Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Bananga ndio nani, hizi mbinu tu za kuendelea na Lema.
 
I think hakwenda sababu,alitaka amalizie Udiwani wake then ajaribu Ubunge,etc...

Na pia waunga juhudi madiwani walikua wanapewa dau kidogo,akipiga hesabu ya remaining time na hela atakayolipwa baada ya kustaafu udiwani na salio analopewa now na CCM,it doesnt make sense to him.

That nigga is a snake of some kind....

Sina ushahidi,ila mimi binafsi kwa machale yangu,najitahidi sana nimuamini ila sijafika 100% aisee!

I dont know why!
Anyway, kwa hizi siasa za bongo hakuna wa kuaminika.. kwani nani alidhani mtu kama Silinde, Nasari wangenunulika kirahisi hivo?

Mwisho wa siku siasa ni mchezo kama 'Poker' tu. Huwezi jua mwenzako ana nini.
 
Hapo hamna kitu mzee,pandikizi hilo.

Zamani jamaa alikuaga ni 'the real deal' ila sasa hivi alishaunga mkono juhudi ktambo tu.
Kama ni hivo basi wamle kichwa mapema.. bora abaki Lema ropo ropo...

Ila kama CCM wanataka kuiba jimbo kinguvu, bora wampe Mrisho Gambo
 
Arusha pagumu sanaaaaa ...ndio jimbo pekee litaloleta joto kwenye chaguzi zote za Chadema .....makao makuu yote macho yote Arusha dadadadeki .....
ARUSHA AU MBEYA? BINAFSI NAONA MBEYA NDIO PATALETA CHANGAMOTO
 
Kama ni hivo basi wamle kichwa mapema.. bora abaki Lema ropo ropo...

Ila kama CCM wanataka kuiba jimbo kinguvu, bora wampe Mrisho Gambo
Mpaka sasa CCM wana dawa ya Lema ila hawana dawa ya Bananga ....akishinda Bananga watarudi kwenye drawboard ....
 
Aisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga

Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.

Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.

Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
Tuache demokrasia ya kura iamue.
 
Tuma message kwa kila mjumbe wa mkutano ukimuarifu hayo.
 
Back
Top Bottom