Kumekucha: Israel yatangaza ipo tayari kwa vita na yeyote Middle East na mbaya wake yeyote. Mbwai Mbwai tu

Wewe kondoo wacha story za vijiweni leta dalili wapi Israel anaishi vizuri kila sehemu alipoishi amefukuzwa fatilia story zao vizuri dunia nzima ilikuwa haiwataki akaja kupewa sehemu na uingereza hapo Palestine

Abu obaida anatoa speech Live hapo Gaza leo eti Israel wako Gaza 😄

Wamefika Al Shifaa Hospita kwa kutimia njia ya bahari kukwepa kule North


View: https://youtu.be/k-bNAPvP9-s?si=SVBJNkqAXtn2YjNa
 
Unatafsiri kiingereza kwenda kiswahili neno kwa neno,kuna member yeyote hapa jamii forum amekwambia hajui kiingereza?
 
Hao mwisho wao umefika na wanalielewa hilo, tazama makomandoo wa kiyemeni utafikiri movie, live:

Your browser is not able to display this video.
na
 
Hao mwisho wao umefika na wanalielewa hilo, tazama makomandoo wa kiyemeni utafikiri movie, live:

View attachment 2820214na
Hezbollah watakuwa wamejiandaa sana na Israel isikulupuke maana watakipata wasichokitarajia kabisa.

Nimemsikia kiongozi mmoja wa hezibollah amesema wameangalia kwa umakini mkubwa jinsi Israel inavyofanya distraction Ghaza na wamesema wanayo majibu. Amesema wana missiles zenye uwezo wa kufunya maangamizi makubwa sana. Israel ilijaribu kufanya kama inavyofanya Gaza basi wao watajibu mara mbilo yao. Naona Netanyau safari hii kapatikana mambo hayatakwenda kama alivyotarajia
 
Baharini kuu wanawekwa sawa na Wayemeni, chini huko wanahenyeshwa na HizboLlah, kati hapo wanaendelea kuchezea kichapo cha Abou Obaidah:

Your browser is not able to display this video.
 
The zionist propaganda was failing completely on the online platform.
😂
 
Hizbollah siku zote imekuwa ikiwapa kichapo mazayuni, hawakomi tu.

Tazma hapa, Hizbollah wamewasha kote:

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa ufahamu wangu North Korea yuko vitani muda wote.
 
Kwa ufahamu wangu North Korea yuko vitani muda wote.
Yuko kwenye state of war ila sio battle. Hawajawa na battle since Korean wars za late 1950s. Hakuna mwanajeshi yeyote Korea pale kazaliwa nchi ikiwa vitani. So huwezi toa medali hovyo kuzijaza na hamna vita mnapigana
 
Kama Iran atamshindwa islaer katika kipindi hiki,basi akae akijua kabisa kwamba siku inakuja hambapo raia wa Iran wataanza kuishi kama wapalestina wa westbank

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russi na China haiwezi ruhusu kibaraka wa US asogelee Asia.... it'll be decided by the world powers.
 
Ni wakati muhafaka, Ndugu zangu wayahudi, watoe somo kwa arabs,and islam by extension, we are setting a precedent for all Arabs nation in the middle East, We jews are here to stay as long as this universe as we know it, exist.
Wapigwe tu.
 
Netanyau na uwendawazimu wake hivi kwanini hajichanganyi akaiataki iran?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…