mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya makitu yanamwogopa sana Lema na ndio maana yanampigia chapuo huyo wa kofiaHuoni kwamba itakuwa furaha zaidi kwako?
mu ya urais ikatoka moja halafu wino ukaishaHivi haujaona MAFURIKO ya watia NIA kwenye ubunge na Udiwani kupitia CCM?
Lema amenuna utafikiri huo ubunge ametoka nao tumboni kwa mama yake..elimu ndogo..mshamba mkubwa sana huyu.
Kwei aisee Bananga mshamba sana,amenuna kinyama.Jamaa amenuna utafikiri huo ubunge ametoka nao tumboni kwa mama yake..elimu ndogo..mshamba mkubwa sana huyu.
Km ka ubarikio hvi.
Majinga tu!Haya makitu yanamwogopa sana Lema na ndio maana yanampigia chapuo huyo wa kofia
Akisaidiwa na boss wa takukuru.Rushwa ziangaliwe kwa umakini maana Roporopo hachelewi kuhonga
Kwa wakati huu Arusha ni nyepesi kuliko table ya pili....Lema amejiandaa sana kisaikolojia.Arusha pagumu sanaaaaa ...ndio jimbo pekee litaloleta joto kwenye chaguzi zote za Chadema .....makao makuu yote macho yote Arusha dadadadeki .....
Who's Chadema?Bananga,I dont know why,he is fake!
Trully,that nigga is not Chadema 100%!
He is a snake!
Sasa huyo mchonganishi,mfitina,mnafiki haya maneno kasema meko,gambo hafai hata kua katibu kataSure. Lema watu wamemchoka. Gambo anakubalika Muriet zaidi, infact, walidhani Muriet lingekua Jimbo jipya but tume wamekataa so hapo mjini wakitaka kushinda wampe Bananga ukizingatia pia Mambo ya dini na nn! Hope umenierewa.
Hapo kwa Wananchi bado kuna kisanga.Machalii wa Arusha tunaenda Na Bananga jombaaa. Lema analeta chuki ndani ya chama
Mkikosea kumpa Lema, Gambo anapita bila kupingwaSasa huyo mchonganishi,mfitina,mnafiki haya maneno kasema meko,gambo hafai hata kua katibu kata
Tusubiri Oktoba, ndio msema kweliMatokeo:
Lema kura 181
Alli Banaga kura 22
Wapiga kura 203
Kunywa savanah bili niletee,huyo msando mpka harusi yake mbowe alisimamia mwanzo mwisho..leo hii ni takataka tuBananga ni msando
Wawili hawa wanajua wanachokifanya
Bananga ni mtupu sana kwenye siasa
Hana na tofauti na waunga juhudi
Lema ni bora zaidi