LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Nimepokea kwa Mshtuko mkubwa taarifa za Mh. Freeman Mbowe kua Gaidi, nimemfahamu Freeman miaka mingi tangu enzi za Baba yake Aikael Mbowe akiwa rafiki wa Baba yangu.Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .
Video.
View attachment 1871504
Sisi wakenya tulipata shida baada ya Alshabab kuvuruga nchi yetu, Nashangaa Leo watanzania wanaharibu Amani Yao kwa kumwita Mh. Freeman Mbowe ni Gaidi, baada tu ya kudai Katiba Mpya. tegemeeni kupoteza wawekezaji wengi kuanzia sasa.
Uhuru Kenyatta