Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Aisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga

Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.

Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.

Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
Hatuangalii mtu tunataka chama ili kiongoze nchi
 
Unapokuwa vitani na adui hujui ataibukia wapi unahitaji askari ambao loyalty zao hazina mashaka, ushaingia nao vitani mara kadhaa na unajua wanaongeza nguvu gani kwenye mapambano.

Isitoshe Lema ni mmoja wa wabunge wajenga hoja bora zilizoenda shule kwa wabunge wa upinzani second to Zitto. Hao akina Halima Mdee et al kazi kupiga kelele na kupinga tu.

The mere fact kuna wana CDM wanaweza diriki fikiria Lema abwage baada ya kipindi kigumu walichopitia na washasahau akina nani walikuwa wanapigana inaonyesha jinsi gani kuna watu siasa ni hobby ni tu.

Ningekuwa Mbowe ata Bananga akishinda nakata jina.
 
Aisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga

Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.

Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.

Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
Mkuu upo sahihi sana lazima tujifunze kurizika na tulichopata miaka alioongoza inatosha aachie damu changa
 
Anyway, kwa hizi siasa za bongo hakuna wa kuaminika.. kwani nani alidhani mtu kama Silinde, Nasari wangenunulika kirahisi hivo?

Mwisho wa siku siasa ni mchezo kama 'Poker' tu. Huwezi jua mwenzako ana nini.
Sure boss,wanasiasa ni crooks mixer hooligans.
 
Arusha tunasubiri mtupe raha bana .....Twende na Kamanda Bananga ....
 
Unapokuwa vitani na adui hujui ataibukia wapi unahitaji askari ambao loyalty zao hazina mashaka, ushaingia nao vitani mara kadhaa na unajua wanaongeza nguvu gani kwenye mapambano.

Isitoshe Lema ni mmoja wa wabunge wajenga hoja bora zilizoenda shule kwa wabunge wa upinzani second to Zitto. Hao akina Halima Mdee et al kazi kupiga kelele na kupinga tu.

The mere fact kuna wana CDM wanaweza diriki fikirua Lema abwage baada ya kipindi kigumu walichopitia na washasahau akina nani walikuwa wanapigana inaonyesha jinsi gani kuna watu siasa ni hobby ni tu.

Ningekuwa Mbowe ata Bananga akishinda nakata jina.
Unajua hata Mkapa ilifika last minute alishindwa kumkata JK? Watu wakimtaka mtu wao huwezi kuzuia joooo ....
 
Aisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga

Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.

Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.

Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
Ninyi wapiga kura za maoni si ndio wenye maamuzi? Siyo suala la mbunge aliyemaliza muda wake kuachia ngazi hivi hivi na hasa hasa wabunge wa aina ya huyo aliyemaliza muda wake. Siyo rahisi KIHIVYOO!
 
Mkuu hapa thedon ATown wanae wote ni kina msando na hapo ni watu wakumsema na kupanga mipango ya kumvuruga lema.
Naamini asipopitishwa na mkewake akikosa ubunge anarudi ccm.
Kila mtu analijua hili..

I'm sure wapiga kura wa CDM Arusha wanalijua hili vizuri sana....

I'm sure hawatampitisha huyu kiazi alieshikiwa akili na Msando...

Msando is another piece of useless snake!

Bananga atajitahidi sana kuvuruga mambo apite akisaidiwa na mnafiki Msando,Lazaro,etc...ila sidhani kama atapita!

This will be failure on them again!

Fvck CCM snakes!
 
Lema analeta mambo za kiwaki jombaaa ....
Chama tumekifisha hapa kwa Damu na Jasho. Tumempigania Lema Mara zote lakini analeta uswahili. Akapumzike aendeleze mapenzi na Mamsapu. Halafu Mwenyekiti akileta Udikteta wa Home Boy (Machame) tunamchagua Gambo ashangae!
 
Unajua hata Mkapa ilifika last minute alishindwa kumkata JK? Watu wakimtaka mtu wao huwezi kuzuia joooo ....
Well it’s CDM decision

Nani unadhani atakuwa enforcer wa Mbowe na CDM ukimtoa Lema?

Ata ikitokea Lema akishindwa na CCM
anaweza baki askari mpiganaji, lakini kumchagua mwingine dhidi yake kugombea Arusha sidhani kama atakuwa motivated kukipigania CDM nje ya bunge baada ya betrayal.

CDM inamuitaji Lema kushinda Lema invyoitaji CDM. In fact upinzani unamuitaji Lema kama askari mzoefu katika harakati zao ambazo bado changa sana kuweza isumbua CCM.

Ni maamuzi ya CDM mwisho wa siku I am just airing my opinion.
 
Chama tumekifisha hapa kwa Damu na Jasho. Tumempigania Lema Mara zote lakini analeta uswahili. Akapumzike aendeleze mapenzi na Mamsapu. Halafu Mwenyekiti akileta Udikteta wa Home Boy (Machame) tunamchagua Gambo ashangae!
Chadema must be very smart ..... Lema watu wa Arusha hawamtakiiiii ...... Bananga amejijenga kitambo huko underground kuliko Lema ....
 
Back
Top Bottom