Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Aisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga

Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.

Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.

Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
 
Hahah huu mzaha sasa urafiki wa Bananga+Gambo+Msando kumbe huujui,tembelea billionaire's ujione maisha ya ulevi usiku uone Mengi arifu.

Naona rafiki zake Bananga wakiongozwa na yule diwani wa Chadema bwn. Zakaria wa kule Olorieni naona wao walishaunga mkono CCM kitambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…