Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Huyu hapana 🤣🤣🤣Kumbe!
Mimi namuongelea William Mtitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hapana 🤣🤣🤣Kumbe!
Mimi namuongelea William Mtitu
Ngoja nitaulizia habari zake leo nitakufahamisha, nafahamiana na mtu wake wa karibu.Hivi mtitu wa Game first Quality yupo wapi maana ni moja ya director bora wa films lakini hapendi spotlight kabisaa.
Hapati maua anayostahili
Na wengine wanadai ye mwenyewe ana mushkeli,yeah ni maisha binafsiKumbe Isike nae sio msafi kihivyo? Ila hayo ni maisha binafsi…
Basi mi siku zote najuaga ndio huyohuyo wa mtitu game😂😂😂😂Huyu hapana 🤣🤣🤣
Azam TV ndiyo balaa,Kuna watu wapitishaji wa awali,hapo kazi ikiwa nzuri inapita,Sasa Kuna wamba baada ya hapo ili ipangiwe ratiba na fungus,lazima utoe cash,wao hawataki ukilipwa,yaani utoe mfukoni 10mnifah pitapita na pale azamtv. nasikia msimamizi wa chaneli ya sinema zetu ambayo imepewa jukumu la kuonyesha local tv series, ana michezo kama ya huyo wa dstv.
na yeye ni mwanamama/mwanadada pia. sasa unaambiwa usipotoa kwake ushirikiano wa rushwa , series/movie yako hata iwe bora kiasi gani, haiwezi kukubaliwa kuonyeshwa na azamtv.
Mpaka upatikane ushahidi usio na shaka kama wa Isike, habari za kusikia tu hazina mashiko Mkuu.nifah pitapita na pale azamtv. nasikia msimamizi wa chaneli ya sinema zetu ambayo imepewa jukumu la kuonyesha local tv series, ana michezo kama ya huyo wa dstv.
na yeye ni mwanamama/mwanadada pia. sasa unaambiwa usipotoa kwake ushirikiano wa rushwa , series/movie yako hata iwe bora kiasi gani, haiwezi kukubaliwa kuonyeshwa na azamtv.
Tunzeni ushahidi sasa, jifunzeni kwa mwenzenu Isike.Azam TV ndiyo balaa,Kuna watu wapitishaji wa awali,hapo kazi ikiwa nzuri inapita,Sasa Kuna wamba baada ya hapo ili ipangiwe ratiba na fungus,lazima utoe cash,wao hawataki ukilipwa,yaani utoe mfukoni 10m
Sawasawa na uaminifu ktk mapenzi, ukimpata muaminifu mshikilie sana😄😄
Huwa wanachanganya Ila ni watu tofauti.. Mtitu wa game first quality nilishawahi kumuona mara moja akihojiwa na sio huyo. Labda kama nichanganye mafile lakini mtitu aliyewatoa ray, kanumba, wema kwenye movies sio huyoBasi mi siku zote najuaga ndio huyohuyo wa mtitu game😂😂😂😂
Hee[emoji15]Azam TV ndiyo balaa,Kuna watu wapitishaji wa awali,hapo kazi ikiwa nzuri inapita,Sasa Kuna wamba baada ya hapo ili ipangiwe ratiba na fungus,lazima utoe cash,wao hawataki ukilipwa,yaani utoe mfukoni 10m
Hizo movies zote za kina Kanumba nazijuaHuwa wanachanganya Ila ni watu tofauti.. Mtitu wa game first quality nilishawahi kumuona mara moja akihojiwa na sio huyo. Labda kama nichanganye mafile lakini mtitu aliyewatoa ray, kanumba, wema kwenye movies sio huyo
Yaani hawakuzi Sanaa Wala nini, azam anatoa 2.5 m kwa episode,na hapo ndo kaongeza,Sasa wasanii watalipwa Bei gani,production!?..halafu producer abaki na ngapi!?..Sanaa haitokuaHee[emoji15]
Hadi Azam kumbe Kuna hayo mambo?
Maskini waigizaji wetu wana hali ngumu[emoji3064]
Wanaopata hawawezi kuwa Kama isike,halafu isike kishafanya mambo yawe magumu,maana kazi nyingi Sasa zitapigwa chini,maana zilikua zikipita kidilidiliTunzeni ushahidi sasa, jifunzeni kwa mwenzenu Isike.
Kuna mtitu bichwa na mtitu game first qualityHuwa wanachanganya Ila ni watu tofauti.. Mtitu wa game first quality nilishawahi kumuona mara moja akihojiwa na sio huyo. Labda kama nichanganye mafile lakini mtitu aliyewatoa ray, kanumba, wema kwenye movies sio huyo
Wote movie zao za kwenye makochi,Musa banzi story zake zilezile,mtu kagongwa gari na mwanamke,mwanamke anamhudumia hospital Kisha anakua Dem wakeHizo movies zote za kina Kanumba nazijua
Basi mimi nilijua ndo huyuhuyu ambaye huwa anaigiza pia.[emoji23]
Nikawa nampa maujiko kuwa jamaa wa kitambo sana,enzi hizo akina Musa Banzi na wenzie.
Wote sijui wamepotelea wapi.
😂😂😂😂🤣Wote movie zao za kwenye makochi,Musa banzi story zake zilezile,mtu kagongwa gari na mwanamke,mwanamke anamhudumia hospital Kisha anakua Dem wake
Hata hizo huba,jua Kali unaona ni ndani,sijui hawawezi andika story za nje!!😂😂😂😂🤣
Kuna dogo nilikuwa napiga naye storiYaani hawakuzi Sanaa Wala nini, azam anatoa 2.5 m kwa episode,na hapo ndo kaongeza,Sasa wasanii watalipwa Bei gani,production!?..halafu producer abaki na ngapi!?..Sanaa haitokua