Kumbukumbu nzuri kwenye maisha yangu(Baba yangu)

Kuna watu mmebahatika sana maishani.... I wish nami ningepata malezi ya wazazi wangu wote wawili ila lucky wasn't in my side.......ila fresh tu ndio maisha lakini
 
Aendelee kupumzika kwa amani..., Zaidi sana Mshukuru Mungu kwa muda aliokupatia kuwa naye, hakika ulitosha kukuweka ulivyo!
Asante kwa kushare nasi... tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwake.
 
Always huwa nawakubali wadada wanao appriciate Baba zao.
Wanaume tujitahidi Sana kuwalea watoto wetu wa kike na huwa wanatupenda Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…