Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Mkuu Mag3 , nikushuru umepita huku. Kitambo kidogo tulimwacha mzee na ngano.
Hivi karibuni nimerejea katika bandiko la Yericko nikakutana na mauza uza

Nashukuru umesoma majadiliano mwanzo. Nilihoji Umanyema baada ya kuukana akisema hakuna Kabila hilo. Nilimuonyesha lipo na analikana tu

Tukaenda taratibu akakubali kabila lipo ingawa wazazi walikuja kama Walungwana kwasababu ya Uislam. Hapo ndipo akasema mila yake ni ya Ibrahim ili kufuta Umanyema

Kuukana Umanyema ni kwasababu akiutaja tu anapoteza sifa za Utanganyika kama mwanaharakati. Ndivyo anavyojitahidi kuwaficha wa South Africa

Kilichotibua nyongo ni kukwepa ukweli akitishia kitabu kuwepo miaka 20, ametoa mhadhara Cambridge , New York, Kremlin n.k.

Kama ada akaingia kwa Nyerere kumdhalilisha kama asemavyo 'si lolote si chochote' Tukampeleka taratibu

Anasema katiba ya TANU ilinukuliwa kwa Nkrumah kuonyesha Nyerere alibeba tu zigo.

Halafu akasema kuna Sub committee iliandika na kumpelekea gavana.
Hayo yote ni katika kufuta ukweli tunaoujua nani aliandika na wakati gani

Akamshambulia Nyerere, wakati anachukua uongozi atasemaje TAA haikuwa chama cha siasa? Tukamwambia chama cha siasa na mkusanyiko wa wana harakati ni tofauti

Mohamed akaorodhesha watu walioandika habari za wanaharakati wa TAA kama za uongo. Tukamwambia ikiwa TAA ilikuwa chama cha siasa katiba ipo wapi?

Waungwana tulimuuliza AA na TAA kama si vikundi vya harakati wapi muongozo wa katiba? akakwama, ndipo unaona crap za red quote ili kuondoa watu katika mkwamo kwa jingine

Tulikataa picha na maelezo ya wapi ametembelea tukitaka ajibu hoja. Hakuna na hawezi!

Lengo lake la kwanza ni kuficha Umanyema, la pili kutumia dini ili kuteka mawazo ya watu na la tatu kumfanya Abdul Sykes juu kuliko Nyerere.

Hili la Abdul halifanikiwa isipokuwa kumdhalilisha Nyerere.
Tulimtahadharisha hiyo ni hatari, mizani ya wawili hao si rahisi tu na si kumtendea haki Abdu

Mohamed anasema Nyerere alileta dhulma kwa Waislam.
Tukamuuliza, watu 100, 98 ni Waislam na 2 ni Wakristo, iliwezakanaje? Flat foot

Hatari anayoijenga ni kwa vijana kuamini historia inauhusiano na maisha yao ya leo

Mohamed anasema alikuwa na kazi na shirika hili na lile alikuwa huku na kule
Kilichomfanya awe hivyo ni jitihada zake binafsi na tunampongeza, lakini asitumie dini na historia kuaminisha watu kuwa mafanikio yao yanategemea babu aligawa kadi za chama wapi!

Silaha yake kubwa, 'anashambuliwa, ameshika ufunguo wa historia, wanaohoji waandike historia zao, ametoa mhadhara Cambridge n.k.''

Anajua yapo asiyoweza kuyatetea na anajua ukweli upo wapi.

Chuki dhidi ya Nyerere haimfanyi Abdul kinara wa nchi na historia, na chuki kwa Abdul haimfanyi Nyerere kuwa juu ya Mwalimu Cecil Matola. Ni ukweli mchungu sana

Historia inaandikwa kwa mlolongo wa matukio. Katika hayo, yapo makundi yatakayokuwa na sehemu yake. Historia iliyokamilika ni 'inclusive'.
Huwezi kuwa na historia ya makabila 100 ukawa na ya kabila 1 tofauti na 99.

Anasahihisha kosa kwa kosa akiaminisha umma anasahihisha.
 
Yericko,
Wewe bado mchanga katika uandishi.
Lakini nakuusudu kwa ujasiri uliokuwanao.

In Shaa Allah utafanikiwa na unaweza ukatajika.

Mtu yeyote yule ajuaye namna minavyoandika akija akasoma katika kitabu chako namna unavyoeleza maisha ya Abdul Sykes hatopata tabu kuona kuwa umeniiga na sababu ni kuwa umepita mle mle nilikopita mimi.

Hukufanya utafiti wowote na huna jipya hata moja.
Yale niliyosema mimi ndiyo uliyokuja na wewe kusema yale yale.

Kitu hiki kinakuondoa katika uandishi unaingia katika kundi linaloitwa, "copy cat."
Kitabu hakiwi kitabu sharti kiwe na jipya.

Kikiwa na jipya ndipo kinapotangazwa dunia nzima kwenye vyuo na maktaba ili wasomaji na khasa wanafunzi wapate elimu mpya.

Mathalan mapinduzi yaliyofanywa na Abdul Sykes na Hamza Mwapachu 1950 hayakuwa yanajulikana na yeyote hata John Iliffe hakupata kuyaandika hadi mimi nilipoyataja katika kitabu changu.

Aliyenihadithia mimi ni Dossa Aziz nikiwa na Ally Sykes nyumbani kwa Dossa Mlandizi.

"Sykes bashing," au ukipenda, "Mohamed bashing," haiwezi kufuta kwa hakika yote mapya niliyoweka wazi katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

(Hii ''concept,'' ya ''bashing,'' nimechomoa kwa ''distant professor wangu Ali Mazrui.)

Kitu kimoja tu kinaweza kikaamsha hisia mpya na kuwavuta watu katika historia hii ni kuandikwa kwa vipi Mwalimu Nyerere aliunda TANU nje ya kile kilichokuwa mikononi mwa Abdul Sykes maana yake hapa ndipo penye jambo lenyewe.

Hili nalo ni jambo zito sana ukitazama kuwa Mwalimu Nyerere alipojiuzulu ualimu alikaa nyumbani kwa Abdul na hizi ndizo zilikuwa siku za mwanzo kabisa za TANU baada ya Nyerere kurejea kutoka UNO March 1955 na katika uchaguzi wa 1953 Abdul Sykes alikuwa Vice-President wakati Nyerere akiwa ndiyo President wa TAA.

Sina haja ya kueleza kuwa TAA imekuwa ndani ya nyumba yao baba yao akiiongoza toka ilipoasisiwa 1929.

Ikiwa hakika una jipya katika historia ya TANU ambalo mie sikulisema kwa makusudi kama msemavyo au kwa kutokujua andikeni kitabu chenu muweka rekodi sawa kama mimi nilivyosahihisha historia zote za TANU zilizopata kuandikwa.

Historia ya TANU ilishaandikwa na wengi kama Saadan Abdu Kandoro, Edward Barongo, Chuo Cha Kivukoni, Abubakar Ulotu nk.

Thomas Molony kaandika kitabu, "Nyerere: The Early Years" na nilikuwapo katika uzinduzi na tulisalimiana.

2014-06-20

Kleist Sykes (katikati) ameshika kitabu Cha Mwalimu Nyerere kulia ni Abdilatif Abdallah

Molony katika kitabu chake hakumgusa Abdul Sykes ila kwa mbali sana lakini kamzungumza sana Chief Kidaha Makwaia na migongano aliyokuwanayo na Nyerere toka kabla ya uhuru.

Nina mengi lakini ngoja nisimame hapa.
Ikiwa unataka kujua mengi katika hayo hapo juu kukuongezea ufahamu ingia hapo chini:
Mohamed Said: KUTOKA JF: MAMA DAISY NA HISTORIA YA CHIEF DAVID KIDAHA MAKWAIA
Mohamed Said: UZINDUZI WA KITABU KIPYA CHA MWALIMU NYERERE: Nyerere The Early Years - Thomas Molony

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulibahatika kukumbukwa mkuu, hongera sana, naona unatimiza tamaduni ya kiafrika yakutokupiga kelele unapokula, maana tulikuwa hatulali...
Wakati mwingine uwa nabaki nacheka peka yangu unawezaje kuwaandaa watu wazima humu JF na kuwalisha uongo kiasi hiki yaani huyu Mzee Cecil Matola, leo hii unamuita Sesilia Matola umembadilisha mpaka jinsia yake daaah! Halafu unapigiwa makofi.

Msiba huu.
 
Yericko,
Wewe bado mchanga katika uandishi.
Lakini nakuusudu kwa ujasiri uliokuwanao.

In Shaa Allah utafanikiwa na unaweza ukatajika.

Mtu yeyote yule ajuaye namna minavyoandika akija akasoma katika kitabu chako namna unavyoeleza maisha ya Abdul Sykes hatopata tabu kuona kuwa umeniiga na sababu ni kuwa umepita mle mle nilikopita mimi.

Hukufanya utafiti wowote na huna jipya hata moja.
Yale niliyosema mimi ndiyo uliyokuja na wewe kusema yale yale.

Kitu hiki kinakuondoa katika uandishi unaingia katika kundi linaloitwa, "copy cat."
Kitabu hakiwi kitabu sharti kiwe na jipya.

Kikiwa na jipya ndipo kinapotangazwa dunia nzima kwenye vyuo na maktaba ili wasomaji na khasa wanafunzi wapate elimu mpya.

Mathalan mapinduzi yaliyofanywa na Abdul Sykes na Hamza Mwapachu 1950 hayakuwa yanajulikana na yeyote hata John Iliffe hakupata kuyaandika hadi mimi nilipoyataja katika kitabu changu.

Aliyenihadithia mimi ni Dossa Aziz nikiwa na Ally Sykes nyumbani kwa Dossa Mlandizi.

"Sykes bashing," au ukipenda, "Mohamed bashing," haiwezi kufuta kwa hakika yote mapya niliyoweka wazi katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

(Hii ''concept,'' ya ''bashing,'' nimechomoa kwa ''distant professor wangu Ali Mazrui.)

Kitu kimoja tu kinaweza kikaamsha hisia mpya na kuwavuta watu katika historia hii ni kuandikwa kwa vipi Mwalimu Nyerere aliunda TANU nje ya kile kilichokuwa mikononi mwa Abdul Sykes maana yake hapa ndipo penye jambo lenyewe.

Hili nalo ni jambo zito sana ukitazama kuwa Mwalimu Nyerere alipojiuzulu ualimu alikaa nyumbani kwa Abdul na hizi ndizo zilikuwa siku za mwanzo kabisa za TANU baada ya Nyerere kurejea kutoka UNO March 1955 na katika uchaguzi wa 1953 Abdul Sykes alikuwa Vice-President wakati Nyerere akiwa ndiyo President wa TAA.

Sina haja ya kueleza kuwa TAA imekuwa ndani ya nyumba yao baba yao akiiongoza toka ilipoasisiwa 1929.

Ikiwa hakika una jipya katika historia ya TANU ambalo mie sikulisema kwa makusudi kama msemavyo au kwa kutokujua andikeni kitabu chenu muweka rekodi sawa kama mimi nilivyoisahihisha historia zote za TANU zilizopata kuandikwa.

Historia ya TANU ilishaandikwa na wengi kama Saadan Abdu Kandoro, Edward Barongo, Chuo Cha Kivukoni, Abubakar Ulotu nk.

Thomas Molony kaandika kitabu, "Nyerere: The Early Years" na nilikuwapo katika uzinduzi na tulisalimiana.

2014-06-20

Kleist Sykes (katikati) ameshika kitabu Cha Mwalimu Nyerere kulia ni Abdilatif Abdallah

Molony katika kitabu chake hakumgusa Abdul Sykes ila kwa mbali sana lakini kamzungumza sana Chief Kidaha Makwaia na migongano aliyokuwanayo na Nyerere toka kabla ya uhuru.

Nina mengi lakini ngoja nisimame hapa.
Ikiwa unataka kujua mengi katika hayo hapo juu kukuongezea ufahamu ingia hapo chini:
Mohamed Said: KUTOKA JF: MAMA DAISY NA HISTORIA YA CHIEF DAVID KIDAHA MAKWAIA
Mohamed Said: UZINDUZI WA KITABU KIPYA CHA MWALIMU NYERERE: Nyerere The Early Years - Thomas Molony

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumekucha JF.
Hatari sana.
 
Wakati mwingine uwa nabaki nacheka peka yangu unawezaje kuwaandaa watu wazima humu JF na kuwalisha uongo kiasi hiki yaani huyu Mzee Cecil Matola, leo hii unamuita Sesilia Matola umembadilisha mpaka jinsia yake daaah! Halafu unapigiwa makofi.

Msiba huu.
Ritz,
Uandishi umekuwa ni zomea zomea kama uonapo hapo chini na mie nimeamua kumnyamazia:

  • vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
  • mzee wa ngano kakimbia!
  • Haitakuondoa kwenye kona, sana sana unaweza kuomba taulo.
  • Nacheka sana nikifikiria kama vikombe na glasi zipo salama hapo nyumbani.
  • Huyu ndiye mtu wa Cambridge ambaye tumempeleka Cambridge, te te h teh.
  • Mkuu Mag3 , nikushuru umepita huku. Kitambo kidogo tulimwacha mzee na ngano.
Shariff pokea picha ya Maalim wangu:

z3HfC_XMYM0scPoE-GEyI9uGvdUFYuFghHRareN_nWPz4L1i5ckvq5SORjWT_ACIHa8iRquHdQ5VW0j8r2h4bb-P3oHO_FeaudL2Bn3_zTv6kiqo8XbVXM-yAeb8W6nmgd3am9Y7kyDuYqjsvDl2OxP79nmo7hHJMDEam8swD3DO-IujXKe6MUTYLUWNssO4pOhW6_lKQrrt5QrIvVnaGg9kb2Y3hq7n9IjuFnHnYl4srCdxewWNe_vK3PFzl31tVcJAGaqZ7KEzIcTJiLPx2ECivgfowe4-XGF-1jJHzeuViVglymGLT-5puj82qbD-znRchdx2d0WBIfiINs_JZP4by_-rPKbQAecnzFUG5J3Pi2El4cLqHab9f52ZwAtWnUQ3YCnDsbCvxFfND1mT7dud5N2wjoXB-sF6ZIQBqk3h79WNjjftKfrnb_uCn4cK26rdPYAQru9a0jtC0-CrHmIVuXhY4UcZ06QMkV7qwf0ZUCtiOvmUxrDYDdEghPSuKqFwNfHcHWalXkk88zvtSygwpy5D_Sm7BAJOKSDC-CGCuXZpnweW8iZFh21tbRNUsPy-Ug71spmUObahh_XYqxfjin6-qcZ5foU553HH-47GyGEDnbOHj1po=w867-h629-no

Kulia ni Mwandishi, Prof. Ali Mazrui na Tamim Faraj Muslim University of Morogoro Kampala Nile Hilton 2003.

''Moyo huwa hausahau kile ambacho jicho la kamera limeona.''
 
Gavana Sir Cameroun si kwamba alitoa tu msaada wa kuundwa kwa AA, alitoa pia nyumba ya kukutania ambayo baada ya kifo cha Rais wa kwanza wa TAA Mwalimu Cecil Matola, Myao mzawa na msomi, umiliki wake ulileta utata hadi leo. AA ilikuwa chama cha starehe na madai ya Mohamed Said kuwa harakati za kisiasa zilianza wakati huo hazina ukweli wowote. Eti wahamiaji ndio waliongoza harakati za kudai uhuru kama vile Watanganyika hawakuwepo ni porojo ulioanzishwa na Mohamed Said kuhalalisha Utanganyika wao.
Mag3,
Sina tatizo na fikra yako kwani kughitilafiana ndiyo ubinadamu
wenyewe.

Kitabu changu kipo na kinasomwa.

Njia ya kubadilisha yale niliyoandika ni kwenu kuandika kitabu
mkaeleza historia ya TANU kama mnavyoijua ili kunisahihisha.

Vinginevyo mtabaki nje ya ulingo wa historia hii ambayo sasa
imefuta zote zilizotangulia.

Hili nimelisema mara nyingi sana sijui vipi linakushindeni.
 
Ritz,
Uandishi umekuwa ni zomea zomea kama uonapo hapo chini na mie nimeamua kumnyamazia:

  • vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
  • mzee wa ngano kakimbia!
  • Haitakuondoa kwenye kona, sana sana unaweza kuomba taulo.
  • Nacheka sana nikifikiria kama vikombe na glasi zipo salama hapo nyumbani.
  • Huyu ndiye mtu wa Cambridge ambaye tumempeleka Cambridge, te te h teh.
  • Mkuu Mag3 , nikushuru umepita huku. Kitambo kidogo tulimwacha mzee na ngano.
Shariff pokea picha ya Maalim wangu:

z3HfC_XMYM0scPoE-GEyI9uGvdUFYuFghHRareN_nWPz4L1i5ckvq5SORjWT_ACIHa8iRquHdQ5VW0j8r2h4bb-P3oHO_FeaudL2Bn3_zTv6kiqo8XbVXM-yAeb8W6nmgd3am9Y7kyDuYqjsvDl2OxP79nmo7hHJMDEam8swD3DO-IujXKe6MUTYLUWNssO4pOhW6_lKQrrt5QrIvVnaGg9kb2Y3hq7n9IjuFnHnYl4srCdxewWNe_vK3PFzl31tVcJAGaqZ7KEzIcTJiLPx2ECivgfowe4-XGF-1jJHzeuViVglymGLT-5puj82qbD-znRchdx2d0WBIfiINs_JZP4by_-rPKbQAecnzFUG5J3Pi2El4cLqHab9f52ZwAtWnUQ3YCnDsbCvxFfND1mT7dud5N2wjoXB-sF6ZIQBqk3h79WNjjftKfrnb_uCn4cK26rdPYAQru9a0jtC0-CrHmIVuXhY4UcZ06QMkV7qwf0ZUCtiOvmUxrDYDdEghPSuKqFwNfHcHWalXkk88zvtSygwpy5D_Sm7BAJOKSDC-CGCuXZpnweW8iZFh21tbRNUsPy-Ug71spmUObahh_XYqxfjin6-qcZ5foU553HH-47GyGEDnbOHj1po=w867-h629-no

Kulia ni Mwandishi, Prof. Ali Mazrui na Tamim Faraj Muslim University of Morogoro Kampala Nile Hilton 2003.

''Moyo huwa hausahau kile ambacho jicho la kamera limeona.''
Teh Teh teh.
Anashangilia goli mpira hata ujavuka chaki.

Uwa nacheka sana.

Haya maneno kaandika nguruvi3? Kweli kila zama na wakati wake.

Hivi kuna mtu wa kukumbiza JF labda aje na AK-47/74 - Shotgun na bado zitapigwa tu.
 
Msaada wanaukumbi.

Huyu Sesilia Matola tunayemjadili hapa tumekubaliana kuwa kwli alikuwa ni mwanamke?
 
Mag3 na Yericko Nyerere

Kuna kitendawili cha umiliki wa jengo alilotoa gavana. Sina kumbu kumbu kama tuliwahi kujadili hadi mwisho! Nadhani kulikuwa na utata. Mwaweza nikumbusha kidogo!
 
Teh Teh teh.
Anashangilia goli mpira hata ujavuka chaki.

Uwa nacheka sana.

Hivi kuna mtu wa kukumbiza JF labda aje na AK-47/74 - Shotgun na bado zitapigwa tu.
Ritz,
Iko siku baada ya kuandika historia ya Abdul Sykes kwa mukhtasari
katika Africa Events baada ya mapambano na Dr. Kiwanuka kuhusu
historia ya TANU (kisa hiki ni mashuhuri hapa jamvini ikiwa kama
kuna asiyekijua aseme nitakileta In Shaa Allah).

Ahmed Rashad Ali na Abdul Sykes walikuwa marafiki toka utoto
wao 1939.

Sasa yeye kaisoma ile makala na Ahmed Rashad ndiye alikuwa
mwakilishi wa Library of Congress, Tanzania.

Ilikuwa siku ya Eid Kubwa kaniona msikiti wa Kitumbini akanifata
kanikumbatia anatetemeka machozi yanamtoka.

Ananambia, ''Mohamed usimwamdike Abdul namna ile unatuliza sisi...''

Ahmed Rashad Ali alikuwa anajua kila kitu vipi Abdul aliunda TANU
na nimesoma mengi kwake.

Wazee wote Dar es Salaam wakiijua historia hii hata siye wadogo tukiona
mengi ila hatukuwa na uwezo wa kutafakari na kujua nini kilikuwa
kinafanyika.
 
Tutasoma na kama watu wenye upeo wa kuelewa tutaleta fikra katika maandishi yako. Hakuna bughudha isipokuwa rekodi sawa

Mohamed unajua kurudia jambo mara nyingi kwa lugh yetu sisi wataalam ni obsessions.

Hivyo ukiulizwa swali unajibu swali siyo kutuleta makala za kitabu ambacho kipo twaweza kusoma
Kila siku unaulizwa maswali simple unaleta hadithi ndeefu unnecessarily, please usiturudishe mduara.

Kauli ya kujibizana na mtu ukahisi unajibizana na watu 100 kwa lugha yetu ya kitaalam tunaita 'paranoia'.
Yaani unahisi kuna watu wanakufuata au ''kukushambulia'' na umesema hili hata kama huna ushahidi

Swali: Ikiwa Halmashauri kuu ya TANU ilikuwa na 98% Waislam, nini kuandikana kuweka mambo mengine sawa ?

Hiyo rekodi utaweka sawa bila kuandika historia uijuavyo?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Gavana Sir Cameroun si kwamba alitoa tu msaada wa kuundwa kwa AA, alitoa pia nyumba ya kukutania ambayo baada ya kifo cha Rais wa kwanza wa TAA Mwalimu Cecil Matola, Myao mzawa na msomi, umiliki wake ulileta utata hadi leo. AA ilikuwa chama cha starehe na madai ya Mohamed Said kuwa harakati za kisiasa zilianza wakati huo hazina ukweli wowote. Eti wahamiaji ndio waliongoza harakati za kudai uhuru kama vile Watanganyika hawakuwepo ni porojo ulioanzishwa na Mohamed Said kuhalalisha Utanganyika wao.
Mag3,
Niliopokuwa mwanafunzi wa historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
wakati mwingine nikimsahihisha mwalimu wangu kwa kumweleza kuwa
jambo fulani si sawa ingawa liko katika vitabu.

Mwalimu ataniomba, ''source,'' yangu nami nitajibu kuwa, ''source,'' yangu
ni baba yangu.

Darasa zima litaaangua kicheko.
Mimi nitawaomba wanisikilize.

Hapo ndipo huwa patamu.

Dakika mbili tu darasa zima linakuwa kimya kabisa wananisikiliza ninavyoyataja
majina na sehemu nini kilifanyika na nani walikuwapo.

Ofisi ya African Association na Shule ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika zote
zikiwa New Street zilijengwa wakati wa uongozi wa Kleist Sykes tena kwa kujitolea
kila Jumapili wakijenga wananchi wenyewe.

Abdul Sykes anahadithia kuwa alipokuwa mtoto alikuwa anafuatana na baba yake
pale ofisi za AA na akiona ile nyumba ikijengwa.

Silazimishi mtu kuamini lakini babu yangu Salum Abdallah alikuwapo na baba yangu
pia.

Anaetaka kujua historia ya babu yangu katika TANU na kupigania uhuru na aingie hapo
chini:
Mohamed Said: KUTOKA JF: BABU YANGU SALUM ABDALLAH
 
Hiyo rekodi utaweza sawa bila kuandika historia uijuavyo?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Maalim Faiza,
Sijui ni nini lakini kila ninapowasoma hawa ndugu zangu na ghadhabu
zao huwa nashangaa sana.

Kwa nini hili la kuunda TANU linawatoa roho na kuwaghadhibisha kiasi
hiki.

Namshukuru Allah kwa kunijalia ujuzi huu na Allah lipanue kaburi la
mwalimu wangu na mlezi wangu Bi. Mwanaidi bint Sheikh.

Alikuwa nilipokuwa mtoto haishi kunielezea habari za baba yake
niliyechukua jina lake na kunieleza vipi kashika kitabu anasomesha.

Akisema na wewe ukisoma utakuwa unadarsisha watu kama babu yako.
Alhamdulilah.

Kisha mama anasema, ''Khabari zako ataniletea mchunga mbuzi kaburini.''
Maalim Faiza,
Hivi ninavyoandika machozi yananilengalenga.

Iko siku niko Marekani msemaji ananitambulisha kabala sijazungumza.
Kanipamba sana...

Picha ya mama yangu ikanijia nusra niangue kilio mbele ya watu nikajikaza
kichwa nimeinamisha napanda ngazi moja baada ya nyingine.

Mama alikuwa na dua yake mara kwa mara akinisomea, ''Allah mkinge
mwanangu na husda.''

Yeye ndiye aliyeniambia kuwa husda inakausha mgomba uliokuwa umenawiri.
 
Maalim wangu siku zote ukiona mtu anarusha matusi basi ujue hoja zimeisha, muwe radhi.

Nakumbuka ilm ya Maalim wako wa Madrassa aliyokupa na jinsi yankufanya mijadala na watu wenye matusi.

Ahsantaa.
Ritz,
Naam Maalim Haruna ndiye aliyenisomesha ilm ya mnakasha.

Akisema kuwa huingii katika mjadala kushinda mjadala bali
kusomesha na ikiwa itakuja hoja ya kweli ichukue uelimike.

Kisha akitufunza adab.

Akisema fanya staha katika mjadala na ukiona mwenzio anaingiza
yasiyo na maana kaghadhibika basi mwache hadi apoe.
 
Hataki kujikita katika mada, analeta maneno maneno ili tuache mada, no way
Tupo naye tu mzee Cambridge. Povu ni kwasababu hana jibu na vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini. No tupo naye
Mlisema mtakuja na historia, mwaka wa sita huu, iko wapi?

Maneno na porojo ni myepesi sana lakini ukweli na kuandika historia ni vitu tofauti.

Tazama huyo anaejiita Yericko Nyerere utumbo aliokuja nao na kudanganya upo Amazon.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Mag3,
Niliopokuwa mwanafunzi wa historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
wakati mwingine nikimsahihisha mwalimu wangu kwa kumweleza kuwa
jambo fulani si sawa ingawa liko katika vitabu.

Mwalimu ataniomba, ''source,'' yangu nami nitajibu kuwa, ''source,'' yangu
ni baba yangu.

Darasa zima litaaangua kicheko.
Mimi nitawaomba wanisikilize.

Hapo ndipo huwa patamu.

Dakika mbili tu darasa zima linakuwa kimya kabisa wananisikiliza ninavyoyataja
majina na sehemu nini kilifanyika na nani walikuwapo.

Ofisi ya African Association na Shule ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika zote
zikiwa New Street zilijengwa wakati wa uongozi wa Kleist Sykes tena kwa kujitolea
kila Jumapili wakijenga wananchi wenyewe.

Abdul Sykes anahadithia kuwa alipokuwa mtoto alikuwa anafuatana na baba yake
pale ofisi za AA na akiona ile nyumba ikijengwa.

Silazimishi mtu kuamini lakini babu yangu Salum Abdallah alikuwapo na baba yangu
pia.

Anaetaka kujua historia ya babu yangu katika TANU na kupigania uhuru na aingie hapo
chini:
Mohamed Said: KUTOKA JF: BABU YANGU SALUM ABDALLAH
weka ushahidi "et babu yangu alikuwepo",sasa kila mtu akija babu yangu alikuwepo!
'kembuliji' ndo ulipeleka hiz ngano!
wacha porojo weka ushahidi mybe uwe unaandika hadithi zako za riwaya na wala sio historia
 
Back
Top Bottom