Kumekucha: Israel yatangaza ipo tayari kwa vita na yeyote Middle East na mbaya wake yeyote. Mbwai Mbwai tu

Kuna wakati watu kukudharau si kwamba wanakuogopa, mwambia Israel ajaribu tu kwa Saud Arabia, wachana na Egypt

Algeria, Egypt, Morocco, Yemen hawa number ingine, afu Iran
Israel hajawahi anzisha vita kwa tarifa yako... vitabu vya Mosomo vya elimu za kiarabu zinawafundisha waarabu wawe na chuki dhidi ya Wayahudi.. so hii dhima wakikua wanashangaa sana kuona Israel hachokozi mtu ila ukimtisha anakuchapa tu... Hii imefanya nchi za kiarabu kugundua ujinga wa Maalim zao madrassa kuwa waliwadanganya.... Muslim in the Middle east wanaaminishwa Jews wana mikia kama nguruwe, Jews walimuua Mtume wao, kila jambo baya linasababishwa na Jews.. Even Saudia Arabia kasema mpango wa ushirikiano na Israel bado haujaisha.. Jeshi la Israel ni for Defence only.. Nitakuja na Nakala from Ben Shapiro ndio mtajua mnaichukia bure Israel kuhusu Palestina... Nchi ile last time i checked ilikuwa chini ya Uingereza na raia walikuwa ni Arabs na Jews.. Uingereza alitaka awape nchi yote ambayo ilikuwa ni Palestine na Trans Jordan.. Baadae wakaigawa arabs na jews so Arabs waliokuja kujiita Palestina wote wanatakiwa kuishi upande wa Jordan but Israel ni eneo lote la Jordan na haifa Gaza.
 
Tatizo hujawahi enda Jeshini.. hapo ungekuwa ushaelewa nini cha kufanya... kacheze rede na Dadako achana na Mijadara wa Wajeda
 
Kuna wakati watu kukudharau si kwamba wanakuogopa, mwambia Israel ajaribu tu kwa Saud Arabia, wachana na Egypt

Algeria, Egypt, Morocco, Yemen hawa number ingine, afu Iran
Algeria, Yemen na Moroco wananini air force ya kupigana na myahudi? Hata Iran ana airforce ya kupigana na Israel?
 
Takbirrrr, kazi iendelee. Mungu ibariki Israel.
 
Shekhe Ponda naye anatafutwa?

Iziail tuwaacheni hao watu, wako mbele kama mshale wa saa!
Huyo sio wa kumfikiria,sniper mmoja tu anakuja maliza hiyo kazi.
Au atapewa tende na biryani kwaheri.
 
K
Kwa hisani ya Photoshop ya Mbagala kwa Mfuga Nyoka.
 
Wanadharauliana; simple. Hamas watulie wataumia.
We wacha kusikiliza propoganda za Israel, wenzako leo tu vifaru na magari 21 yamemalizwa atatoka Gaza very soon atake asitake, mimi nataka aendelea kukataa kusimamisha vita kama anavyo jidai 😄

Hi ndio Time ya kuimaliza Israel, sababu dunia nzima imeisha anza kufahamu hao Israel jeshi lao ni zero kabisa hawana zaidi ya kufanya genocide kwa kutumia silaha za bure wanaza pewa na America pamoja na Europe na Canada


Hamasi jeshi Lake liko fit kabisa We huoni missiles zinaruka kama kawaida afu hao vifaru vyao vimebaki vingapi pale Gaza na walingia navyo vingapi 😄
 
Dah; mbona kama ni tangazo la vita kwa Iran! Hamkani si shwari! Jana Xi alikuwa Washington akibadilishana mawazo na Biden!
Walipovamiwa waisrael walisambaa duniani nzima na kipindi hicho walishika nafasi kubwa kwenye mataifa mengine.
Israel ilipotangaza vita, meli za kijeshi, silaha, ndege na wanajeshi wa Marekani walienda kupiga kambi karibu na Israel hiyo kwa maana kwamba hiyo vita hakuna wa kuingilia. Hautamuona Iran kasogeza pua pale.
Ataingilia atakiona ndiyo maana haujaona mataifa mengine yamesogeza pua zao pale Israel
Unaijua familia ya kitajiri ya Lost child family ya Marekani?
 
Kama Iran atamshindwa islaer katika kipindi hiki,basi akae akijua kabisa kwamba siku inakuja hambapo raia wa Iran wataanza kuishi kama wapalestina wa westbank

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwamba hajipendi? Gaza iko karibu sana ndo maana Israel inashindwa tumia mabomu makubwa makubwa
 
Naona unajipa matumaini hewa. Kamuulize shekh ponda alivyoandaa maandamano, hali ni mbaya.
Mtaandamana lini au mtaandamana ndani ya msikiti?
Unajua kitakachotokea hapo hospitalini? Lile tukio la octoba 7 linaenda kitokea hapo
 
Kuna wakati watu kukudharau si kwamba wanakuogopa, mwambia Israel ajaribu tu kwa Saud Arabia, wachana na Egypt

Algeria, Egypt, Morocco, Yemen hawa number ingine, afu Iran
Algeria, Egypt, Saud Arabia Jordan, Yemen Hawa wote wananunua silaha marekani. Ambapo watengenezaji was izo silaha ni wayahudi awo awo, Sasa wanashindaje iyo vita
 
Kuna wakati watu kukudharau si kwamba wanakuogopa, mwambia Israel ajaribu tu kwa Saud Arabia, wachana na Egypt

Algeria, Egypt, Morocco, Yemen hawa number ingine, afu Iran
Uwezo wa medani haudanganyi bro, kila kitu kinatokana historia leo tunasema russia ana uwezo kutokana na historia ya ww2 alivyomtwanga hitler. Haya mambo hayataki uwe emotional kuyajua israel na ushenzi wake wote kwenye medani ni moto wa kuotea mbali. Misri, syria na majirani wengine wanamjua vizuri tu.
 
Kelele nyingi wakati Yemen kila siku anajipigia miji ya Israel wamekaa kimya kama uwoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…