Kumbukumbu ya Hayati Magufuli isiwe sikukuu ya kitaifa, ifanywe na CCM

Siku ya kitaifa?!!!
Then itafika wakati nchi itakuwa na utitiri wa siku za kitaifa!
Acheni huo ulimbukeni bhana
 
Tafuta mike uzunguke mitaani mikoa yote uchukue sample ya maoni ya watu live kuhusu huompango alafu urudi humu utuambie wenye nchiyao wanapendekeza.
 
Kweli kabisa huyu anatakiwa kuenziwa siku ya mashujaa, shujaa aliyetaka kuua siasa ya vyama vingi nchini
Tanzania hakuna vyama serious vya siasa hapa niunafiki na upigaji tu.

Hapa viongozi wa vyama vya siasa wakisha hakikishiwa ulaju na watawala wanatulia na kufanya maigizotu.
 
Marehemu hasemwi vibaya wakati kila uchao tunawasema vibaya kina Idd Amin na Hittler?? Au wale hawakuwa binadamu?

Utavuna ulichopanda, wahenga walisema.
 
Hahaha...JPM atawatesa sana.
Atatutesa au tunashangilia kwa ukuu wa mungu kutuondolea zombi lie. Hakika kuanzia sikunile niliamini mungu yupo kabla ya happy sikuamini Kama mungu yupo kwa mateso Yale tuliyopitia mda mchache
 
Tutoleeni ushamba hapa Tutakuwa na siku za kitaifa ngapi? Maana ninyi hamchelewi kuweka hata siku ya Mke wa Mafuguli, acheni anayempenda akazikwe naye CHATO
Tulia wewe, kufa na wewe kama una wivu sana na siku ya kumkumbuka Hayati ili na wewe hawara zako wakuundie siku yako
 
😀😀😀
 
Me nadhani hizi siku za kumbukumbu zingekuwa zinafanywa kimyakimya zisihusishwe na mapumziko ya kitaifa.....
 
Kwani wewe una nini cha kuwafundisha watz kumzidi Magufuli anayekubalika na zaidi ya 90% ya Watanzania?

Hiyo data ya asilimia 90 uliipata wapi.? Mwaka 2015, Magufuli alipata asilimia 57 ya kura zote Tena zingine kwa wizi. Ndio maana 2020 kaamua kuharibu uchaguzi kwa hasira kwa kuogopa kushindwa na Lissu.
 
VIP unaowakumbuka walifanya yote mazuri una roho nyeusi kama mkaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…