Tetesi: Kumekucha CCM: Wabunge waliogombea NEC ya chama ‘wakatwa’. What next?

Naona wajumbe wa halmashauri kuu sasa watakuwa ma DC. Hapo dikteta kiulainiiiii 2020 na hakuna mwingine wa kumpinga
Mbona MaDC siku zote ni makada wa Chama na ni Wajumbe wa vikao vya Halmashauri ya Chama katika Wilaya zao. siyo jambio jipya linaloanza leo. Siku zote Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wiolaya wana kofia mbili, Viongozi wa serikali katika maeneo yao ya utawala lakini pia viongozi wa chama katika maeneo yao.
 
JF naona kuna picha ya msemaji wa polisi hapo juu yaani sitaluonea huruma tena wala kukuombea wewe Mexes Melo
Kwani vipi mkuu?? Wewe mhalifu unaogopa picha ya polisi!!!?? hahahahaha..!
 
Nasikia jamaa wana utaratibu katika chama chao kuwa cheo kimoja nafasi moja. Hivyo, kwa kuwa tayari ni wabunge hawawezi kugombea nafasi zingine ndani ya chama ili kuongeza ufasini katika kuwaletea wananchi maendeleo. Ni utaratibu mzuri. Sio mtu mmoja vyeo kibao
 
Wakikatwa tunawakaribisha CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…