Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

Mkuu siku moja nenda viengo vya akili hospitalini ushuhudie mamia ya vijana wa kiume umri huo na digrii zao wanavyotiririka singeli. Wamevurugwa inasikitisha.
Mkuu katika hali ya kawaida, mwanaume anaweza akafikisha 40 na hana hela kiviile, hajaoa lakini hana msongo wa mawazo. Hawa dada zetu akifikisha 30 alikua anajiona mzuri, halafau hajaolewa anapata msongo. Hali inakua mbaya zaidi akiwa single mother, ni noma! Ukiwa mwenyewe tu unatafuta maisha kuna siku unalala njaa, sasa mfikirie mwenye mtoto au watoto na bado anajitafuta, msongo double.
 
Naona umemwelezea vizuri Miss Natafuta na amekuelewa yaan ni double stress
 
Kuna kanisa moja sijui niite kanisa au sehemu ya kukutania lipo mwenge pale linatazamana na sheli ya BP kuna siku napita pale kuna kagorofa hivi pale juu ni wanakutana wanawake yaan ni balaa ni km wamefikwa na jambo kichwani msongo umechachamaa hatari
🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sasa mbona wanaume wanongoza kufa na pressure kuliko wanawake?
Wanaume wanakufa kwasababu wanapokuwa katika msongo hawana mtu wa kuzungumza naye, pia ni wagumu kulia, wao wanatengeneza sumu zaidi katika mwili, sumu aina ya cortisol inapozidi ndio inapelekea magonjwa ya akili, mawazo ya kujiua, magonjwa ya moyo n.k
 
Kwa hio wanawake wanaitoaje sumu hio mwilini? Elezea kiundani zaidi
 
Ndio mkuu, ila unatakiwa ujue mwanaume anapoishi na mwanamke inabidi aongozwe na akili zake na sio hisia zake, mwanaume ili aishi na mwanamke vizuri kiwango chake cha akili kinabidi kiwe juu kuzidi kiwango chake cha hisia yaan mfano akili atumie 80 mpaka 90% ya akili zake kuishi na mwanamke na hisia zake ziwe ni 10 mpaka 20% tu, ila mwanamke anaishi na mwanaume kwa hisia zaidi sio kwa akili zaidi yaan mwanamke haitaji kutumia akili sana ili aishi na mwanaume maana yeye anatumia hisia zaidi na ndio maana wanaume hawaonyeshi maana hutumia akili kwa kiwango kikubwa kuliko hisia ili kuishi na mwanamke

Nimekujibu angalau
Kwahiyo misongo yenu ya mawazo mmeificha kwenye akili?
 
Wanawake wanatumia sana connection zilizopo katika jamii ili kuzungumza yale yanayowasibu. Mfano ataanza kuzungumza kwa marafiki zake wa karibu wenyewe wanaitana "mashosti " Labda ana watoto pia ile kwake ni faraja pia anapata kutoka kwa watoto, vikimshinda ndio utaona wanaenda sana makanisani na wakiomba huwa huambatana na vilio, hiyo pia ni namna ya kupunguza msongo.

Kwa hio wanawake wanaitoaje sumu hio mwilini? Elezea kiundani zaidi
 
Wanawake wanatumia sana connection zilizopo katika jamii ili kuzungumza yale yanayowasibu. Mfano ataanza kuzungumza kwa marafiki zake wa karibu wenyewe wanaitana "mashosti " Labda ana watoto pia ile kwake ni faraja pia anapata kutoka kwa watoto, vikimshinda ndio utaona wanaenda sana makanisani na wakiomba huwa huambatana na vilio, hiyo pia ni namna ya kupunguza msongo.
Hii isomwe na Hulda-Tamarri
 
Back
Top Bottom