Tetesi: Kumekucha CCM: Wabunge waliogombea NEC ya chama ‘wakatwa’. What next?

Sasa habari zitamfikiaje dad yetu kipenzi wa insta jamani!msitufanyie hivyo.
 

Kichwa kimoja, kofia moja!
 
Vijana mnapoteza muda wenu kujadili tetesi zisizo na vichwa wala miguu.
 
Vitendo gani? Kudanganya taifa kuhusu meli? Kudanganya kuhusu acacia? Kuchoma clouds au?
Ni hayo matukio mnayoyashikia bango ndiyo yanauondoa upinzani kwenye ulingo wa siasa.

Tujadili sera, itikadi na tunu za chama cha siasa kwa mstakhabali wa Taifa.
 
Nilikuwa upinzani for reasons but honestly speaking upinzani sasa hivi haueleweki unatoka wapi na uanelekea wapi? Hakuna kujenga hoja tena siku hizi, hakuna kuleta new ideas tena siku hizi kumebaki kulalamika na kupinga kiiila kitu! Binafsi kura yangu nimeiondoa upinzani na hopefuly 2020 ni kimbunga kwa upinzani kulegezwa...mungu atupe uhai
 
Bado kidogo Nape atavunja mtungi aliosema atauinamisha kwa timing panya atoke mwenyewe! Time will tell!!! Nape huyu sio JK jamaa kazoe maguvu.
 
Katiba ya CCM inasemaje kuhusiana kugombea nafasi ya Uongozi???
 
Yaani kuna aliyekuwa stricker jezi namba 9 (JM) kijana wa IT aliyefanikisha kuhack na kugeuza matokeo NHEKHI Mpaka, naye mwamtoa, kuna yule jezi namba 7 anayeweza kupiga bao la mkono naye nje? ha ha ha ha...hao wawe nje moja kwa moja mbowe hatuwataki hawa watu....
 
chama pekee nchi hii kinacho onesha kuwa na mikakati ya `kisayansi' kuhakikisha kwamba kinaendelea kushika dola ni ccm.
Wapinzani ni lazima waige baadhi ya mbinu kutoka ccm, hata kama ni za `fitina'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…