Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
- Thread starter
-
- #101
Wapo wanaodai ilikua kafara ya mkapa ctaki kuamin juu ya hilo
na kumbuka nilimpoteza mjomba Wang Aliamin abubakary kachwamba...mungu amulaze mahali pema peponi.. ameen
Pole sn mkuu. Na pole kwa wahanga wote wa kadhia hii.
Nakumbuka familia ya LutanjukaWapumzike kwa amani marehemu wote,kwakweli ni tukio la kusikitisha hasa kwa watu waliopoteza ndugu na jamaa zao katika ajali hiyo.
JK alisema atawapa meli mpya wamefikia wapi