Watu maskini akili zao hazijai kwenye kijiko cha chai! Tusubiri watasema tusubiri mvua inyeshe ijaze bwawa hadi 2026 litajaa badala ya kuchimba mitaro ya maji toka Ziwa victoria hadi bwawani kwa mwezi mmoja tu!!
Nyerere Dam ni mradi wa Magufuli mama Samia ni Rais mwenye vision anaumalizia ila ingependeza nayeye abuni mradi mwingine mkubwa wa kufua umeme kuzidi Nyerere Dam maana kwasasa kuna tozo zitamsaidia.
Amalize pia SGR haraka na kutandaza reli za kuunganisha mikoa yote kwa reli Iringa, Manyara, Musoma nk
Aondoe kiswahili kuwa lugha ya kufundishia mashuleni iwe English watoto waongee English shuleni nyumbani na mitaani tupate wawekezaji
Akifanya hayo Tanzania itapaa kiuchumi yenyewe tu nasisi binadamu na ndege tutamuimbia Mama Samia na kumpepea!
I pray for her😊