Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

Tafadhali Mabinti zangu wa ef2 Tunzeni sana ujana wenu, Msipende kutumia P2,dawa za uzazi wa mpango mkiwa bado hamjazaa.

Ndio maana mabekitatu na wanafunzi kushika mimba ni haraka sanaa.. wengi wanaharibikiwa wakiwa Chuo/Collage.
 
Umejitahidi kuelezea umeweka mifano lakini wapi,sijaona point yoyote kwenye andiko lako.
Nliatarajia pia utaeeka suluhisho lakini wapi.ni kama kumsengenya mtu tu.

Kuwa na msongo wa mawazo Kwa binadamu aliekamliika haiepukiki.hata wanawake Kuna wakati mambo Yao hayawendei vizuri,Wana changamoto za kimaisha na kimahusiano nk.kama ilivo kwenu.
Wanapita matatizo ya kifamilia,kazini,chuo,shuleni nk.
So sio kitu Cha ajabu.
Wengine wanachaguia kumkimbilia Mungu awasaidie,ndo unawakuta kanisani.
Pili umekosea kusema wakati wa hedhi au mimba changa mwanamke huwa na msongo wa mawazo.ule sio msongo wa mawazo Bali mabadiliko ya hormone kutokana na processes zinazoendelea ndani Yao,zinawaletea mood flani kama kisirani ama hasira fulani.ni kitu natural uncontrol able sio msongo wa mawazo mwaya.

Mwisho wa siku we are human beings like wanaume.kama mnaweza kutupa solution ama kutusaidia fanyeni hivo.
Kukimbilia mitandaoni kuwasema wanawake hakutaleta suluhisho wala matokeo chanya yoyote Kwa faida ya jamii yetu na taifa Kwa ujumla.
 
Tafadhali Mabinti zangu wa ef2 Tunzeni sana ujana wenu, Msipende kutumia P2,dawa za uzazi wa mpango mkiwa bado hamjazaa.

Ndio maana mabekitatu na wanafunzi kushika mimba ni haraka sanaa.. wengi wanaharibikiwa wakiwa Chuo/Collage.
Exactly
 
Mwisho wasiku watakuja hapa watakupopoa kwamba hii reply umeiandika kwa msongo wa mawazo
 
Tafadhali Mabinti zangu wa ef2 Tunzeni sana ujana wenu, Msipende kutumia P2,dawa za uzazi wa mpango mkiwa bado hamjazaa.

Ndio maana mabekitatu na wanafunzi kushika mimba ni haraka sanaa.. wengi wanaharibikiwa wakiwa Chuo/Collage.
Hii ni sehemu moja ya sababu zinazopelekea wengi kukumbwa na msongo wa mawazo hasa pale wanapogundua hawawezi tena kushika mimba na wakati huo wanahitaji kupata mtoto lazima msongo wa mawazo uwe mkali sana kiasi cha kwenda kukesha na kulala kwenye nyumba za ibada ili mbingu ifunguke
 
Mkuu upo sahihi, lakini mwishoni sijapenda kuandika suluhisho au nini kifanyike kwa sababu ambazo nisingependa kuzizungumzia maana zitaanzisha mjadala mwingine ila tu ujue kwenye kugusia baiolojia ya mfumo wa mwili wa mwanamke na utendaji kazi wake ni katika kuonyesha kwamba ni kwa namna gani mwanamke anaishi na msongo wa mawazo na katika kuelezea hilo

Nachelea kusema hata wewe mwenyewe katika maelezo yako umekubariana na mimi kwamba nipo sahihi katika kuelezea hilo ingawa sijaelezea km vile ambavyo ungependa nielezee maana yake aidha nimeingia ndani sana au wewe ulitaka nielezee juu juu tu yaan nisifike kule ila inabidi utambue kwamba kuna wakati msongo wa mawazo unazidi kwa kiwango kikubwa na kwa kipindi hiki nimeona wanawake wengi wanapitia hali hio, wanawake wengi wana msongo mkali wa mawazo sio utani hata kidogo
 
Nimeyasoma maelezo yako yote hatua kwa hatua lakini nimegundua kwamba wewe ndio mwenye msongo wa mawazo tena inaonekana umeachwa na mwanamke ambaye ulimpenda sana aseeee pole sana mkuu ndio maisha ya Dunia yalivyo vumilia utapata mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…