Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video.

View attachment 1871504
Nimepokea kwa Mshtuko mkubwa taarifa za Mh. Freeman Mbowe kua Gaidi, nimemfahamu Freeman miaka mingi tangu enzi za Baba yake Aikael Mbowe akiwa rafiki wa Baba yangu.

Sisi wakenya tulipata shida baada ya Alshabab kuvuruga nchi yetu, Nashangaa Leo watanzania wanaharibu Amani Yao kwa kumwita Mh. Freeman Mbowe ni Gaidi, baada tu ya kudai Katiba Mpya. tegemeeni kupoteza wawekezaji wengi kuanzia sasa.

Uhuru Kenyatta
 
wangejua jinsi USA wasivyo wapenda Magaidi au wanao fadhili matendo ya kigaidi hata wasinge enda huko ubalozini.
Tayari taarifa za Mowe zimeingizwa kwenye Database ya Dunia kuwa Mobwe ni mtu anaye jihusisha na kufadhili vitendo vya kigaidi na ikitokea hata leo anaachiwa hawezi kukanyaga USA na baadhi ya nchi.
Mbowe ameshitakiwa kwa ugaidi kesi iko Mahakamani ni upumbavu kwenda popote pale kushinikiza aachiwe!! maaana nchi hii inafuata utawala wa kisheria ndio maaana yuko mahakamani na Mahakama ndio itatoa haki.
awamu ya 6 inaupiga mwingi kwa akili nyingi sana.
 
hawajui hata sheria na hao wanawake ni malaya tu wamechukuliwa mitaani kujifanya chadema
 
Kwani Marekani ndiyo walimkamata. Mtuhumiwa ameshafikishwa mahakamani, waache sheria ifuate mkondo wake.
Wangewekeza nguvu nyingi kwa mawakili wa utetezi ili kama kweli ameonewa na kusingiziwa basi wajenge hoja za kisheria za kuwashinda waliomshitaki.
 
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video.

View attachment 1871504
Good ujumbe umefika huyu dikteta na hatari kama kirusi cha delta amepata aibu kubwa sn
 
Kwani Marekani ndiyo walimkamata. Mtuhumiwa ameshafikishwa mahakamani, waache sheria ifuate mkondo wake.
Wangewekeza nguvu nyingi kwa mawakili wa utetezi ili kama kweli ameonewa na kusingiziwa basi wajenge hoja za kisheria za kuwashinda waliomshitaki.
Kuna mahakama au mashina ya CCM?
 
hawajui hata sheria na hao wanawake ni malaya tu wamechukuliwa mitaani kujifanya chadema
kweli kabisa.
huu ni ushahidi pia kuwa Mbowe alipandikiza chembe za kigaidi kila mahala lkn wao hawajitambui.
kitendo chenyewe cha kuandamana ktk maeneo ya ubalozi ni uvunjifu wa amani na walipaswa wachukuliwe hatua mara moja.
Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama vinapaswa viwe makini zaidi kuliko wakati wowote, wasilale kila kona.
maana inaonekana huyu jamaa alikuwa na mtandao wa kihalifu.
 
Uzuri wa serikali mbovu ya CCM ina kula kotekote, zamu yenu inakaribia
 
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video.

View attachment 1871504
Mafala tu kwani balozi wa marekani ndio waliyomkamata?.. Au ndio wao wamemtuma. Bora wangeenda umoja wa mataifa.
 
Back
Top Bottom