Hongera Mwenyekiti wa chama cha "DEMOKRASIA"View attachment 1407132
Katiba baraza jipya lililotangazwa na Kiongozi wa kambi rasmi bungeni , Wabunge wote wa Cuf pamoja na Mbunge wa NCCR MAGEUZI ndugu Mbatia wametoswa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Mwenyekiti wa chama cha "DEMOKRASIA"View attachment 1407132
Katiba baraza jipya lililotangazwa na Kiongozi wa kambi rasmi bungeni , Wabunge wote wa Cuf pamoja na Mbunge wa NCCR MAGEUZI ndugu Mbatia wametoswa .
Siasa za Tanzania kichekesho sana.
Si upinzani wala CCM ni vituko tupu.
Sasa bunge lenyewe ni la mwisho kabla ya serikali mpya, hao mawaziri vivuli wapya watakao ziba nafasi hizi watafanya nini?
Na wa zamani waliotemwa wangekuwa na athari gani?
Kuna wakati unatakiwa kuwaacha watu kama hao na kutumia nafasi hiyo kujiimarisha kisiasa kwa kujisifu majukwaani hawa walitutendea ubaya huu lakini kwa vile sisi wakomavu wa kisiasa na sio watu wa visasi tumewaacha kwenye nafasi hizi ingiwa sababu na uwezo wa kuwatosa kama kisasi tulikuwa nao.
Mambo madogo kama haya ya uvumilivu ndiyo yana kuwezesha kuvuna pointi muhimu kwenye siasa, hasa kwenye masanduku ya kura.
You can act like you live what you preach.
Wapiga kura ni watu wa ajabu sana, wanaweza kukupa kura sababu umewataja kwa majina angalau watu wawili tu wa kawaida wa eneo lao, au umewapa msamaha watu waliokutendea ubaya.
Huenda sipo sahihi kabisa katika hili, ngoja niamini KUB yupo sahihi.
PoleKweli upinzani Tanzania ni upuuzi mtupu. Kweli hivi ndio vyama vinavyotaka kuongoza nchi. CCM haina mpinzani watangoja sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi 100%Siasa za Tanzania kichekesho sana.
Si upinzani wala CCM ni vituko tupu.
Sasa bunge lenyewe ni la mwisho kabla ya serikali mpya, hao mawaziri vivuli wapya watakao ziba nafasi hizi watafanya nini?
Na wa zamani waliotemwa wangekuwa na athari gani?
Kuna wakati unatakiwa kuwaacha watu kama hao na kutumia nafasi hiyo kujiimarisha kisiasa kwa kujisifu majukwaani hawa walitutendea ubaya huu lakini kwa vile sisi wakomavu wa kisiasa na sio watu wa visasi tumewaacha kwenye nafasi hizi ingiwa sababu na uwezo wa kuwatosa kama kisasi tulikuwa nao.
Mambo madogo kama haya ya uvumilivu ndiyo yana kuwezesha kuvuna pointi muhimu kwenye siasa, hasa kwenye masanduku ya kura.
You can act like you live what you preach.
Wapiga kura ni watu wa ajabu sana, wanaweza kukupa kura sababu umewataja kwa majina angalau watu wawili tu wa kawaida wa eneo lao, au umewapa msamaha watu waliokutendea ubaya.
Huenda sipo sahihi kabisa katika hili, ngoja niamini KUB yupo sahihi.
Hapa hata magufuli kawapiga bao. Maana kwenye nafasi za uongozi anao hadi waliokuwa upinzani na kugombea uraus kama kina anna mghwira.
Mbowe ye ukitofautiana nae tu ujue out. Hana uvumilivu wa kisiasa. Acha Magufuli awanyooshe tu maana wao wangeshika dola wangenyanyasa sana watesi wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa siasa zetu za afrika ni ngumu sana kwa mtu kuwekeza mapenzi yako kwa chama flani cha siasa. Siasa tumeifanya kuwa chanzo cha uadui pale tunapotofautiana ki mawazo, na mbaya zaidi ni kwamba tumefikia mahali hata huyo unae kaa nae kwenye vikao vya siri vya kisiasa anapokuwa na mtazamo tofauti na wewe kiongozi inakuwa chanzo cha uadui. Ukita kujua uvumilivu wa kisiasa unaweza kupata majibu kwa watu kama Tundu Lissu, Nape, Membe, Makamba na wengineo wengi tu ambao kwa namna moja ama nyingine ni wahanga wa huo uvumilivu wa kisiasa.Hapa hata magufuli kawapiga bao. Maana kwenye nafasi za uongozi anao hadi waliokuwa upinzani na kugombea uraus kama kina anna mghwira.
Mbowe ye ukitofautiana nae tu ujue out. Hana uvumilivu wa kisiasa. Acha Magufuli awanyooshe tu maana wao wangeshika dola wangenyanyasa sana watesi wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
UPINZANI safi na makini Zaidi.Hii nayo italeta impact gani kwa Chadema inayoenda kufa? Bado miezi kama mitatu bunge livunjwe?
Mtazamo wako waongozwa na njaa zenu huko.ukimfumania mkeo haimainishi ndio siku hiyo anagegedwa mara ya kwanza, alishaliwa kitambo sana.
Haingii akilini watu waende ikulu kweupe kununuliwa, busara zaidi zilihitajika kwa CDM kuliko kukurupuka.
Kama wanaona hao ni maadui ilikuwa nafasi nzuri ya CDM kuwatumia kuwapa mipango feki CCM. Mi nnachoona watu wanataka wagawane mafao ya uwaziri kivuli hakuna lingine
Ulingo mshazari? Ambao wakupigana nae kafungwa mikono na miguu? Ndio mwajivunia? Mwaujua udhaifu wenu atiDuh...!. Ndondi ni ulingoni, kipimo cha bondia mwenye nguvu ni kwa makonde anayorusha. Kwenye serikali za mitaani, bondia wa upande wa pili hakupanda ulingoni hivyo bondia wetu kupata ushindi wa mezani wa kishindo cha asilimia 99 9%.
2020 watu tunataka kuona mpambano.
Mabondia wapande ulingoni, mimi mwenyewe naingia ulingoni
Kama ni mechi, ni uwanjani sio mtu anaweka mpira kwapani halafu anaanza kupiga kelele za faulo
P
Aliyekuwa anawatonya hayumo.Upinzani una mikakati gani ya maana?
Mbona kakataa kumlipia matibabu, Ile speech yake ya mda mfupi kabla ya lisu kupigwa risasi hukuisikia sio? Mbona hakuna hata mtu aliyekamatwa japo kuna mtu aliyejitokeza waziwazi kuwa lisu akirudi safari hii hatutarudia makosa tena.So kwa akili yako yote unadhani JPM anaweza hangaika na Lissu. Azzory na Ben Saa nane sijui. Mambo huwa hayoko rahisi Hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ng'wanangwa hata Wassira wakati anavimbiwa alikuwaga na ndoto kama hizi akaishia yeye kuwa marehemu! Ha ha ha haaa!Mkuu Kaka Mku'bwa Wakudadavuwa, you are very right, this is the final kick of a dying horse.
P
Hapo wamecheza mcheza nne wa hatari zaidi kwa upande wao,wametoa nafasi nzuri kwa CCM kuendelea kushinda,maana Chedema wakigomea chochote CUF,NCCRA,TLP watakubali.
Wapinzania sijui kuna pepo gani linawaandama.
Ingekuwa pale pale na ingekuwa na nguvu kama mngejitahidi kuokoa ukawa kwa kuwaachia kina mbatia nyadhifa zao
Sent using Jamii Forums mobile app
R.MKATOLIKI aliposema Mmepiga BOMU Mortuary alafu mnajisifu kuwa Mmeua mlimuelewa?,Duh...!. Ndondi ni ulingoni, kipimo cha bondia mwenye nguvu ni kwa makonde anayorusha. Kwenye serikali za mitaani, bondia wa upande wa pili hakupanda ulingoni hivyo bondia wetu kupata ushindi wa mezani wa kishindo cha asilimia 99 9%.