Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996


Mkuu wa mkoa wa Kagera aliisimamisha safari zake takribani miezi miwili sasa imepita.
 
Hii ajali imenikumbusha usemi wa baadhi ya watu wanapogombana aliyechukia zaidi humwambia mwenzake HATA NIKIFA SITAKI UJE KUNIZIKA. Inabidi usemi huu ukome kwa sababu waweza zama baharini na wala mwili wako usionekane na huta zikwa kweli.Mungu awapumzishe kwa amani waliokufa kwa ajali hii.
 
Nakumbuka nilikuwa ndo tunamaliza mock ya form four kuna dogo form one anatuambia kuna meli imezama, watu wakaanza kumtukana atoe definition ya boat. Hiyo itakuwa boat sio meli. Nilipiga simu home kuomba nauli maza analia. It was terrible....
 
Ngojen tu iyo ahadi ataewaletea meri kubwa maana anastaafu 2017 so muda bado upo
 
...hii meli ilizama basi tu sababu ya umasikini wetu,ilikuwa inazama taratibu km tungekuwa na vifaa vya uokoaji naamini wangepona watu wengi sana.Halafu mbaya zaidi akatokea "genius" akashauri itobolewe!, yani wenyewe ndio tukaharakisha upotevu wa uhai wa watu wetu?!
...so sad indeed!
R.I.P.
....tutawakumbuka daima.
 
Umenikumbusha Mwalimu Paschal. Bado yupo Nyamagana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…