Farey_King
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 461
- 838
Mimi nimekuelewa sana,ila hao wanaosema wamepita Cuba basi nawaambia mtego huoMtego gani nduguyangu mbona kama umeenda mbali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimekuelewa sana,ila hao wanaosema wamepita Cuba basi nawaambia mtego huoMtego gani nduguyangu mbona kama umeenda mbali sana
Hili nalo mkalitazame[emoji1787][emoji1787]Aya bhana
ubarikiweKiukweli maishayngu na babayngu yamenifanya niwe positive kilasiku Kwa wanaume
Thanks baby, ila Nilikuwa ndani(rumande)😂🤣🤣😀😀Pole na majukumu
We boyaaaubarikiwe
kama kawa....We boyaaa
Dah Kaka, sio poa. Yule boya(dereva) alikimbia kesi.kama kawa....
pole kijana, ndo changamoto za kunogesha maishaDah Kaka, sio poa. Yule boya(dereva) alikimbia kesi.
👉So Waka nipigia kwenda, nikawekwa ndani usiku mshamba_hachekwi
Naelewa Kaka, now Ninacho focus nacho Ni how to bounce back.pole kijana, ndo changamoto za kunogesha maisha
Hahaaa. Hao achana nao. But nipo serious ujue...Lete connection ila sio kama Hao kwenye avatar Yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una-simp mno.Baby Aaliyyah nice 😍😍, ila huezi amini ndo nime fika home.
👉Afu uwe una Nipa tag special baby😂🤣
Aendelee kupumzika kwa amani..., Zaidi sana Mshukuru Mungu kwa muda aliokupatia kuwa naye, hakika ulitosha kukuweka ulivyo!Nawasalimu natumaini tuko poa na wagonjwa Mungu atujaalie afya zetu ziimarike.
Leo imekuwa siku nzuri ya kumbukumbu nzuri maishani mwangu
Kama kitu nilibahatika ni kuwa mtoto wake.
Mama aliwahi kunambia kabla ya kuzaliwa kwangu baba yangu alikuwa asiyejali kabisa kuhusu future yake ila baada ya mama kushika ujauzito wangu alibadilika sana.
Nilivyozaliwa na kuanza kupata akili sijawahi kumuona baba yangu akigombana na mama wala kumrushia kibao, mara zote huwa anarudi kazini mapema hata akichelewa huwa lazima ale chakula cha usiku na sisi
Nikiwa na miaka 6 nakumbuka nilipata ajali ya kukatwa na chupa mguuni nikicheza kwenye mvua, niliumia vibaya alinibeba mgongoni kutoka kwa Mfipa hadi Tumbi hakuona aibu wala hakujali watu watamuonaje na alihakikisha napata matibabu tukarudi wote akiwa kanibeba hivyo hivyo [emoji3059]
Kipind hiki cha ugonjwa sikuweza kutembea alikuwa anamsaidia mama kuniogesha akirudi kazini jioni na kunifundisha maana sikuwa naenda shule kabisa
Ilikuwa lazima Kila mwisho wa mwezi arudi na vinywaji na nyama nyingi nyumbani
Alikuwa Mpenzi wa supu na nyama choma hivyo siku hiyo tunabaki mimi na yeye jikoni ananifundisha kuchoma nyama tunapika na ugali mama tunamuita aje kula tu [emoji7]
Licha ya kuwa mkali(jeshi) na kuwa na hasira lakini alikuwa hatoi adhabu Zaidi ya fimbo kwa watoto, alikuwa anahakikisha mnaenda shule smart kufua kila siku na kupiga pasi Ilikuwa ni lazima na akiona unazubaa anakupigia pasi mwenyewe
Nakumbuka alishindwa kula sababu sikuonekana nyumbani kwa muda nilopangiwa, nilicheza kupitiliza alinitafuta sana ile siku na alivyonipata hakuongea chochote zaidi ya kunambia nikalale
Kiukweli maisha yangu na baba yangu yamenifanya niwe positive kila siku kwa wanaume naona nina bahati kulelewa na baba yule pia nilikuwa naona namna anavyopambana kuhakikisha tunaishi vizuri
Alipata ulemavu wa vidole viwili akiwa kazini ila nilielewa ni katika kuhakikisha tunakuwa katika mazingira safi
Sijawahi msikia mama yangu akimsema vibaya hata baada ya kifo chake
Matukio ni mengi sitaki niwachoshe. Kiukweli Nina bahati sana
Natamani watoto wangu wapate baba mzuri kama alivyokuwa babu yao [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Na Mungu awalinde wanaume mnaolea vizuri watoto wenu. Nimegundua namna tunavyolea watoto ndio matokeo ya mienendo na tabia za watoto zinavyopatikana
I didn’t have to go searching for a role model when I grew up, I’ve always had one since the day I was born–my hero dad is my first and only role model.”[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Kumanisha Nini??🤔🤔Una-simp mno.
Always huwa nawakubali wadada wanao appriciate Baba zao.Nawasalimu natumaini tuko poa na wagonjwa Mungu atujaalie afya zetu ziimarike.

Always I appreciate your comments on farthers.God bless u.Baba ni watu Wema sana wakiplay part ya malezi vizuri....hongera cute