp ijapo siyo mara zote.
 
Mkuu Aaliyyah kwanza nakupongeza kwa kukumbuka mema ya marehemu baba yako. Ni jambo jema. Lakini, Kwa Mfipa hadi Tumbi ni safari ndefu-upite Mwendapole, Tanita, Kwa Matias, Kwa Mbonde, Picha ya Ndege, Usalama hadi Tumbi. Wakati huo hakukuwa na daladala na hiace za kupitia Tumbi? Au ndiyo umeongeza chumvi kunogesha wema wa baba?🤣🤣🤣
 
Aendelee kupumzika kwa amani Baba Kweli alikua anakupenda sana!!
Sana kipenzi nakumbuka wakat naanza sekondari alikuwa mbali na nyumbani Yani vifaa vya shule anataka utaje kama vilivyo kwenye fomu hakuna kusema hiki hakina lazima ni cash anasema wew mama kaziyako kusoma tu mengine niachie Mimi
 
Wanangu siku Moja watakuja kuandika this Khs baba Yao,huyu black mamba ana mapungufu mengi sana ila Kwa wanae humwambiii kitu kwakweli anajitoa mpk tone lake la mwisho ,najiona nimefanikiwa sana kuwapa wanangu baba mwenye kuwapenda na kuwalinda at any cost.
 
Maisha ya mama yako yalimjenga baba yako kuwa vile. Wenza pia humuamlia mwenzie aishi vp ijapo siyo mara zote.
 
Zilikuwepo tulipanda lakin nikiwa mgongoni muda wote lakn kutoka tulipoish had kituoni ni kaumbali na hakwenda na mama kabisa tulikuwa wawili tu
 
Maisha ya mama yako yalimjenga baba yako kuwa vile. Wenza pia humuamlia mwenzie aishi vp ijapo siyo mara zote.
Thank you na nshukuru pia najua yapo ambayo wamekwazana ila sijawahi kuona nakumbuka Kuna siku Hadi nilikuuliza hiv mama baba aliwahi kukupiga akasema aliwahi mpiga kibao kimoja 😀na sababu Ilikuwa alimuachamdogowang ndani akawa analia alikuwa nje Kwa jirani mtoto alilia sana ni maramoja katika maishayake
 
Zilikuwepo tulipanda lakin nikiwa mgongoni muda wote lakn kutoka tulipoish had kituoni ni kaumbali na hakwenda na mama kabisa tulikuwa wawili tu
Sasa nimekuelewa. Nilidhani alitumia ujeshi wake kukubeba kukimbia/kutembea nawe hadi Tumbi. Tumbi napajua sana kwakuwa ndiko nilikozaliwa. Baba apumzike mahali pema, hakika alikuwa bora. Inakuwaje baba/mama humpendi mwanao??
 
Hongera sana kipenz Muombee sana na waombee wanae wawe watoto wenye kushukuru Kwa neema hiyo kubwa tunaona kilasiku watu wanavopata watoto na kiwatelekeza wamama na watoto wao
 
Sasa nimekuelewa. Nilidhani alitumia ujeshi wake kukubeba kukimbia/kutembea nawe hadi Tumbi. Tumbi napajua sana kwakuwa ndiko nilikozaliwa. Baba apumzike mahali pema, hakika alikuwa bora. Inakuwaje baba/mama humpendi mwanao??
Nashukuru Kwa kunielewa
Nami Huwa najiuliza hivo ni roho za ainaa gani unakula vizuri Mahotelin huku mwanao anatembea tako moja liko nje naa unalala usingiz kabisa
 
Sana kipenzi nakumbuka wakat naanza sekondari alikuwa mbali na nyumbani Yani vifaa vya shule anataka utaje kama vilivyo kwenye fomu hakuna kusema hiki hakina lazima ni cash anasema wew mama kaziyako kusoma tu mengine niachie Mimi
Hakutaka mwanae uhangaike kabisa!!
Alikua baba mzuri!
 
What a loving father lol!!

Wabarikiwe sana wababa wanaojali familia zao!!
 
Awesome. Nadhani anafurahi huko alipo kwa ushuhuda huu. Apumzike kwa amani. Wababa wenzangu,tujitahidi kuwa na amani ktk familia zetu. Mbegu nzuri humea.
 
Hongera sana mkuu kwa kuwa na baba bora Mungu aendelee kumpumzisha pahala pema. Sisi wengine malezi ya Baba tunayasikia tu kwa watu but sitotaka mtoto wangu apitie hayo maisha namuomba Mungu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…