Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

Yeye mwenyew husema,kila anapofikiria shida zake au watu wanapomzingua ananyong'onyea sana lakin akikumbuka kwamba mimi mashine yake ya kumchoronga nipo ghafla tu anapata tabasamu usoni
Unaongeza stress kwa namna nyingine bila kujua
 
Makanisa mengi ya upako huwa wana mkesha ijumaa usiku mpaka jmosi asubuhi,ndio huko unawakuta kina dada na kina mama waliovurugwa na maisha (kama alivyoelezea mtoa mada)wamejazana huko wanasubiri bwana atende
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ngoja nichekeeeeeeee
 
Kwa sababu stress haziondoki kwa kudinywa na kushebyentwa
Labda km anadaiwa boresha
Kwa mm furaha yangu kuwa karibu na mpenzi wangu tuwe karibu Yani Ile karibu siwez kuwa na stress kabisa tukiwa hivo naenjoy sana 🀦
Hata km Sina ela nakuwa na amani πŸ˜€
 
Makanisa mengi ya upako huwa wana mkesha ijumaa usiku mpaka jmosi asubuhi,ndio huko unawakuta kina dada na kina mama waliovurugwa na maisha (kama alivyoelezea mtoa mada)wamejazana huko wanasubiri bwana atende
Hahaha hii kali ya zote kwa hio wamevurugwa? Kalpana
 
Labda km anadaiwa boresha
Kwa mm furaha yangu kuwa karibu na mpenzi wangu tuwe karibu Yani Ile karibu siwez kuwa na stress kabisa tukiwa hivo naenjoy sana 🀦
Hata km Sina ela nakuwa na amani πŸ˜€
Kwa hio akiwa karibu hata asipokushebyenta kwako unakua na amani kabisa no stress?
 
Kwa hio akiwa karibu hata asipokushebyenta kwako unakua na amani kabisa no stress?
Yah ninakuwa na amani na kitu kinachonipa stress akiwa mbali alaf niwe pia sinahela kichwa kinaginga balaa ila akiwepo aahπŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…