Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]
 
Kamtafute mwanao mkuu.....epuka laana kwa vizaz vyako
 
Wala ila sikupendezwa kula chakula changu ili hali angeweza kuagiza chake na nilimuuliza mbona haagizi akadai hana njaa hapa ndio alinikera, hajaagiza chakula chake anakuja kula chakula changu.
Ndo maana jamaa akakwambia we ni MCHOYO kuwa muelewa basi
 
Umezingua kinoma mwanaume unakosaje kitambaa ila hilo wenge limenifanya nicheke sana .

Ndugu yangu mtoto wamkulima ndo kwanza nilikua najifunza kuwa gentremen ata tissue tuu sikua najua matumiz yake ata wallet ni tip nilopewa na rafik yang kua kweny date nisitoe ela mfukon inabid niwe na wallet sema ndo ukuaji wenyewe inabid kukosea kwanza.
 
🙆🙆😂😂🔥
 
Kweli kabisa maisha ni safari tunajifunza mengi sana.
 
[emoji1][emoji1][emoji1]aah saivi namwona tu wakawaida sijui ndo kukua kwenyewe ila tupo fresh hua nampiga taff mambo madogo madogo ila sinampango wa kutoka nae wala kumla.
Nitumie picha yake nimwone....🤣
 
Nitumie picha yake nimwone....[emoji1787]

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ni maarufu sana mtandaoni asee ni slayqeen lazima utamjua tuu we nenda kwenye page ya PISIKALITZ af ukiona mdada anafanan na wachagga kina Tunda mweupe anapenda kuvaa vimini na kofia za mvilingo ndo uyo uyo[emoji16][emoji16] last tip juzjuz alikua na tatizo na mangekimambi walitibuana kabla accnt ijafungwa apo utamjua ila picha situmi asee[emoji16]
 
Qmmk
 
Upande mwengine wa hadithi. Kila siku tunasikia jinsi wanaume wanavyowananga wanawake, angalau leo imekuwa kwa upande wa pili
 
Hahahahahahah daaah!!!! Misunderstood
 
mh ulimpeleka demu guest zanzibar???
heb tuambie ulimjingizaje kama sio mkeo au mm ndio nimesoma vibaya au ni zanzibar ya pale kigoma ujiji
Wewe ndio hujui
Guests bubu unguja zipo nyingi sana.
Kulala ni kuanzia saa tatu na nusu usiku..
Ukienda mapema hupati chumba mana ni muda wa show time tu.
 
Ulimwonea tu. Huyo alikuwa keshapaniki. Likely hana self esteem na ulivyo pisi kali basi alikuwa haamini kama kweli umekubali kutoka naye. Hata ungempa mechi siku hiyo asingeweza 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…