Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Rushwa ziangaliwe kwa umakini maana Roporopo hachelewi kuhonga
 
Arusha pagumu sanaaaaa ...ndio jimbo pekee litaloleta joto kwenye chaguzi zote za Chadema .....makao makuu yote macho yote Arusha dadadadeki .....
Kwa wakati huu Arusha ni nyepesi kuliko table ya pili....Lema amejiandaa sana kisaikolojia.
 
Sure. Lema watu wamemchoka. Gambo anakubalika Muriet zaidi, infact, walidhani Muriet lingekua Jimbo jipya but tume wamekataa so hapo mjini wakitaka kushinda wampe Bananga ukizingatia pia Mambo ya dini na nn! Hope umenierewa.
Sasa huyo mchonganishi,mfitina,mnafiki haya maneno kasema meko,gambo hafai hata kua katibu kata
 
Mshindi kura za Maoni Jimbo la Arusha Mjini ( 667 X 640 ).jpg
 
Bananga ni msando
Wawili hawa wanajua wanachokifanya
Bananga ni mtupu sana kwenye siasa
Hana na tofauti na waunga juhudi
Lema ni bora zaidi
Kunywa savanah bili niletee,huyo msando mpka harusi yake mbowe alisimamia mwanzo mwisho..leo hii ni takataka tu
 
Back
Top Bottom