Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Mambo kama haya yanatokea tunapokuwa na Rais Kilaza na MVIVU.
 
Heri dhalimu yule kuliko hawa wachamungu wa sasa watatuua hawa malaika wa shetani hawa.

Bora dhalimu kwa kweli.
 
Mkiwa mnajenga nyumba msisahau kuweka system ya kuvuna maji ya mvua.
Wangapi wana uwezo wa kujenga system ya kuvuna maji, nyumba zenyewe vyumba vina ungwaungwa kama mabewa, chumba cha kulala unajenga leo, sebule baada ya miaka mitano, mitano mengine unaongeza chumba kingine, baada ya mitatu stoo......... Kuna wengine hawajui lini watamaliza kujenga nyumba zao.
 
Nimeshindwa kwenda chuo kwa sababu sina maji siku ya nne, sijaoga, maji ghetto yameisha, foleni ya maji yanayopatikana sijui inaanza lini na kuisha lini kila nikienda watu wanachota haijalishi ni saa 5 usiku au saa 11 alfajiri. Mtu anakuja na dumu 30 anapanga mstari na hawa ni wengi, sisi tumehamia hosteli kufua, vyoo na kuongea uko. Alafu nako ni foleni.

Nimepika jana mchana nikaja cheki maji ya kuoshea vyombo hakuna nikaviacha. Jioni nimeenda kula chips at least ndio vyakula vya kukaanga havina madhara sana maji yasipokuwepo ila nikakuta maji yanayooshea viazi ni machafu kuliko ambayo ningeoshea viatu.
Nikatoka zangu kuja kwa family relative mmoja mitaa ya Tabata ana visima nikaambiwa gari zinasomba maji kupeleka Masaki.

Miaka 60 ya uhuru, waliozaliwa tunapata uhuru ndio wanastaafu ila hatuna vyanzo vya uhakika vya maji kwenye jiji kuu la biashara na mji mkuu.
 
Mkiwa mnajenga nyumba msisahau kuweka system ya kuvuna maji ya mvua.
Inategemea nyumba iko wapi
Kuna maeneo paka wako wengi wanakunya juu ya mabati na vigae mvua ikija hiyo system ya kuvuna maji unavuna hadi mavi ya paka
 
JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Kwani huyo fala alikuaa Mungu?
 
JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Mimi nafurahi sababu walikuwa wanasema huyu Magufuli ni mpigaji ngoja sasa wale ambao sio wapigaji wamerudi sasa ndio mtajua kuwa mlikuwa hamjui kitu.

MUNGU hebu waonyeshe walichokuwa wanakitaka.
 
Bora kukosa Maji na umeme kuliko kutekana kidwanzi na mtu mmoja kujifanya ndio mungu mtu nchi nzima.
Vipi mwenzetu ulishawahi kutekwa au kutekewa ndugu, jamaa, rafiki au mtuwako wa karibu yoyote?!

Otherwise sema ukweli umetoa wapi hii idea ya kutekana?!
 
Vipi mwenzetu ulishawahi kutekwa au kutekewa ndugu , jamaa, rafiki au mtuwako wa karibu yoyote?!

Otherwise sema ukweli umetoa wapi hii idea ya kutekana?!
Niliwahi kukuteka awamu ya 5 Mara 3, Nataka nikuteke awamu hii ya 6 japo kiduchu tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna kipindi walitaka kuwafuata na story za kuwatoza kwa lita wanazotumia za maji ya ardhini.

Yaani kisima mtu achimbe kwa gharama zake serikali ikakusanye kodi nikasema ila CCM inawatendaji machoko balaaa. Wanawaza kuwadangia wananchi muda wote utadhani wanatafuta bwana.
 
Manina... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa kaoga maji ya mrefejini kapauka then ananukia kama chura
 
Sasa utavuna maji ya mvua halafu uyatumie kufanyia nini kuoga au kuflush?!

Hivi watu hawajajua maji ya mvua yakikaa zaidi ya wiki yanaanza kuwa acidic?!
 
JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
JPM angekuwa hai angefanya nini na maji yapatikane na hiki kiangazi kilichopo nchi nzima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…