Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi ofisini kwetu nimebaki mtazamaji tu. Watu wanapiga vibaya, nimechagua kuishi maisha yangu ninayoyaweza na kuyamudu.Ila Tanzania kwenye rushwa na wizi hatuchekani. Ukiwa muadilifu, deal za ofisi zinakupitia pembeni na unaweza undiwa dengee ili ufukuzwe kama nafasi yako inawaletea watu kikwazo kwenye michakato yao.
Ubaya sasa, kheri uwe muadilifu na mshahara uwe unaeleweka. Ila kwa wengi ndio wale wanaishi maofisini kwa depression, unakomaa na mshahara halafu uliowazidi vyeo wanakuzidi maisha
He who laughs last laughs bestUsiutamani ufahari wa mtu muovu utapotea.
Uaminifu una ujira mkubwa sana.
Wasukuma husema; achekaye wa mwisho hucheka sana
Pole sana Ila ndio maisha ya ofisini hayo. Nilishafurahishwa hamu sina Ila kwa wazungu kuna unafuu mkubwa sana tofauti na kwa races nyingine za business as usualBinafsi ofisini kwetu nimebaki mtazamaji tu. Watu wanapiga vibaya, nimechagua kuishi maisha yangu ninayoyaweza na kuyamudu.
Ubaya wa kuongeza kipato kwa wizi ni kuishi maisha ya stress, maana pale unapopiga pakizibwa kidogo unaanza kuhaha kwa kuzoea maisha makubwa yasiyoendana na kipato chako.
Shem ukipata chimbo chukua chako mapema hata wakikutimua uwe umeshatoka kimaisha.Ajabu wala rushwa wanapewa sifa kedekede.
Angalia katika huu uzi, wamepata watetezi!
Unafaa sana lakini dah poleBinafsi ofisini kwetu nimebaki mtazamaji tu. Watu wanapiga vibaya, nimechagua kuishi maisha yangu ninayoyaweza na kuyamudu.
Ubaya wa kuongeza kipato kwa wizi ni kuishi maisha ya stress, maana pale unapopiga pakizibwa kidogo unaanza kuhaha kwa kuzoea maisha makubwa yasiyoendana na kipato chako.
Huyo ana maneno mengi sana, hapana kwakweli 🤣🤣🤣Pesa yako tu chawa wako wengi
Ongea na Lucas mwashambwa 😂😂
Hivi ndivyo mijadala inatakiwa kuwa, unabisha ukiwa na hoja za maana.Nope wala sikubaliani na mambo mengi sana yanayoendelea bali it is what it is.... Sekta zote kuna Umimi na Its not how good your product is bali how good your connections are... Especially kwenye entertainment industry it has always been this way..., Its just the way it is.... Hata redio mbao kama haujatoka bila kuwapa ma-Dj faranga ngoma yako huenda isipigwe... au ukijifanya mjanja unaweza ukawa blacklisted..., huenda ndio maana huyo jamaa kaamua kwanza ajulikane na kazi zake zijulikane ndio kapata nguvu za kubisha
Kumbe ulikuwa hujaelewa mwanzo?Nimeelewa sasa.
Hamna namna, hata mambele creators/producers wananyonywa na hawa wasimamizi....
Budget ya kutengeneza filamu ni kubwa, producers hawana namna zaidi ya kunyonywa. Ila ni mbaya.
asimamishwe wengine waajiriwe...Sasa alivyosimamishwa kazi ndio utatosha? Kwa tuhuma hizi atapata wapi pa kuaminika apewe kitengo tena?
Lamata hana hiyana, kaamua kutoa ushirikiano ndio maana Juakali haipishani na Isidingo, haiishi!Bora Baraka Shelukindo kapotelea Kenya maana hii issue ingetokea chini yake, na yeye ingemletea shida kwenye reputation yake. Halafu Lamata toka nisikie Juakali imeanza hadi leo haijaisha tu au anapata mgao mzuri 😁
Bora juakali ilianza kwa setting nzuri na mastar wengi sana kiasi ilikuwa huwezi kuimiss.Lamata hana hiyana, kaamua kutoa ushirikiano ndio maana Juakali haipishani na Isidingo, haiishi!
Sasa si bora Jua Kali, Huba je?
Sio wazungu tu, hata wenzetu kutoka hapahapa Afrika wana nafuu kuliko sisi wabongo, tumekithiri kwa wizi!Pole sana Ila ndio maisha ya ofisini hayo. Nilishafurahishwa hamu sina Ila kwa wazungu kuna unafuu mkubwa sana tofauti na kwa races nyingine za business as usual
Shem, kitu wizi ndio nimeshindwa maishani!Shem ukipata chimbo chukua chako mapema hata wakikutimua uwe umeshatoka kimaisha.
Dunia haina usawa wala haki.
Ukisubiri upewe utachelewa
Anayekuasa usiibe yeye anakwapua.
To win in life one has to break the rules 😀😀😀
Siku hizi muangalia taarifa za habari kwenye TV hawana tofauti na muangalia tamthilia, mara mia muangalia tamthilia.Kuna familia kuanzia saa 12 jioni hadi saa 4 usiku ni tamthilia bandika bandua. Yaani hata taarifa ya habari ya saa 2 usiku unaangalia kupitia youtube kwani remote hugusi na TV yenyewe moja tu.