mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Nimewaona akiwemo KAMANDA ABDALLAH ZOMBE.Hivi haujaona MAFURIKO ya watia NIA kwenye ubunge na Udiwani kupitia CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewaona akiwemo KAMANDA ABDALLAH ZOMBE.Hivi haujaona MAFURIKO ya watia NIA kwenye ubunge na Udiwani kupitia CCM?
Nimewaona akiwemo KAMANDA ABDALLAH ZOMBE.
Ndio demokrasi.Mwaka huu ni mgumu sana kwa chadema.
Nasema hivi hii ni CCM mpya tena ya kisayansi,form za urais ndani ya CCM zimetolewa nyingi sana mpk wino wa Printer ukaisha ila ni vile vile tu wana CCM kama Membe walichelewa tu deadline mkuu.Mpaka RINGO MACKINTOSH, sasa utasemaje CCM wangeprint form Moja tu?
Bananga ameshinda!kwa sasa tujikite kwenye kura za maoni
Nasema hivi hii ni CCM mpya tena ya kisayansi,form za urais ndani ya CCM zimetolewa nyingi sana mpk wino wa Printer ukaisha ila ni vile vile tu wana CCM kama Membe walichelewa tu deadline mkuu.
Kesho Zenji wafanyakazi wote wa serikali wametakiwa kwenda kumpokea Mwinyi huku wakiwa na Nguo za njano/kijani,utakuwepo mkuu.?Ni kweli kabisa Mkuu, Kama ambavyo tumeona kule CCM Zanzibar, watia NIA wengi Sana walijitokeza
Bananga alishakula hela ya ccmTwende na Bananga
Sitakuwepo Mkuu ila kuna watu wataniwakilisha, hapana shaka ningekuwepo Pemba ningehudhuria japo sina Chama chochote, na ningevaa nguo za kawaida tu, hata nyeusiKesho Zenji wafanyakazi wote wa serikali wametakiwa kwenda kumpokea Mwinyi huku wakiwa na Nguo za njano/kijani,utakuwepo mkuu.?
Imekuwaje kwaniMsalimie FRANCIS DA DON mzee baba.
Hivi hio kofia kichwani inafanana na ya kiongozi gani hua anapenda kuivaa?
Binafsi nakuunga mkono sana mkuu, Sijawahi mwamini bananga, na ngoja itokee kashindwa utaona kitakachotokea namwona akiondoka chadema tena kwa kejeli kama umjuavyo. Bora abaki lema namwamini sana yule kamanda, si mtu wa kutusaliti milele.Bananga ni msando
Wawili hawa wanajua wanachokifanya
Bananga ni mtupu sana kwenye siasa
Hana na tofauti na waunga juhudi
Lema ni bora zaidi
Kwanini hukuwa sehemu ya wapiga kura huko badala yake unajificha kwenye keyboardMakamanda Arusha msituangushe ...... mkimleta Lema mtairudisha CCM Arusha rasmi .....mkitaka muone kimuhe CCM twende na Bananga ....
Kuweni makini na huyu Bananga
Huoni kwamba itakuwa furaha zaidi kwako?CCM watafanya party Lema akipita ....wana dawa yake huyo ....
Bananga alishakula hela za ccmNdio maana makamanda wamemtuma ....