Kumekucha: Baraza la Mawaziri kivuli - Mbatia out

Mbowe ni kiongozi makini sana. Big up Mwamba.
Bila Mbowe, siasa za upinzani Tanzania zisinge kuwa zimefikia hapa - kwanza Credit kubwa mno kwake kwa kufanikisha kupatikana kwa wanachama wapya takribanii 6m nchi nzima na kufanikisha uchaguzi mkuu ndani ya chama..... hasa ukizingatia hali ya ufanyaji wa shughuli za kisiasa ulivyo sasa.

CDM inazidi kukua pamoja na hila zote hizo hazitii dafu......

Vijana wasomi wanajiunga katika chama huku wazee walioishiwa hoja wakitoka nduki.......
 
Yanayotokea kwa CHADEMA sasa ni mambo ya kupitia machungu na kujifunza.

Safari bado ni ndefu lakini la muhimu safari haiwezi kuisha.

Mshika dola ataendelea tu kutumia rasilimali na uwezo aliojipa kuzuia kila chama kitakachoibuka kuwa tishio.

Hakuna namna ataruhusu vyama vipate ushindi rahisi.

Ni jukumu la vyama vya upinzani halisi na wanaowaunga mkono kulitambua hilo, kubadili mbinu kadiri ya aina ya mchezo na kupambania ushindi kila sehemu.

Siyo jambo la afya kabisa kuwa na bunge asilimia 90 ni chama tawala.

Bila shaka hata wananchi wengi hawapendi iwe hivyo, lakini miundo mbinu ya kuwapata wawakilishi inaondoa fursa hiyo ya kupata uwiano wenye faida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nayo italeta impact gani kwa Chadema inayoenda kufa? Bado miezi kama mitatu bunge livunjwe?
hivi unamkumbuka lile lizee la bunda lililoangushwa na binti mdogo wa chadema? hili zee lilisemaga haya maneno uliyosema wewe ZWAZWAmbugila wa LUMUMBA kuwa CDM haifiki 2014 inakufa. leo ni lini na nani kati ya hili lizee na CDM aliyekufa?
CHUNGA MAKALIO YAKO UTATAFUNWA KWEUPE HADHARANI
 
Anaaga maana KUB hatapata tena nafasi hiyo.
 
Magu kashajichokea sasahivi anatapatapa tu baada ya kuona mfuko wa manunuzi alokabidhiwa slowslow umeanzakukata na chadema halifi tu liko ngangari
 
Mh...
 
Unadhani kwa sasa CUF na NCCR kwao na Chadema wanapambana na one common enemy ambaye ni CCM? Anaye amini hivyo ni bonge la mnafiki na nadhani Mbowe na Chadema hawajapenda kuwekwa kundi hilo.
Nadhani unaukumbuka msimamo wa George Bush wakati wa vita vya ghuba (Desert Storm), kwamba eitha uko nasi kama rafiki au uko na adui yetu kama adui na sio vinginevyo.
 
Mbowe anaendeshwa na mihemko, hisia na wapambe.

CDM inaporomoka, bado wanamsifia

nyakati zaja ambazo atakuwa 'joker'

Cdm iporomoke kwa Mbowe kuchukua hatua?
 

Bila kujiingiza moja kwa moja kwenye majibizano yako na huyo member, vyote ulivyoandika kuhusu Lisu tuliviona na kuvisoma. Tuna uwezo wa kusoma na kuelewa, na kisha kupima msimamo wako kwenye shambulio la Lisu
 
Unafiki hautakiwi kaka,kama ambavyo Magufuli aliwapiga chini washindani wake akina January na Nappe ndivyo hivyo hata mbowe amefanya.Unafika wakati watanzania wanaona kama Mbowe na CDM wanafanywa ndondocha na watu kama akina mbatia na Antony Komu hivyo baadhi ya Wananchi nikiwemo mimi niliona kama Mbowe hana makucha hivyo hata kiuongozi inakupunguzia point.
Hii ni ishara kwamba hatua zinachukuliwa kwa yeyote yule bila kujali ni nani na amefanya nini kama amekosea anaadhibiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…