KUMEKUCHA! JNHPP Kuanza kujazwa maji Disemba 15, 2022

KUMEKUCHA! JNHPP Kuanza kujazwa maji Disemba 15, 2022

It says a lot kwa mtu asiyefahamu hata kutoka Bwawa la Nyerere maji yanaeelekea wapi!

It says a lot kwa mtu asiyefahamu kwamba lazima kuwe na reservoirs ili maji yaweze kuingizwa kwenye bwawa!

And the best way to handle mtu wa aina hiyo ni kumpuuz!

..ukipata muda naomba utumegee elimu kuhusu jiografia na ekolojia ya maeneo ambako huu mradi unatekelezwa.

..pia utueleze jinsi kunavyofikika. Nina jamaa zangu waliwahi kuniambia kuwa Mwalimu Nyerere alilenga kujenga mradi wa umeme pamoja na barabara ya kuelekea kusini ktk mradi wa Stieglers.

..natanguliza shukrani.
 
Kwa mvua zipi?
Mkuu hawa watu hawatoi takwimu kama ukame mkali,au ukame wastani,mvua kidogo,mvua wastani,au mvua mafuriko bwawa hilo hilo litajazwa kwa siku ngapi,au miezi mingapi au miaka mingapi hata karne ngapi?
Nadhani wanajaribu kununua muda ili wabahatishe 2024 ndio wazalishe umeme na si 2023.
Kama wanadai eti limejengwa kwa tekinogia ya kisasa vipi wasiweze kutupa kasi ya ujazo wa maji (Flow Rate)kutoka kwenye ukame mkali hadi mafuriko?
Na kama maji yatakuwa ni shida kujaza bwawa wakati huo,je tutaweza kutumia baadhi ya turbines kufua umeme ?
 
Mamlaka husika,iufahamishe umma kama zoezi la kuanza kujaza maji December 15,2022 limeanza kama ilivyo tangazwa,
-leo ni December 17,2022-update ni suala muhimu sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hawa watu hawatoi takwimu kama ukame mkali,au ukame wastani,mvua kidogo,mvua wastani,au mvua mafuriko bwawa hilo hilo litajazwa kwa siku ngapi,au miezi mingapi au miaka mingapi hata karne ngapi?
Nadhani wanajaribu kununua muda ili wabahatishe 2024 ndio wazalishe umeme na si 2023.
Kama wanadai eti limejengwa kwa tekinogia ya kisasa vipi wasiweze kutupa kasi ya ujazo wa maji (Flow Rate)kutoka kwenye ukame mkali hadi mafuriko?
Na kama maji yatakuwa ni shida kujaza bwawa wakati huo,je tutaweza kutumia baadhi ya turbines kufua umeme ?
haya ni maswali magumu sana! CCM hakuna wa kulijibu. Chadema wanaweza kujibu
 
Mwenye Enzi Mungu atuongoze sisi na Tanzania [emoji1241] yetu walahi [emoji2972]
 
Ujenzi wa Bwawa la JNHPP ni wa teknolojia ya kisasa na uimara wake bwawa hilo litadumu kwa miaka 100 ijayo.
Mradi huu umeleta ajira nyingi sana kwa Watanzania. Mradi umeajiri watu 12,298 huku 11,190 sawa na 90.99% ni Watanzania na 1,108 sawa na asilimia 11.01% wakiwa ni raia wa kigeni.
VP si alisema wataalamu wake siyo wa viwango stahiki wamekosa uzoefu
 
Maji yamejaa mpaka yanamwagikia huku Dashlam.
 
Back
Top Bottom