Mohamed Said ukweli hujidhiri, Boywise kajiunga 2017 March 20.Boywise,
Nguruvi3 anasema ati wewe mgeni katika mjadala huu.
Kaguswa na ukweli uliomueleza tena kwa utulivu.Kleist na wanawe watatu wote walishiriki katika siasa za uhuru wa Tanganyika na kuunda TANU
Hekima ya mjadala ni kuzungumza kwa staraMzee huyo yericko ana chuki binafsi na wewe ndio maana anajifanya mjuaji sana hata ukiona mtu hataki kukosolewa huyo anarudi kwenye kundi la wapumbavu sio wajinga
Mohamed mimi sijaandika historia ya Kivukoni, TANU, Kicheba, Magoroto au Magila. Majibu niyatoe wapi?Xungura na Boywise,
Kuna mengi ya kusikitisha jinsi historia hii ilivyopigwa vita.
Angalia hapa chini mkasa uliomfika mama wa Kiingereza Paula Park.
Huyu mama aliandika makala, ''An Unsung Hero?’ Africa Events, London,
November 1986 p.48:
''Mwaka a 1986, miaka miwili kabla, baada ya takriban miaka ishirini na tano ya ukimya, Ally Sykes alikubali kufanya majadiliano na mwandishi wa Kiingereza kutoka Africa Events, Paula Park. Park akachapisha majadiliano aliyofanya na Ally Sykes kuhusu ukoo wa Sykes na mchango wao katika historia ya uhuru wa Tanganyika. Makala ile iliposomwa Ally Sykes akawa anapata simu kutoka kwa marafiki zake na kwa wafanyabiashara wenzake wakitaka uhakika kama yale yaliyoandikwa katika gazeti lile kweli yeye ameyasema. Haukupita muda mrefu, maofisa wa Idara ya Uhamiaji walimtembeleaPark na kumuomba aondoke nchini.''
Kutoka kitabu cha ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...''
Sasa hebu unganisha hii ilipate mtiririko anza na historia ilipotaka
kuandikwa na Abdul Sykes na Wilbert Klerruu, kisha njoo na kisa
cha Hassan Upeka alipolipa jopo la Kivukoni College ''notes'' za Abdul
Sykes kuhusu TAA na TANU na huu mkasa wa Paula Park.
Hapa sijaweka makala yangu, ‘In Praise of Ancestors’ Africa Events, London,
March/April 1988, pp. 37-41, makala iliyosababisha toleo zima likusanywe
lisisomwe.
Kisa nini?
Jibu nawaachia Nguruvi3 na Yericko Nyerere.
Kuna mengine ingieni hapa:
Kwanza, sikuandika historia yoyote, unaponitaka nikupe majibu unanionea.Kwenye huu mjadala
Yeriko ni mdini na nguruvuvi pia maana hawajibu hasa kwa nini hostoria ya waislamu ilifichwa na sababu gani ilifanywa historia yao ificha
Tena kitakuwepo hata baada yetu. Vipo vitabu vya mwaka 1300 miaka 20 si mingiNguruvi3 na Mtanganyika,
Tutakuwa tunakwenda na kurudi palepale.
Duara la ''merry go round.''
Kitabu sasa kipo mwaka wa 20 yaani miongo miwili na nakala ya Kiingereza
tuko toleo la pili na la Kiswahili toleo la tatu.
Kitabu kimeingia katika ''reviews,'' ndani ya Cambridge Journal of African
History.
Wote waliokipitia wamesema kitabu kimekuja na habari mpya na imeongeza
ufahamu wa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Kama nilivyosema, ''the untold story...'' hakika historia hii ilikuwa haijaandikwa.
Nguruvi,Mohamed mimi sijaandika historia ya Kivukoni, TANU, Kicheba, Magoroto au Magila. Majibu niyatoe wapi?
Sasa kama unajua , unawaambia wasomaji waniulize kwa lipi? Hao wa TANU ninahusiana nao vipi?Nguruvi,
Hilo la wewe kuwa hujaandika kitabu nalijua.
Si wewe tu uliokuwa huna majibu.
Hata hao walioandika historia ya TANU wamebaki kimya.
Mohamed bandiko 170 nilikueleza hatari unayoijenga. Hii hapa ni moja ya hatari hizoHongera mzee wetu Muhammad saidi kwa kazi unayo ifanya mungu atakulipa ingawa unaitwa mdini usihuzunike kwa kuwa history iko hivyo inaonyesha waislam ni asilimia kubwa ndio walianzisha vugu vugu la kudai uhuru sasa ukisema kweli baadhi ya wakristo wenzangu hawapendi wewe tuelimishe dini yako baki nayo wewe sisi tupe history ili watoto wetu tuje kuwafundisha history ya kweli ya tanganyika
Ilikuwa mwaka 1927 ndipo chama cha AA kiliundwa kwa msaada wa Gavana wa Kiingereza nchini Tanganyika Sir Roland Davidl Cameron na Dr Agrey raia wa Ghana mwenye mtaa Kariakoo ya leo, huyu Mghana alikuwa mshauri wa kisheria na kimuundo tu, kikawa kinafanyia shughuli zake nyumbani kwa Rais wa kwanza wa AA bwana Cecil Matola kutoka kabila la wayao, na miaka mitatu baadae, yaani 1930 ndipo wakapata jengo toka kwa Gavana Donald Cameron, hapo ndipo picha hii ilipigwa,
Mwaka 1933 Cecil Matola alifariki dunia, na nafasi yake ikakaimiwa na katibu mkuu wa AA Bwana Kleist Sykies (ambae baba yake mzee Platanta alikuwa ni muhamiaji haramu toka Afrika Kusini aliyefika Tanga na kuanzisha makazi huko baada ya kuwa mateka wa wajerumani vita ya kwanza ya dunia), mpaka mwaka 1948 chama kilipobadilishwa jina nakuwa TAA chini ya Rais wake Daktari Vedasto Kyaruzi (Mhaya),
Hapo Rais wake wa kwanza wa TAA akawa Daktari Vedasto Kyaruzi, na katibu akawa Abdulwahid Klest Sykies, miaka miwili baadae, Dr Kyaruzi alihamishiwa Kingolwila hivyo nafasi ya urais wa AA ikakaimiwa na Abdulwahid Kleist Sykies hadi ilipofika uchaguzi wa 1953 ambao Julius Nyerere alimshinda Abdulwahid Kleist Sykies kwakishindo na kuwa Rais wa TAA, Mwaka mmoja baadae Julius Nyerere alibadilisha jina na mrengo wa TAA nakuwa TANU ya kupigania uhuru kutoka chama cha kuratibu shughuli za starehe za weusi (chama cha walevi)
................................................................ Yote kwa urefu yamo katika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi,
View attachment 544629
View attachment 544695
Mohamed Said ukweli hujidhiri, Boywise kajiunga 2017 March 20.
Mimi nawewe tumekuwa katika mjadala mzito kuanzia 2011
Boywise anachouliza hakinigusi ndiyo maana bandiko 170 nimemueleza kwa utulivu na kina
Utakumbuka wakati unaanza mjadala, niliwahi kukuuliza maswali.
Ikiwa leo hii simba wanakula wanadamu Rufiji, miaka ya nyuma Mshume aliwezaje kusalimika na hilo katika kueneza TANU?
Ikiwa baraza kuu la Tanu liliundwa na asilimia 98 Waislam, nini kilitokea asilimia 2 ikazidi nguvu 98?
Tulikuuliza, ikiwa Kleist Sykes alianzisha AA nafasi ya Mwalimu Cecil Matola ilikuwa wapi?
Tukauliza ikiwa Abdul Sykes alimpokea Nyerere alipoingia Dar kwa mara ya kwanza, ni ukweli kuwa ndiyo ilikuwa mara yake ya kwanza?
Orodha ya maswali ni ndefu ambayo hayakuwa na majibu.
Hii maana yake ni kuwa kuandika hakuaaminishi ni kukamilika kwa historia kwani wewe si alpha na Omega. Historia ya Uingereza inasomwa na inaandikwa seuse ya Abdul
Hakuna mtu aliyakataa kushiriki kwa familia ya Sykes au nyingine.
Tulichokataa ni kutaka kumtumia Mwalimu kwa kumlinganisha na Abdul.
Kwamba ukuu wa Abdul hautimii bila mwalimu. Kama utakumbuka tulikueleza watu hao ni tofauti kwa sifa zao, kuwalinganisha si kuwatendea haki na hasa Abdul
Tofauti inayokutia maudhi ni wewe kutaka hadhira ya 'hewalaa, ndiyoo'. Hilo hapana
Unakukumbuka elimu uliyopata hapa kwa hoja za mantiki na nzito
Nikupe mfano, elimu ya utafiti wa takwimu ambayo tunakushukuru umetuelewa
Nguruvi,Mohamed bandiko 170 nilikueleza hatari unayoijenga. Hii hapa ni moja ya hatari hizo
Kwamba, walioanzisha vuguvugu la kudai Uhuru ni Waislam kwasababu ya wingi wao!!!
Pili, kwamba historia uliyoandika ni ya Waislam si ya Tanganyika kama unavyodai
Rejea bandiko 170 unisome kwa utulivu kabisa halafu umsome isk kisha ukanushe kama nilichokueleza si hatari.
Tena kitakuwepo hata baada yetu. Vipo vitabu vya mwaka 1300 miaka 20 si mingi
Kuingia katika review si kukamilika kwa historia, ni sehemu ya historia imeelezwa
Ni kweli kina habari mpya sijui nani anakataa hilo.
Nani alimjua Ayoub Kinyozi ? Nani alijua Nyerere alikwenda sokoni bila hela za mboga? n.k.
Yapo mengi umayaleta katika uso wa habari. Tunakushukuru sana
Ulikuwa karibu sana na familia ya Sykes ambayo umepata nyaraka za kutosha.
Je, hayo yanakamilisha historia?
Absolutely historia yako haikuwahi kuandikwa vinginevyo tungesema umefanya plagiarism, hakuna anayesema hayo.
Umeleta mengi yaliyokuwa hayajulikani. Je, ndio utimilifu wa historia?inafsi
Ninaamini yapo mengi tusiyoyajua na kadri muda unavyosonga tutayajua.
Akitokea mwingine akadunduliza, ni heri kwani kizazi kinabaki na faida.
Kwa mtu mwenye weledi wa kutosha, mnyenyekevu na mwingi wa hekima, kupokea maoni mbadala kwakwe ni faraja.
Asiyetaka kukosolewa, kushauriwa au kupewa maoni mara nyingi huwa na inferiority complex hali inayojitokeza kwa kitu tunachoita kitaalam grandiosity ambayo ni intrinsic
Hatari niliyosema kwa kijana irks ni kuaminisha watu kuwa umeandika historia ya Waislam. Kumbe basi historia ilikuwa na wengine wengi tu kuendelea"Mohamed Said, post: 22738039, member: 12431"]Nguruvi3,
Cecila Matola alikuwapo pamoja na wazalendo wengine kwenye kitabu
cha Abdul Sykes nimeorodhesha majina yote ya waasisi wa African
Association:
Kleist Sykes, Cecil Matola, Mzee bin Sudi, brahim Hamis, Zibe
Kidasi, Ali Said Mpima Suleiman Majisu, Raikes Kusi, na Rawson
Watts.
Wanakumbuka mjadala waje wakanushe kama si kweli Mohamed alisema Abdul ndiye aliyempokea Dar mwaka 1950. Tulikanusha hili kwa hojaHiyo Nyerere, ''mara ya kwanza,'' kupokelewa na Abdul Sykes sijui umeitoa wapi.Angalia hapo chini Nyerere alivyoeleza vipi alikutana na Abdul Sykes:
Swali la ilikuwaje Halmashauri ya TANU ilikuwa na wajumbe Waislam asilimia 98 na bado inaonekana walishindwa nguvu na asilimia 2 aliuliza Mzee Mwanakijiji , namuomba aje hapa anithibitishe au anikanushe.Hiyo orodha yako ya maswali sijapatapo kuiona tafadhali ilete na ikiwa ninayo majibu
In Shaa Allah nitajibu.
Mohamed hivi hukumbuki hata maudhui ya kitabu chako mwenyewe? Tuvute kurasa ?Wala mimi sijapatapo kumlinganisha Abdul na Nyerere
Maandiko yako yanaonyesha hasira, ukijinasibisha na kitabu kufanyiwa review Cambridge n.k. kama ishara ya kutuambia neno.Sijapatapo, ''kuudhika,'' kwa kupingwa kitabu changu.
I mean ulitumia historia kujenga hoja ya uonevu katika elimu kwa kile ulichokiita utafiti wa MSAUDI ambaye basically ulikuwa wewe na pengine wenzakoSijaelwa unakusudia nini kuhusu elimu ya ''takwimu.''
Tutasoma na kama watu wenye upeo wa kuelewa tutaleta fikra katika maandishi yako. Hakuna bughudha isipokuwa rekodi sawaPilipili iko shamba wewe unawashwa na nini mjini?
Mmejaa hasad na wivu katika nyoyo zenu mnataka hata kile kisicho chenu kiwe chenu.
Kama una uwezo na wewe andika acha kunibughudhi.
Hakuna bughudha Sheikh, lete zile takwimu za shule za Dar na chuo kikuu tuzijadiliKama una uwezo na wewe andika acha kunibughudhi.
Mzee MohamedMohamed mimi sijaandika historia ya Kivukoni, TANU, Kicheba, Magoroto au Magila. Majibu niyatoe wapi?