Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Mpaka RINGO MACKINTOSH, sasa utasemaje CCM wangeprint form Moja tu?
Nasema hivi hii ni CCM mpya tena ya kisayansi,form za urais ndani ya CCM zimetolewa nyingi sana mpk wino wa Printer ukaisha ila ni vile vile tu wana CCM kama Membe walichelewa tu deadline mkuu.
 
Ni kweli kabisa Mkuu, Kama ambavyo tumeona kule CCM Zanzibar, watia NIA wengi Sana walijitokeza

Kesho Zenji wafanyakazi wote wa serikali wametakiwa kwenda kumpokea Mwinyi huku wakiwa na Nguo za njano/kijani,utakuwepo mkuu.?
 
Kesho Zenji wafanyakazi wote wa serikali wametakiwa kwenda kumpokea Mwinyi huku wakiwa na Nguo za njano/kijani,utakuwepo mkuu.?
Sitakuwepo Mkuu ila kuna watu wataniwakilisha, hapana shaka ningekuwepo Pemba ningehudhuria japo sina Chama chochote, na ningevaa nguo za kawaida tu, hata nyeusi

Sent from my TECNO R6 using JamiiForums mobile app
 
Huko Arusha Mjini, unaambiwa wagombea wengine wawili wamejitoa kwenye kura za Ma ( 334 X 640 ).jpg
 
Hawa jamaa unajua hawaelewani,binafsi nimwamini kabisa bananga kwa sababu yuko karibu sana na alberto ambaye kwa sasa ni kada wa ccm. Anything can happen.
 
Bananga ni msando
Wawili hawa wanajua wanachokifanya
Bananga ni mtupu sana kwenye siasa
Hana na tofauti na waunga juhudi
Lema ni bora zaidi
Binafsi nakuunga mkono sana mkuu, Sijawahi mwamini bananga, na ngoja itokee kashindwa utaona kitakachotokea namwona akiondoka chadema tena kwa kejeli kama umjuavyo. Bora abaki lema namwamini sana yule kamanda, si mtu wa kutusaliti milele.
 
Makamanda Arusha msituangushe ...... mkimleta Lema mtairudisha CCM Arusha rasmi .....mkitaka muone kimuhe CCM twende na Bananga ....
Kwanini hukuwa sehemu ya wapiga kura huko badala yake unajificha kwenye keyboard
 
Back
Top Bottom