This time i hope watafidiwaPamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.
Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama barua inavyoonesha.
Hii yote ni kwa ajili ya kuendelezwa kwa barabara hiyo na wakala wa barabara TANROADS. Nakala ya notisi hiyo ni kama inavyoonekana hapo chini:
View attachment 1847872
This time i hope watafidiwa
Sheria ya mita 90 as road reserve ilizikuta baadhi ya nyumba , hapo mwanzo road reserve ilikuwa mita 30.Kwa sheria ipi bro?
Acha chuki zako dhidi ya yangaUsisahau Mkuu Mama nae ana Watu kama Mzee Mpili wa Yanga SC.
Ben pub imevunjwa,nimeingia dar juzi nmepita mitaa hiyo kuelekea scorpion barMara nako hali ni hiyo hiyo nyumba zaidi ya 100 kubomolewa!
Kwa hiyo wewe unataka nchi isiwe na barabara, na wala mipango ya matumizi ya ardhi wala mipangilio ya ujenzi?Sukuma gang chato gang at work..ila they will perish soon
Hii id imekua HACKED au...😳😳😳😳Siyo kila Maamuzi tu ni ya Kuilaumu Serikali Mkuu. Na bahati nzuri wakati Wewe ukitaka 'Kuichongea' Serikali kwa Wakazi wa huko ila Wananchi wenyewe wanajua na walishajiandaa kwa hayo Maamuzi baada ya hata Wao wenyewe Kugundua kuwa Wamejenga Kiholela japo kuna ambao wamejenga Kihalali na hao ama Wameshalipwa au Watalipwa Fidia na Mamlaka ( Serikali ) husika.
ID inatafuta uteuziHii id imekua HACKED au...😳😳😳😳
Mbona unaandika kwa staha sana, sio kawaida yako!😀😀😀😀
Ahahahahahaha kiufupi mama kawakomesha waliokuwa na kisebusebu kwake!Mama anaupiga mwingi kweri-kweri.
Kwahiyo mkuu unamaanisha tumepigwa au!Hahaaaaa yaan nikimwangalia SAMIA namuonea huruma tu maana hajui lolote maskini ye anajipigia tu misele hajui kuwa kuna wenzie wanamchonganisha na wanachi kwa makusudi kabisa
walianza umeme, wamekuja mafuta, haya makato ya line za simu, bado hapo makato ya luku haya sasa bomoa bomoa karibu kila mkoa yeye yupo yupo tu haelewi lolote maskini mzanzibari wawatu, hazijui fitna za wabara huku yeye anaamini wapo pamoja wanaimba wimbo mmoja kumbe wenzie wana hama tune taratibu kwa ustadi mkubwa.
Yaan wananchi huku hawamwelewi kabisaa na wamesha anza kumchukia kwa sasa maana tangu ashike nchi vitu vya msingi tena vinavyo gusa wananch moja kwa moja vimeanza kupanda bei
Yawezekana nimevuta Bangi yenye Tbs.Hii id imekua HACKED au...😳😳😳😳
Mbona unaandika kwa staha sana, sio kawaida yako!😀😀😀😀
wangebomoa mita 45 Tu bana! tisini wanabakiza pori kati watu wanabakwa na kunya vichakanPamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.
Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama barua inavyoonesha.
Hii yote ni kwa ajili ya kuendelezwa kwa barabara hiyo na wakala wa barabara TANROADS. Nakala ya notisi hiyo ni kama inavyoonekana hapo chini:
View attachment 1847872
Pia awavunji maeneo mapya- Kimara ilipovunjwa miaka ya 90 kuna wengine walibakiziwa pande moja za nyumba ama vijinafasi hawa waliendelea kaa na kuendeleza hizo sehemu.Hizi ndizo zinazovyunjwa na sio maeneo mapyaSiyo kila Maamuzi tu ni ya Kuilaumu Serikali Mkuu. Na bahati nzuri wakati Wewe ukitaka 'Kuichongea' Serikali kwa Wakazi wa huko ila Wananchi wenyewe wanajua na walishajiandaa kwa hayo Maamuzi baada ya hata Wao wenyewe Kugundua kuwa Wamejenga Kiholela japo kuna ambao wamejenga Kihalali na hao ama Wameshalipwa au Watalipwa Fidia na Mamlaka ( Serikali ) husika.
Yeye anawaomba wafanye haki 😅😅😅 hajui watumishi wakoje wa kibongo! Yani Magufuli alivyoendesha nchi ndio hasa Tanzania ilitakiwa iendeshwe vile.Hahaaaaa yaan nikimwangalia SAMIA namuonea huruma tu maana hajui lolote maskini ye anajipigia tu misele hajui kuwa kuna wenzie wanamchonganisha na wanachi kwa makusudi kabisa