Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

Niliopoa binti mmoja somewhere. Baada ya wiki mbili tukawa na appointment ya kuchakatana. Wakati tuko mezani tunapata vinywaji, akawa kama vile ana wasiwasi, akapoteza kujiamini kabisa. Nikimuuliza kuwa kama hayuko sawa, anasema nisijali yuko sawa.

Kuingia room no.47 kwa ajili ya mbususu, binti anakuwa mgumu sana kuvuliwa, kama utani nikabahatika kumvua. Nilichokiona sasa, mkuyenge wa kama nchi nne juu ya papuchi ya binti! Niliskika nikisema, "Ah Agh ah Am, ngoja kwanza,Nimesahau tissue nakuja" Suruali nilienda kuivalia kaunta, wakuu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]
 
Mwaka 2009 wakati nipo kikazi Visiwani Zanzibar kuna mdada nilikutana nae yule dada bhana ni wa zenji ni swala tano haswa,kuna siku nipanga tukutane kwenye kamgahawa furani hivi aisee alikuja kavaa ijabu na nikabu juuu alafu ilikuwa night kiukweli nilikwazika mno tulivyoachana,

Nikamweleza sikupenda ulivyovaa wakati tuna date akaniomba nimsamehe date ya pilu ilifanyikia gest kiukweli siku hii nilimsaliti mke wangu na mwanamke wa kipemba kilichofanya nisiendelee nae tena yani tumetoka kudate faragha na nilikuwa nikipiga na withdraw ila cha kushangaza anasema ana mimba nilimblock pale pale mpaka leo hata sijuaigi yuko wapi yule binti.
Kamtafute mwanao mkuu.....epuka laana kwa vizaz vyako
 
Wala ila sikupendezwa kula chakula changu ili hali angeweza kuagiza chake na nilimuuliza mbona haagizi akadai hana njaa hapa ndio alinikera, hajaagiza chakula chake anakuja kula chakula changu.
Ndo maana jamaa akakwambia we ni MCHOYO kuwa muelewa basi
 
Umezingua kinoma mwanaume unakosaje kitambaa ila hilo wenge limenifanya nicheke sana .

Ndugu yangu mtoto wamkulima ndo kwanza nilikua najifunza kuwa gentremen ata tissue tuu sikua najua matumiz yake ata wallet ni tip nilopewa na rafik yang kua kweny date nisitoe ela mfukon inabid niwe na wallet sema ndo ukuaji wenyewe inabid kukosea kwanza.
 
Nikiwa 1St yr Chuo, kuna siku nilikua na appointment na mtu fulan, daaah tulipokutan kumbe kaja na rafiki zake, afu m1 wapo n mtu wa mtaan kwetu na pia n classmates wangu wa primary,

Nlijisikia vibayaaa sanaaa, sikuwa huru japo nilijikaza kukaa tyuuh palee, baada ya kuagana na kuondoka, nkamuambia kila mtu ashike 40 zake, na tufanye km hatujawahi kujuana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cha ajabu sasa classmates ndo akaanza kunisumbua na yeye, pia nikamfungia kioo,, sitaki mazoea ya kupitiliza, uwiiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
🙆🙆😂😂🔥
 
Ndugu yangu mtoto wamkulima ndo kwanza nilikua najifunza kuwa gentremen ata tissue tuu sikua najua matumiz yake ata wallet ni tip nilopewa na rafik yang kua kweny date nisitoe ela mfukon inabid niwe na wallet sema ndo ukuaji wenyewe inabid kukosea kwanza.
Kweli kabisa maisha ni safari tunajifunza mengi sana.
 
[emoji1][emoji1][emoji1]aah saivi namwona tu wakawaida sijui ndo kukua kwenyewe ila tupo fresh hua nampiga taff mambo madogo madogo ila sinampango wa kutoka nae wala kumla.
Nitumie picha yake nimwone....🤣
 
Nitumie picha yake nimwone....[emoji1787]

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ni maarufu sana mtandaoni asee ni slayqeen lazima utamjua tuu we nenda kwenye page ya PISIKALITZ af ukiona mdada anafanan na wachagga kina Tunda mweupe anapenda kuvaa vimini na kofia za mvilingo ndo uyo uyo[emoji16][emoji16] last tip juzjuz alikua na tatizo na mangekimambi walitibuana kabla accnt ijafungwa apo utamjua ila picha situmi asee[emoji16]
 
Mwaka huu tu nlifanikiwa kupata appointment na demu moja zuri sana. Twende Hotel flani. Siku hiyo kiukweli sikuwa vizuri sana mfukoni nina 100,000 but demu nimemuimbisha karibia mwaka mzima. Siku hiyo akanitext kuwa anajisikia hamu ya kuwa nami.

Nikamwambia afumbe macho a imagibe nipo naye. Akanijibu "mi nilifikiri utaniambia njoo sehemu flani tuonane" hapo moyo ukashtuka maana huyu demu alikuwa hataki nimchape nao. Siku hiyo ananiambia hivyo. Nikajua ni suala la kuonana tu... Nikamuuliza sasa tutakutana wapi. Restaurant gani?

Akaniambia hataki sehemu ya nje. Anataka pia alale kidogo.....daaah hapo nakumbuka nilirusha ngumi hewani.... Haraka nikamwambia navaa awe tayari....

Haraka nikatia funguo gari kuanza tafuta kiwanja tulivu. Basi nikaenda mitaa flani Kinyama kuna hotel kule. Nikachukua chumba cha 50,000 ili 50,000 nyingine tupige msosi na vinywaji baridi.

The akaniambia nikamchukue maana hatotumia gari yake na hataki Uber wala Bolt sababu atatota amevaa dela tu bila kitu kingine. Nikazidi changanyikiwa aisee.....

Nikaenda mchukua nikaja naye uwanjani. Nikawa nmemwambia aelekee reception watampeleka room. Mi nikabaki kwanza kwenye gari ili nisiongozane naye ndani. Kumbe kule wakampeleka ile room hakuipenda ipo ground floor na hakupenda kuna kelele karibu na restaurant.

Akawaambia wampeleke sehemu nyingine wakampeleka ghorofani.akasema huko ndo atasettle. Mi nafika naambiwa mgeni wako kaenda floor flan room namba. Kule ulikochukua mwanzo amekataa...nikajibu sawa nataka kuondoka...mhudumu ananiambia inatakiwa niongeze tsh 20,000 kule juu ni tsh 70,000. Moyo ukashtuka. But nikapiga moyo konde. Nikampa nikabakiwa na tsh 30,000.

Nikapanda lift hadi room. Nikamkuta amejilaza ananisubiri. Huwezi amini mwanzoni mashine ilipatwa na mshtuko. Haikusimama. Kama nusu saa hivi imelala tu. Sikuwahi kutana na incedent kama hiyo maishani. Yeye nimemchezea kaloana kinyama.yaani hata kwa kidole tu anamaliza.

Nikamwambia nimepatwa na mfadhaiko aniache akili ikae sawa. Basi tukaanza stories za kawaida na kusahau tukio. Mashine ikasimama kwa hasira zote. Nilimsugua kinyama...bonge la jidada lenye uzito wa 140ks plus nli enjoy lilikuwa na mzuka kinyama. Mpaka namaliza game ya kwanza....linafurahi. njaa sasa inauma na kiu.

Kupiga simu kuuliza nikapewa Menu iliyopo kuliuliza linadada linataka Chips Makange kuku wa Kienyeji nusu. Kuuliza bei. Naambiwa tsh 25,000 za Kitanzania.... Nikashusha pumzi ndani kwa ndani. Nikamuagizia.

Kikaletwa chakula na juice glass tsh 3,000 imagine nimebaki na tsh 2,000 mfukoni. Akaniuliza why sijaagiza chakula....nikamwambia mi nlitaka maini roast na wali ila wanasema maini mpaka wafuate butchan na mchele ndo waanze kuandaa.

Lidada likawa linakula....but halikuwa lichomo maskini. Likawa lianikatia kipande kidogo linanilisha kwa upendo. Nakataa ...hku nikipewa nakula kupoza hasira ya minyoo tumboni. Maana nayo ilichachamaa kinyama.

Hatimaye likamaliza kula...second game nikaingia kufanya mchakato....nikiwa na njaa.... Nikapiga show vizuri kwa kutimia uzoefu sikumaliza. Ila nikajidai nimemaliza.

Imefika saa 12 jioni inabidi kupiga tena show ya kuagana. Kumbuka nina njaa toka nimepata bfast asubuhi. Na ni lidada hasa so inabidi mimi nihangaike mpaka lenyewe likojoe....ile game ya mwisho wallaah nilikojoa upepo tu.... Nlikuwa nimechoka kinyama...miguu inatetemeka najikaza. Lenyewe ndo likalala hapo hapo....hoi... Nikanywa maji mengi sana.

Mpaka tunaondoka...mimi njaa inauma lenyewe lime enjoy linafuraha nami nusu nafurahi kula ule mzigo kabambe nusu nina huzuni kiafya...sipo poa....

Nashukuru bidada alifurahia sana show...nami nlikula mzigo ambao nimeukimbizia muda mrefu sana....sana.

Juzi juzi hapa nikaliambia....maskini mdada alisikitika sana....baadaye akaanza kunicheka na kunitania....ulitaka nifia kifuani we nyau... But angalau na miili nayo husaidia .....maana nami ningekuwa na mwili mdogo....wallah kingenipata kitu.

View attachment 2367569

Hiii issue hata kama nmetundukiwa drip.....nitataka angalau nipige hata moja.....
Qmmk
 
Hahahaha I went out for dinner with a guy.
Tukaagiza vinywaji pale fresh tukisubiria chakula sasa.
Mimi nikaagiza makange ya samaki yeye akaagiza kuku.

Movie inaanza kwanza kwenye kiti kakaa hatulii, mara ajinyooshe , mara ajikunye, mara anyooshe miguu hadi inafika kwangu ananikanyaga anasema aah sorry bhana.

Mimi namuuliza tu "kila kitu kipo sawa"? Anasema ndio. Mara kila saa anauliza mambo mengine vipi lakini? Mara nimefurahi umekubali kutoka na mimi. Anarudia rudia kila dakika. Basi mimi nishakwazika ila najikaza tu.

Chakula si kikaja? Anakula kama ndama? Yaani ile tafuna khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ng'ombe yaani yaani ni "kata kata kata nyam nyam nyamnm" halafu hiyo kuku anainyofoa vyofoa kama ana mapengo.

Halafu hatulii, mara akapiga glass na kiwiko cha mkono pombe ikamwagikia[emoji1787][emoji1787]. Nikasema hii kali.

Nilivyotoka hapo, nikamblock.
Upande mwengine wa hadithi. Kila siku tunasikia jinsi wanaume wanavyowananga wanawake, angalau leo imekuwa kwa upande wa pili
 
1. Baada ya kunitafuta sana nikaona nimsikilize hata na hivyo nilikuwa bored! Tukapanga siku ya kuonana, cha kushangaza jamaa anang’ang’ania tuonane kuanzia saa5 usiku maana ndo ana muda (anakuwa katoka kazini) na sio kwamba tunaenda kwake au sehemu ya kificho. Nikasema sawa! Siku ya date nimejiandaa vizuri, baada ya kumuelekeza sana mpaka nilipo, hatimaye kufika na kuniambia yuko nje tayari! Kutoka nakuta kaja na eicher (daladala ya tegeta gerezani nadhani). Mhh nikatamani kutoa sababu ya uongo nirudi ndani ila jamaa akawa kama kitu cha kawaida mbona na amechangamka sana nikasema anyway na kujiandaa kote huku wacha niende tu!
Tukaelekea sehemu ya karibu tu maana sikutaka kwenda mbali na ile daladala! Kufika sehemu na baada ya kukaa huku nikitaka kumuuliza maswali mawili matatu, ghafla ananiambia mbona bado unatafuna big g? Nikamjibu si naweka mdomo fresh tu! Ghafla nashangaa mtu katoa kalamu na karatasi ‘minus 1’ yaani kwenye marks zangu keshapunguza moja! Ndipo nikajua nipo na chizi baada ya hapo nilimlima block[emoji18]
Hahahahahahah daaah!!!! Misunderstood
 
mh ulimpeleka demu guest zanzibar???
heb tuambie ulimjingizaje kama sio mkeo au mm ndio nimesoma vibaya au ni zanzibar ya pale kigoma ujiji
Wewe ndio hujui
Guests bubu unguja zipo nyingi sana.
Kulala ni kuanzia saa tatu na nusu usiku..
Ukienda mapema hupati chumba mana ni muda wa show time tu.
 
Hahahaha I went out for dinner with a guy.
Tukaagiza vinywaji pale fresh tukisubiria chakula sasa.
Mimi nikaagiza makange ya samaki yeye akaagiza kuku.

Movie inaanza kwanza kwenye kiti kakaa hatulii, mara ajinyooshe , mara ajikunye, mara anyooshe miguu hadi inafika kwangu ananikanyaga anasema aah sorry bhana.

Mimi namuuliza tu "kila kitu kipo sawa"? Anasema ndio. Mara kila saa anauliza mambo mengine vipi lakini? Mara nimefurahi umekubali kutoka na mimi. Anarudia rudia kila dakika. Basi mimi nishakwazika ila najikaza tu.

Chakula si kikaja? Anakula kama ndama? Yaani ile tafuna khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ng'ombe yaani yaani ni "kata kata kata nyam nyam nyamnm" halafu hiyo kuku anainyofoa vyofoa kama ana mapengo.

Halafu hatulii, mara akapiga glass na kiwiko cha mkono pombe ikamwagikia[emoji1787][emoji1787]. Nikasema hii kali.

Nilivyotoka hapo, nikamblock.
Ulimwonea tu. Huyo alikuwa keshapaniki. Likely hana self esteem na ulivyo pisi kali basi alikuwa haamini kama kweli umekubali kutoka naye. Hata ungempa mechi siku hiyo asingeweza 😁😁😁
 
Back
Top Bottom