Kumekucha: Israel yatangaza ipo tayari kwa vita na yeyote Middle East na mbaya wake yeyote. Mbwai Mbwai tu

Kumekucha: Israel yatangaza ipo tayari kwa vita na yeyote Middle East na mbaya wake yeyote. Mbwai Mbwai tu

Israel hajawahi anzisha vita kwa tarifa yako... vitabu vya Mosomo vya elimu za kiarabu zinawafundisha waarabu wawe na chuki dhidi ya Wayahudi.. so hii dhima wakikua wanashangaa sana kuona Israel hachokozi mtu ila ukimtisha anakuchapa tu... Hii imefanya nchi za kiarabu kugundua ujinga wa Maalim zao madrassa kuwa waliwadanganya.... Muslim in the Middle east wanaaminishwa Jews wana mikia kama nguruwe, Jews walimuua Mtume wao, kila jambo baya linasababishwa na Jews.. Even Saudia Arabia kasema mpango wa ushirikiano na Israel bado haujaisha.. Jeshi la Israel ni for Defence only.. Nitakuja na Nakala from Ben Shapiro ndio mtajua mnaichukia bure Israel kuhusu Palestina... Nchi ile last time i checked ilikuwa chini ya Uingereza na raia walikuwa ni Arabs na Jews.. Uingereza alitaka awape nchi yote ambayo ilikuwa ni Palestine na Trans Jordan.. Baadae wakaigawa arabs na jews so Arabs waliokuja kujiita Palestina wote wanatakiwa kuishi upande wa Jordan but Israel ni eneo lote la Jordan na haifa Gaza.
Wewe kondoo wacha story za vijiweni leta dalili wapi Israel anaishi vizuri kila sehemu alipoishi amefukuzwa fatilia story zao vizuri dunia nzima ilikuwa haiwataki akaja kupewa sehemu na uingereza hapo Palestine

Abu obaida anatoa speech Live hapo Gaza leo eti Israel wako Gaza 😄

Wamefika Al Shifaa Hospita kwa kutimia njia ya bahari kukwepa kule North


View: https://youtu.be/k-bNAPvP9-s?si=SVBJNkqAXtn2YjNa
 
Unatafsiri kiingereza kwenda kiswahili neno kwa neno,kuna member yeyote hapa jamii forum amekwambia hajui kiingereza?
 
FORCE OF IRON

Major General Tomer Bar made the chilling warning in an TV address today
Pichani :Meja Generali Tomer Bar ametoa Onyo kwenye Televisheni leo

Israel vows they are ready to bomb across ‘entire Middle East’ in major warning to Iran and Hezbollah
Israel wanajivunia kuwa wapo Tayari kulipua 'eneo lolote la mmashariki ya kati' ikiwa ni onyo kali kwa Nchi Wapiga mikwara mingi bila vitendo Iran na Wanamgambo hovyo wa Hezbollah.

In a TV address today, Major General Tomer Bar, said: “We are hitting Hamas on the ground and below the ground.

Alipokuwa akielezea kwenye runinga leo hii Meja Tomer Bar, alisema 'tunawapiga Hamas ardhini na chini ya ardhi.

"We have hit thousands of terrorists, and we will reach all of them."
Tumewaua maelfu ya magaidi, and tutawafikia woteeeee.

He added: “The Air Force as the strategic arm of the State of Israel is prepared and operates all over the Middle East, in every required arena, anywhere."

Aliongezea, ''Jeshi la Anga la Israel limejipanga kwa mipango kabambe na imejiandaa haswa kutoa dozi Mashariki ya kati yote, kwa kila mjengo, popote pale Dozi tu.

Since Israel declared war on Hamas following their bloody October 7 cross-border killing spree, Iran-backed terror groups in Lebanon and Yemen have repeatedly threatened to open up new fronts in the conflict.
Tokea Israel ilipotangaza vita na Mgambo wa Hamas kufuatia umwagaji damu Tarehe 7 mwezi oktoba kuvamiwa ndani ya mpaka wake na kuuliwa kwa raia wake, Magaidi wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon na Yemen walianza kuitishia kuingia nao vitani mstari wa mbele kwenye huo mgogolo wa kivita.

Lebanon's Hezbollah and Yemen's Houthi rebels are part of Iran's self-styled "Axis of Resistance" against Israel and have been striking both Israeli and US targets in "solidarity" with Hamas.

Hezbollah wa Lebanon na Mgambo Wahouthi wa Yemen wamo kwenye mipango binafsi wa ushirikiano ulioundwa na nchi ya Irani unaioitwa Axis of Resistance ' Uzuizi dhidi ya Israel and wamesha tuma makombora ya vilipukizi nchini Israel na Makambi ya jeshi la Marekani huko Iraq, ili kuonesha dhana yaa kuwa wapo pamoja kwa Hamas.

Hezbollah in particular has been pounding Israeli military positions in the country's north with mortar fire and suicide drones, while Israel has retaliated with warplanes, helicopters and missiles.

Kwa upande wa Hezbollah wao washaishambulia maeneo ya kijeshi yaliyopo kaskazini mwa Isreal kwa kutumia maroketi na ndege zisizo na rubani, pia Israel amekuwa akijibu maipo kwa ndege, Helikopta na maroketi pia yenye Shabaha.

The border skirmishes have further fuelled fears that the conflict may spiral into an all-out war across the Middle East.

Mapambano ya Mipakani yameendelea sana hadi kuna wasiwasi kuwa yanaweza yakaongezeka na kuja kuwa vita kamili mashariki ya kati yote ambako Meja huyo ameshasema Israel ipo tayari Nia ipo na uwezo wanao. alioongezea kuwa amesikia kuwa kuna Shekh Tanzania anajiita Ponda nae watakuja kumponda sababu nia za watu wanaopinga ni kutaka Taifa la Israel lipotee na hii ni vita kwa uhai wao na watashinda tu kwani washamuomba Mungu wao Aliye hai na sio Jiwe jeusi kwa majirani zao. Bwai mbwai tu

On November 3, Iran's leader Hassan Nasrallah broke his silence to warn Israel that against attacking Lebanon.
Tarehe 3 Mwezi Novemba, Mgambo mkuu anayeungwa mkono na Iran Hassan Nasrallah alivunja ukimya na kuionya Israel kama itaishambulia nchi yao ya Lebanon. kisha akapotea hewani maana anaongea akiwa kwenye Handaki akiogopa kuuliwa na Israel.
Hao mwisho wao umefika na wanalielewa hilo, tazama makomandoo wa kiyemeni utafikiri movie, live:

na
 
Hao mwisho wao umefika na wanalielewa hilo, tazama makomandoo wa kiyemeni utafikiri movie, live:

View attachment 2820214na
Hezbollah watakuwa wamejiandaa sana na Israel isikulupuke maana watakipata wasichokitarajia kabisa.

Nimemsikia kiongozi mmoja wa hezibollah amesema wameangalia kwa umakini mkubwa jinsi Israel inavyofanya distraction Ghaza na wamesema wanayo majibu. Amesema wana missiles zenye uwezo wa kufunya maangamizi makubwa sana. Israel ilijaribu kufanya kama inavyofanya Gaza basi wao watajibu mara mbilo yao. Naona Netanyau safari hii kapatikana mambo hayatakwenda kama alivyotarajia
 
Baharini kuu wanawekwa sawa na Wayemeni, chini huko wanahenyeshwa na HizboLlah, kati hapo wanaendelea kuchezea kichapo cha Abou Obaidah:

 
Yes Mmoja alipatikana muda mchache tu walipo ingia Gaza.. vipi ulikuwa umelala au Pombe hazijakuisha kichwani?

Israeli forces rescue captured soldier; Hamas releases video of 3 other hostages​

Israeli government and military did not elaborate on circumstances of Ori Megidish's release​

The Associated Press · Posted: Oct 30, 2023 2:35 PM EDT | Last Updated: October 31
Five people are seen standing in a line for a photo. A young woman with curly hair wearing a white T-shirt is in the middle.
The zionist propaganda was failing completely on the online platform.
😂
 
Hezbollah watakuwa wamejiandaa sana na Israel isikulupuke maana watakipata wasichokitarajia kabisa.

Nimemsikia kiongozi mmoja wa hezibollah amesema wameangalia kwa umakini mkubwa jinsi Israel inavyofanya distraction Ghaza na wamesema wanayo majibu. Amesema wana missiles zenye uwezo wa kufunya maangamizi makubwa sana. Israel ilijaribu kufanya kama inavyofanya Gaza basi wao watajibu mara mbilo yao. Naona Netanyau safari hii kapatikana mambo hayatakwenda kama alivyotarajia
Hizbollah siku zote imekuwa ikiwapa kichapo mazayuni, hawakomi tu.

Tazma hapa, Hizbollah wamewasha kote:

 
Israel majenerali wake wala huwa hawavai nishati kibao kama majenerali wa North Korea na wa Urusi. Wa NK wale Jenerali anaweza vaa nishani za kuzidi kilo moja, zimejaa kifuani hadi tumboni na hawajawahi pigana vita. Israel almost kila kizazi cha mwanajeshi kabla hajastaafu kuna vita Israel itaingia. Hata 2030s si ajabu Israel ikaingia vita au operation nyingine.
Kwa ufahamu wangu North Korea yuko vitani muda wote.
 
Kwa ufahamu wangu North Korea yuko vitani muda wote.
Yuko kwenye state of war ila sio battle. Hawajawa na battle since Korean wars za late 1950s. Hakuna mwanajeshi yeyote Korea pale kazaliwa nchi ikiwa vitani. So huwezi toa medali hovyo kuzijaza na hamna vita mnapigana
 
Ni wakati muhafaka, Ndugu zangu wayahudi, watoe somo kwa arabs,and islam by extension, we are setting a precedent for all Arabs nation in the middle East, We jews are here to stay as long as this universe as we know it, exist.
Wapigwe tu.
 
Netanyau na uwendawazimu wake hivi kwanini hajichanganyi akaiataki iran?
 
Back
Top Bottom