KUMEKUCHA! JNHPP Kuanza kujazwa maji Disemba 15, 2022

Afadhali kabisa pongezi kwamama
 
Vipi Shughuli Ishaanza ?!!!!

Au bado hapajakucha ?
 
JNHPP ni Agenda 2025 hivo lazima ianze kuzalisha umeme na Dkt SSH akigombea ni Urais atafanya rejea kwa kufanikiwa kulamilisha Mradi, CHAWA wanabaki kutekeleza ajenda ya kumnamga Mtangulizi wake (JPM).
Kufa Kufaana.
 
Ruaha kuna ukame basi Kilombero au luwegu!
 
Ni wapi huko bwashee? Ebu tuambie na sisi tujiridhishe! Kama maji yamezuiwa kuingia huko kwa ajili ya jnhpp wakati hata ujazaji maji jnhpp haujaanza maana yake ni kwamba hayo maji yanatiririka bure kwenda baharini. Makes no sense.
Mosi, inaelekea hata Jiografia ya Tanzania huijui vinginevyo wala usingepata taabu kufahamu ni mto upi unaweza kukosa maji kwa ajili ya JNHPP...

Pili, kusema maji yanatirirka bure kwenda baharni kwa mara nyingine unaonesha hata wazi hufahamu kabisa what's going on...

...na kama unafahamu basi itakuwa unasumbuliwa na JPM Paranoia, ambapo watu aina yenu mkiona maelezo kama hayo mnadhani anasemangwa JPM

Mwisho, unatakiwa kufahamu ili maji yajazwe kwenye bwawa yanatakiwa kwanza kuwa reserved. That being said, kutojazwa maji hadi sasa haimaanishi hakuna maji yaliyokuwa reserved kwa ajili hiyo...

...HINT: Jikumbushe angalau Jiografia ya O-Level kuhusu Dams and Reservoirs!
 
Ni wapi huko bwashee? Ebu tuambie na sisi tujiridhishe! Kama maji yamezuiwa kuingia huko kwa ajili ya jnhpp wakati hata ujazaji maji jnhpp haujaanza maana yake ni kwamba hayo maji yanatiririka bure kwenda baharini. Makes no sense.
Mosi, inaelekea hata Jiografia ya Tanzania huijui vinginevyo wala usingepata taabu kufahamu ni mto upi unaweza kukosa maji kwa ajili ya JNHPP...

Pili, kusema maji yanatirirka bure kwenda baharni kwa mara nyingine unaonesha hata wazi hufahamu kabisa what's going on...

Mwisho, unatakiwa kufahamu ili maji yajazwe kwenye bwawa yanatakiwa kwanza kuwa reserved. That being said, kutojazwa maji hadi sasa haimaanishi hakuna maji yaliyokuwa reserved kwa ajili hiyo...

...HINT: Jikumbushe angalau Jiografia ya O-Level kuhusu Dams and Reservoirs!
 
Leo ni Disemba 15,2022 tuwekee hizo video za kuingiza maji tuone
 
Isije kuwa wanajaza bila matengezo kutengemaa ili iharibike waseme tulisema this project is doomed from the scratch...I know Africans
 
Kumbe ni porojo tu!
 
Kumbe ni porojo tu!
It says a lot kwa mtu asiyefahamu hata kutoka Bwawa la Nyerere maji yanaeelekea wapi!

It says a lot kwa mtu asiyefahamu kwamba lazima kuwe na reservoirs ili maji yaweze kuingizwa kwenye bwawa!

And the best way to handle mtu wa aina hiyo ni kumpuuz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…