Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Well it’s CDM decision

Nani unadhani utakuwa enforcer wa Mbowe na CDM ukimtoa Lema?

CDM inamuitaji Lema kushinda Lema invyoitaji CDM. In fact upinzani unamuitaji Lema kama askari mzoefu katika harakati zao ambazo bado changa sana kuweza isumbua CCM.

Ni maamuzi ya CDM mwisho wa siku I am just airing my opinion.
Kama ni CDM sawa ila sio wana Arusha ....Mark my word ....twende na Bananga ....
 
Chadema must be very smart ..... Lema watu wa Arusha hawamtakiiiii ...... Bananga amejijenga kitambo huko underground kuliko Lema ....
Sure. Lema watu wamemchoka. Gambo anakubalika Muriet zaidi, infact, walidhani Muriet lingekua Jimbo jipya but tume wamekataa so hapo mjini wakitaka kushinda wampe Bananga ukizingatia pia Mambo ya dini na nn! Hope umenierewa.
 
Bananga kafanikiwa kujijengea ngome pana sana ...Lema akajisahau sana na kuzusha unnecessary conflicts! Sasa makamanda wanataka kufanya kazi na mtu mwingine ....
 
Bananga kafanikiwa kujijengea ngome pana sana ...Lema akajisahau sana na kuzusha unnecessary conflicts! Sasa makamanda wanataka kufanya kazi na mtu mwingine ....
Pengine upeo wake roporopo Ni Mdogo ukizingatia shule hamna mule.
 
Alafu Lema kujitangaza kama vile ameshashinda kura za maoni zimetibua sana ...anajiona kama Arusha ameitia mfukoni wakati Bananga yupo huko underground anajijenga ....
Dr Slaa hajatia nia Karatu ?
 
Alafu Lema kujitangaza kama vile ameshashinda kura za maoni zimetibua sana ...anajiona kama Arusha ameitia mfukoni wakati Bananga yupo huko underground anajijenga ....
Roporopo alifanya Jimbo mali ya familia. Anamuweka Mamsapu Kama Naibu. Ha ha ha. Siasa za nchi zetu hizi ukikosea kitu kidogo wakichanganya na mengine umeondoka.
 
Mwenyekiti asijiloge kulazimisha Mambo maana Oktoba tutampatia surprise mujarabu
 
Back
Top Bottom