Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Mungu amejibu maombi ya upinzani.
Jiwe amekufa,Wapinzani wana amani sasa na wanakula bata,,nchi imefunguka.
 
Hii nchi punguani ni wengi mkuu, utakauka mate kuwaelimisha. Wanasahau anayeteseka ni mtu wa hali ya chini kabisa kuna watu hata maji yauzwe 5000 dumu moja kwake sio issue.
 
Ushamba utakuua huko magufuli alipoingia kulikua na visima vyao maji yanatoka kila siku sema tuu kuna mijusi huwa wanakata kwasababu wanapenda karaisha wanadamu wenzao
 
Jamaa Ana matatizo Sana yani kisa chuki zake, ndo anaona hata serikali iliyopo ikiharibu sawa tu kwakuwa watakatifu eti at the same time hana ushahidi wa utakatifu wao
Huyo jamaa atakua anaishi na kimba.. Huna maji kimba utaflashi vipi afu inasema bora kukosa maji
 
Mkiwa mnajenga nyumba msisahau kuweka system ya kuvuna maji ya mvua.
Muhimu sana, gutter zinasaidia sana kuvuna maji na ukiweka kakisima ka kujengewa chini lita zako Iet say thirty thousands to fifty sio mbaya….
 
Deni limeongezeka kwasababu ya riba ya madeni ya nyuma
 
Mliomtusi jiwe haiwahusu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…