Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

Sasa kutokuonyesha huoni ndio kunasababisha mnakufa haraka kuliko wanawake?
Ndio mkuu, ila unatakiwa ujue mwanaume anapoishi na mwanamke inabidi aongozwe na akili zake na sio hisia zake, mwanaume ili aishi na mwanamke vizuri kiwango chake cha akili kinabidi kiwe juu kuzidi kiwango chake cha hisia yaan mfano akili atumie 80 mpaka 90% ya akili zake kuishi na mwanamke na hisia zake ziwe ni 10 mpaka 20% tu, ila mwanamke anaishi na mwanaume kwa hisia zaidi sio kwa akili zaidi yaan mwanamke haitaji kutumia akili sana ili aishi na mwanaume maana yeye anatumia hisia zaidi na ndio maana wanaume hawaonyeshi maana hutumia akili kwa kiwango kikubwa kuliko hisia ili kuishi na mwanamke

Nimekujibu angalau
 
Ulichojibu na mada yako haviendani.
 
Sasa mbona wanaume wanongoza kufa na pressure kuliko wanawake?
Hili sio swali la kuuliza maana hata wanawake wapo wanaokufa kwa pressure maana pressure ni ugonjwa ambao hata wewe unaweza ukakupata hauchagui jinsia
 
Yani huwa nawaza wanalala saa ngapi..jana usiku saa saba nasikia mdada anaanzisha pambio kanisani..naishi karb na kanisa sio krb sana ila kwa sbb wanatumia vipaza sauti nasikia vzr tuuu...
Yani kuvurugwa pro max
Hali sio hali yaan sio shwari kabisa ni vurugu mechi
 
Yani huwa nawaza wanalala saa ngapi..jana usiku saa saba nasikia mdada anaanzisha pambio kanisani..naishi karb na kanisa sio krb sana ila kwa sbb wanatumia vipaza sauti nasikia vzr tuuu...
Yani kuvurugwa pro max
Kuna kanisa moja sijui niite kanisa au sehemu ya kukutania lipo mwenge pale linatazamana na sheli ya BP kuna siku napita pale kuna kagorofa hivi pale juu ni wanakutana wanawake yaan ni balaa ni km wamefikwa na jambo kichwani msongo umechachamaa hatari
 
Aiseee pole yao..

wafuate ushaur huu..,

"Dont worry about anything, instead, pray about everything. Tell God what you need, and thank Him for all He has done. Then you will experience God's peace, which exceeds anything we can understand. His peace will guard your hearts and minds as you live in Christ Jesus."
Philippians 4:6,7 NLT.
Ndio maana wanakesha kwenye makanisa ya Manabii lakini hawatoboi. Msongo unazidi.
 
Back
Top Bottom