Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Mkuu Mag3 , nikushuru umepita huku. Kitambo kidogo tulimwacha mzee na ngano.
Hivi karibuni nimerejea katika bandiko la Yericko nikakutana na mauza uza
Nashukuru umesoma majadiliano mwanzo. Nilihoji Umanyema baada ya kuukana akisema hakuna Kabila hilo. Nilimuonyesha lipo na analikana tu
Tukaenda taratibu akakubali kabila lipo ingawa wazazi walikuja kama Walungwana kwasababu ya Uislam. Hapo ndipo akasema mila yake ni ya Ibrahim ili kufuta Umanyema
Kuukana Umanyema ni kwasababu akiutaja tu anapoteza sifa za Utanganyika kama mwanaharakati. Ndivyo anavyojitahidi kuwaficha wa South Africa
Kilichotibua nyongo ni kukwepa ukweli akitishia kitabu kuwepo miaka 20, ametoa mhadhara Cambridge , New York, Kremlin n.k.
Kama ada akaingia kwa Nyerere kumdhalilisha kama asemavyo 'si lolote si chochote' Tukampeleka taratibu
Anasema katiba ya TANU ilinukuliwa kwa Nkrumah kuonyesha Nyerere alibeba tu zigo.
Halafu akasema kuna Sub committee iliandika na kumpelekea gavana.
Hayo yote ni katika kufuta ukweli tunaoujua nani aliandika na wakati gani
Akamshambulia Nyerere, wakati anachukua uongozi atasemaje TAA haikuwa chama cha siasa? Tukamwambia chama cha siasa na mkusanyiko wa wana harakati ni tofauti
Mohamed akaorodhesha watu walioandika habari za wanaharakati wa TAA kama za uongo. Tukamwambia ikiwa TAA ilikuwa chama cha siasa katiba ipo wapi?
Waungwana tulimuuliza AA na TAA kama si vikundi vya harakati wapi muongozo wa katiba? akakwama, ndipo unaona crap za red quote ili kuondoa watu katika mkwamo kwa jingine
Tulikataa picha na maelezo ya wapi ametembelea tukitaka ajibu hoja. Hakuna na hawezi!
Lengo lake la kwanza ni kuficha Umanyema, la pili kutumia dini ili kuteka mawazo ya watu na la tatu kumfanya Abdul Sykes juu kuliko Nyerere.
Hili la Abdul halifanikiwa isipokuwa kumdhalilisha Nyerere.
Tulimtahadharisha hiyo ni hatari, mizani ya wawili hao si rahisi tu na si kumtendea haki Abdu
Mohamed anasema Nyerere alileta dhulma kwa Waislam.
Tukamuuliza, watu 100, 98 ni Waislam na 2 ni Wakristo, iliwezakanaje? Flat foot
Hatari anayoijenga ni kwa vijana kuamini historia inauhusiano na maisha yao ya leo
Mohamed anasema alikuwa na kazi na shirika hili na lile alikuwa huku na kule
Kilichomfanya awe hivyo ni jitihada zake binafsi na tunampongeza, lakini asitumie dini na historia kuaminisha watu kuwa mafanikio yao yanategemea babu aligawa kadi za chama wapi!
Silaha yake kubwa, 'anashambuliwa, ameshika ufunguo wa historia, wanaohoji waandike historia zao, ametoa mhadhara Cambridge n.k.''
Anajua yapo asiyoweza kuyatetea na anajua ukweli upo wapi.
Chuki dhidi ya Nyerere haimfanyi Abdul kinara wa nchi na historia, na chuki kwa Abdul haimfanyi Nyerere kuwa juu ya Mwalimu Cecil Matola. Ni ukweli mchungu sana
Historia inaandikwa kwa mlolongo wa matukio. Katika hayo, yapo makundi yatakayokuwa na sehemu yake. Historia iliyokamilika ni 'inclusive'.
Huwezi kuwa na historia ya makabila 100 ukawa na ya kabila 1 tofauti na 99.
Anasahihisha kosa kwa kosa akiaminisha umma anasahihisha.