Kumekucha: Israel yatangaza ipo tayari kwa vita na yeyote Middle East na mbaya wake yeyote. Mbwai Mbwai tu

Watu wanao jiamini nawakubali sana, Netanyahu, Putin, Magufuli, Gaddafi..... Yaani ni mbaya mbaya
 
Kama Iran atamshindwa islaer katika kipindi hiki,basi akae akijua kabisa kwamba siku inakuja hambapo raia wa Iran wataanza kuishi kama wapalestina wa westbank

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Waisrael wenyewe ndio Hawa wanaojinyea nyea kama Wanamgambo wasiokua na zana wamewatoa kinyesi Iran si anakwenda kuichoma miji yote....
 
Kama Iran atamshindwa islaer katika kipindi hiki,basi akae akijua kabisa kwamba siku inakuja hambapo raia wa Iran wataanza kuishi kama wapalestina wa westbank

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
kwa bahati mbaya, muda si mrefu iran atakuja kuishi kama iraq, vuruvuru. kwasababu yupo kwenye radar miaka mingi sana. Uturuki ana jeshi kubwa lakini hana uwezo kupigana na israel kwasababu amewashindwa hata waasi wa Kurdi wanaomsumia miaka nenda rudi na wale wanaishi tu kawaida hawana hata mahandaki kama hamas na wala hawajajificha kwenye makazi ya watu.
 
Majenerali wa Israel sio ndio Hawa wanatangaza ushoga wengi wao mabwabwa wananuka mafuta ya nazi
 
Sijaelewa; kwani Sheikh Ponda aliteleza ulimi dhidi ya wana wa Yakobo? Anaingiaje kwenye huo mtanange Israel vs magaidi?
Dini imekuathiri mno. Upo brainwashed kabisa hata uelezwe uhalisia wa mambo hutoelewa.
 
Iran isipoangalia inaweza kuwa ndiyo inatafutwa! Kuwepo kwa manowari za Marekani Mediterenian siyo ishara nzuri kwa Irani.
Lakini hata hivyo, Mpaka dakika hii Irani na Hezibollah wameshaanza kunywea! Irani imeshabadili lugha, inasema haina nia ya kupanua mzozo huu kwingine kwa ajili ya huu mgogoro wa Gaza!
 
Unameza propaganda za Israel na Marekani jana hiyo Hezibollah kapiga kombora watu wanalia huko.
27 hours w/o electricity in Shomera in Israel: Settlers say it's unbelievable that Lebanon has electricity but we don't!
😂
 

Attachments

  • twidown.mp4
    1.9 MB
Unaleta mipasho tu mateka wamekombolewa hata mmoja?
 
Tarehe 3 Mwezi Novemba, Mgambo mkuu anayeungwa mkono na Iran Hassan Nasrallah alivunja ukimya na kuionya Israel kama itaishambulia nchi yao ya Lebanon. kisha akapotea hewani maana anaongea akiwa kwenye Handaki akiogopa kuuliwa na Israel.
Kwamba aliongea huku kajificha.. kelele mingi afu waoga
 
Unaleta mipasho tu mateka wamekombolewa hata mmoja?
Yes Mmoja alipatikana muda mchache tu walipo ingia Gaza.. vipi ulikuwa umelala au Pombe hazijakuisha kichwani?

Israeli forces rescue captured soldier; Hamas releases video of 3 other hostages​

Israeli government and military did not elaborate on circumstances of Ori Megidish's release​

The Associated Press · Posted: Oct 30, 2023 2:35 PM EDT | Last Updated: October 31
 
Dah; mbona kama ni tangazo la vita kwa Iran! Hamkani si shwari! Jana Xi alikuwa Washington akibadilishana mawazo na Biden!
Irani hatakuja kuvamiwa kijeshi hata siku moja, Bali anaweza kupigwa kwa teknolojia za kutisha zilizopo pale area 51 Nevada marekani, Kama tetemeko la ardhi n.k ambazo zitampelekea kusarender. Hivyo hawa wayahudi feki wa kizungu hawana huo uwezo wa kuishambulia kijeshi Irani maana wanajua fika ni kujitafutia kifo na anguko lao la mapema kabla ya kukamilisha malengo yao ya kishetani.
 
Hamna kitu anamtegemea US kwa kila kitu, sasa ngoja ashughulikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…