Kumekucha: Baraza la Mawaziri kivuli - Mbatia out

Bila kujiingiza moja kwa moja kwenye majibizano yako na huyo member, vyote ulivyoandika kuhusu Lisu tuliviona na kuvisoma. Tuna uwezo wa kusoma na kuelewa, na kisha kupima msimamo wako kwenye shambulio la Lisu
Duh!.
Hebu ngoja nijifanyie self assessment
Kabla ya Tundu Lissu kushambuliwa
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli! - JamiiForums

TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! - JamiiForums
Baada ya Kushambuliwa nimepandisha mabandiko zaidi ya 10,
  1. Bandiko la kwanza Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums
  2. Bandiko la Pili Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums
  3. Bandiko la Tatu https://www.jamiiforums.com/threads...je-tukahukumiwa-karma-ndio-pekee-hutoa-hukumu
  4. Bandiko la Nne Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums
  5. Bandiko la Tano Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija - JamiiForums
  6. Bandiko la Sita WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums
  7. Bandiko la Saba Siku ya Sheria: No mention of Tundu Lissu!, Je ni amesahaulika tu kutajwa, amepuuzwa au ameepukwa?!. - JamiiForums
  8. Bandiko la Nane Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi! Je, anahusika? - JamiiForums
  9. Bandiko la Tisa Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela! - JamiiForums
  10. Bandiko la Kumi Je, Tundu Lissu anaichafua nchi yetu au anasema ukweli wa kilichomtokea? Je, Serikali yetu iwe Proactive kusema ukweli au Reactive kumjibu? - JamiiForums
Kwavile tuna mitazamo tofauti, na mtu hawezi kujifanyia assessment mwenyewe na kuwa objective, wale wenye nafasi, niko open for assessment, kuna mahali nimefurahia au kushangilia shambulio hili?
P
 
Kung'olewa Mbatia kumekuumiza kiasi hiki ! ulikuwa na masilahi gani mkuu ?
 
Kwa kuwa CCM na Jiwe wamejiandaa kuiba na kupora ushindi wa wapinzani kwa namna yoyote ile! Jiwe anachukia sana upinzani sijui kwa nini? Enzi anagombea ubunge alikuwa anafanya figisu kila uchaguzi ili apite bila kupingwa! Hii tabia anaendelea nayo hata baada ya kuwa Rais! Siasa za Kiafrika zinaboa sana....Tume ya uchaguzi yenu, wakurugenzi wenu, majeshi yenu, wakuu wa mikoa/wilaya wenu, mahakama zenu so, fanyeni mfanyavyo tu! Kama niko nje ya mada samahani wapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sioni unakwama wapi, bandiko langu kwako bila hata kuedit nimesema nimesoma na kuelewa ulichoandika. Nikaongeza ninaweza kupima msimamo wako kwenye shambulio la Lissu, je kuna popote nimesema ulifurahi au kushangilia shambulio lake? Nilichosndika sikuandika kwa bahati mbaya, bali nilimaanisha. Nataraji una umakini mkubwa, hivyo sikutarajia uanze kujishuku.
 
Siasa za Kiafrika zinaboa sana....Tume ya uchaguzi yenu, wakurugenzi wenu, majeshi yenu, wakuu wa mikoa/wilaya wenu, mahakama zenu so, fanyeni mfanyavyo tu! Kama niko nje ya mada samahani wapendwa
Duh...!.
P
 
Mkuu SHUTUMA sio HUKUMU, Kuna mifano mingi hata kwenye Biblia watu walishutumiwa kwa kuenenda kinyume na maadili ya jamii husika mfano, Mfalme HERODE alizini na mke wa Kaka yake (Shemelaa wake) HERODIAna YOHANA mbatizaji akamshutumu kwa hilo na mwisho Yohana Akauawa.
Sasa labda kama na zama hizi ukikosoa una uawa useme. vinginevyo kukosoa ni Sahihi kabisaa na kuna tija katika maisha na maendeleo ya jamii yeyote duniani.
 
Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo yenye maana zaidi kuliko vingine vyote ulivyoandika!
 
Sheiza unasema ukitofautiana na Mbowe tu, out. Vipi ukitofautiana na JPM? Kati ya hao wawili yupi ana angalau ustahimilivu?
 
Mkuu hivi hata kwa mtu mwenye akili kama za panzi anaweza kusema Mbowe na chadema kwa ujumla wanasimamia principle?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina shaka yoyote kuhusu kumtambua "mtu mwenye akili kama za panzi", kwa sababu wewe ni kielelezo kilicho wazi kabisa. Sijui leo umepata wapi akili za kuparamia kujibu nilichoandika hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…