Kumekucha: Baraza la Mawaziri kivuli - Mbatia out

Unakumbuka kauli mbiu yao ?,No fear ,No hate,malizia ,ni maigizo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Magufuli ameshika dola na anawanyanyasa wapinzani wake vizuri tu sio ccm sio upinzani.

Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
 
ukimfumania mkeo haimainishi ndio siku hiyo anagegedwa mara ya kwanza, alishaliwa kitambo sana.
Haingii akilini watu waende ikulu kweupe kununuliwa, busara zaidi zilihitajika kwa CDM kuliko kukurupuka.
Kama wanaona hao ni maadui ilikuwa nafasi nzuri ya CDM kuwatumia kuwapa mipango feki CCM. Mi nnachoona watu wanataka wagawane mafao ya uwaziri kivuli hakuna lingine
 
Kwa siasa zetu za afrika ni ngumu sana kwa mtu kuwekeza mapenzi yako kwa chama flani cha siasa. Siasa tumeifanya kuwa chanzo cha uadui pale tunapotofautiana ki mawazo, na mbaya zaidi ni kwamba tumefikia mahali hata huyo unae kaa nae kwenye vikao vya siri vya kisiasa anapokuwa na mtazamo tofauti na wewe kiongozi inakuwa chanzo cha uadui. Ukita kujua uvumilivu wa kisiasa unaweza kupata majibu kwa watu kama Tundu Lissu, Nape, Membe, Makamba na wengineo wengi tu ambao kwa namna moja ama nyingine ni wahanga wa huo uvumilivu wa kisiasa.
 
Mtazamo wako waongozwa na njaa zenu huko.
 
Ulingo mshazari? Ambao wakupigana nae kafungwa mikono na miguu? Ndio mwajivunia? Mwaujua udhaifu wenu ati
 
So kwa akili yako yote unadhani JPM anaweza hangaika na Lissu. Azzory na Ben Saa nane sijui. Mambo huwa hayoko rahisi Hivi.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kakataa kumlipia matibabu, Ile speech yake ya mda mfupi kabla ya lisu kupigwa risasi hukuisikia sio? Mbona hakuna hata mtu aliyekamatwa japo kuna mtu aliyejitokeza waziwazi kuwa lisu akirudi safari hii hatutarudia makosa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo wamecheza mcheza nne wa hatari zaidi kwa upande wao,wametoa nafasi nzuri kwa CCM kuendelea kushinda,maana Chedema wakigomea chochote CUF,NCCRA,TLP watakubali.
Wapinzania sijui kuna pepo gani linawaandama.

Uchaguzi ni watu, hivyo vyama hata vishiriki ukweli wananchi wanaujua. Cdm wahakikishe kuwa bila tume huru ya uchaguzi huo sio uchaguzi halali, kisha utaona idadi ya wapiga kura itakavyokuwa ndogo. Kitendo cha cdm kususia huo uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi shinikizo lake la ndani ya nchi mpaka nje ya nchi, litaiacha ccm na nchi katika wakati mgumu sana.
 
Ingekuwa pale pale na ingekuwa na nguvu kama mngejitahidi kuokoa ukawa kwa kuwaachia kina mbatia nyadhifa zao

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukawa sio chama bali ni makubaliano ya mdomo. Hivyo iwapo mtu yoyote anataka kwenda kivyake anaruhusa ya kuendelea kimpango wake.
 
R.MKATOLIKI aliposema Mmepiga BOMU Mortuary alafu mnajisifu kuwa Mmeua mlimuelewa?,
Yaani Umemziba mtu mdomo asiongee alafu wewe unaongea kisha unajisifu kuwa umemshinda kwa hoja.....,wakati umemnyima uhuru wa kuongea alichonacho v/s Mahubiri yako kisha wajisifu, ama Unapigana na Bondia aliefungwa Kamba mikono yote alafu wewe uko huru..., unarukaruka na kumpiga makonde akiwa hivyo kifungoni.ALAFU UNAJISIFU KUWA HAKUWEZI.......kisha wajigamba,Duuuuh,
Ama kweli team wafuga chatu ,mli anza na SHETANI na hamuwezi Kumaliza na MUNGU na hamtokujaweza milele. hongereni kwa kumkubali shetani na mambo yake yote.
 
Wabunge wa ukawa wote ni watumwa wa mbowe, na wanawajibika kwa mbowe sio wananchi! Mbowe nae kama alivyo zito anawajibika kwa mabwana zake mabeberu!
 
Majimbo yanayokua wazi wazi baada yawabunge kuunga juhudi yako yanabaki wazi...kuwaacha hao cuf na mbatia kwenye mabaraza nisawa na jimbo kua wazi..ccm hawatakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…