Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

nifah pitapita na pale azamtv. nasikia msimamizi wa chaneli ya sinema zetu ambayo imepewa jukumu la kuonyesha local tv series, ana michezo kama ya huyo wa dstv.

na yeye ni mwanamama/mwanadada pia. sasa unaambiwa usipotoa kwake ushirikiano wa rushwa , series/movie yako hata iwe bora kiasi gani, haiwezi kukubaliwa kuonyeshwa na azamtv.
Azam TV ndiyo balaa,Kuna watu wapitishaji wa awali,hapo kazi ikiwa nzuri inapita,Sasa Kuna wamba baada ya hapo ili ipangiwe ratiba na fungus,lazima utoe cash,wao hawataki ukilipwa,yaani utoe mfukoni 10m
 
nifah pitapita na pale azamtv. nasikia msimamizi wa chaneli ya sinema zetu ambayo imepewa jukumu la kuonyesha local tv series, ana michezo kama ya huyo wa dstv.

na yeye ni mwanamama/mwanadada pia. sasa unaambiwa usipotoa kwake ushirikiano wa rushwa , series/movie yako hata iwe bora kiasi gani, haiwezi kukubaliwa kuonyeshwa na azamtv.
Mpaka upatikane ushahidi usio na shaka kama wa Isike, habari za kusikia tu hazina mashiko Mkuu.
 
Sawasawa na uaminifu ktk mapenzi, ukimpata muaminifu mshikilie sana😄😄
Tena huko kwenye mapenzi ndio uadilifu uliisha zamani, kama ukibahatisha mmoja, usimkwaze hata kidogo.

Zamani ilikuwa wanaume ndio wanajisifu kuwa na wanawake wengi, kwa sasa hata wanawake pia wanajisifu kuwapanga wanaume tena bila hata aibu!
 
Huwa wanachanganya Ila ni watu tofauti.. Mtitu wa game first quality nilishawahi kumuona mara moja akihojiwa na sio huyo. Labda kama nichanganye mafile lakini mtitu aliyewatoa ray, kanumba, wema kwenye movies sio huyo
Hizo movies zote za kina Kanumba nazijua
Basi mimi nilijua ndo huyuhuyu ambaye huwa anaigiza pia.[emoji23]
Nikawa nampa maujiko kuwa jamaa wa kitambo sana,enzi hizo akina Musa Banzi na wenzie.

Wote sijui wamepotelea wapi.
 
Kuna mtitu bichwa na mtitu game first quality
 
Hizo movies zote za kina Kanumba nazijua
Basi mimi nilijua ndo huyuhuyu ambaye huwa anaigiza pia.[emoji23]
Nikawa nampa maujiko kuwa jamaa wa kitambo sana,enzi hizo akina Musa Banzi na wenzie.

Wote sijui wamepotelea wapi.
Wote movie zao za kwenye makochi,Musa banzi story zake zilezile,mtu kagongwa gari na mwanamke,mwanamke anamhudumia hospital Kisha anakua Dem wake
 
Yaani hawakuzi Sanaa Wala nini, azam anatoa 2.5 m kwa episode,na hapo ndo kaongeza,Sasa wasanii watalipwa Bei gani,production!?..halafu producer abaki na ngapi!?..Sanaa haitokua
Kuna dogo nilikuwa napiga naye stori
Ni upcani actor..Kuna kazi alisema atakuwepo inakuja ila ilivyokuja hakutokea

Kumuuliza ,akasema walishindwana malipo...hela ndogo mno akaona bora aipige tu chini.

Pia malipo yanategemea na character Yako na jina lako pia.
Wenye majina Makubwa unakuta mpunga angalau unaeleweka..
Beginners ndio hivyo mnabargain.

Maproducer wanafanya hivyo ili nao wabaki na chochote kitu..
Ndo maana wengine anaamua acheze tu uswahilini mwanzo mwisho ili abane bajeti kama mambo yenyewe ndio hayo ya kutoa hongo
 
Back
Top Bottom