It says a lot kwa mtu asiyefahamu hata kutoka Bwawa la Nyerere maji yanaeelekea wapi!
It says a lot kwa mtu asiyefahamu kwamba lazima kuwe na reservoirs ili maji yaweze kuingizwa kwenye bwawa!
And the best way to handle mtu wa aina hiyo ni kumpuuz!
Mkuu hawa watu hawatoi takwimu kama ukame mkali,au ukame wastani,mvua kidogo,mvua wastani,au mvua mafuriko bwawa hilo hilo litajazwa kwa siku ngapi,au miezi mingapi au miaka mingapi hata karne ngapi?Kwa mvua zipi?
haya ni maswali magumu sana! CCM hakuna wa kulijibu. Chadema wanaweza kujibuMkuu hawa watu hawatoi takwimu kama ukame mkali,au ukame wastani,mvua kidogo,mvua wastani,au mvua mafuriko bwawa hilo hilo litajazwa kwa siku ngapi,au miezi mingapi au miaka mingapi hata karne ngapi?
Nadhani wanajaribu kununua muda ili wabahatishe 2024 ndio wazalishe umeme na si 2023.
Kama wanadai eti limejengwa kwa tekinogia ya kisasa vipi wasiweze kutupa kasi ya ujazo wa maji (Flow Rate)kutoka kwenye ukame mkali hadi mafuriko?
Na kama maji yatakuwa ni shida kujaza bwawa wakati huo,je tutaweza kutumia baadhi ya turbines kufua umeme ?
Bado mradi upo chini ya 85%Tarehe 22/12/2022 Mama Samia anakuja huku mradini.
Subirini tuambiwe mradi umefikia 90%.
Nnachokijuaaa!!!.
VP si alisema wataalamu wake siyo wa viwango stahiki wamekosa uzoefuUjenzi wa Bwawa la JNHPP ni wa teknolojia ya kisasa na uimara wake bwawa hilo litadumu kwa miaka 100 ijayo.
Mradi huu umeleta ajira nyingi sana kwa Watanzania. Mradi umeajiri watu 12,298 huku 11,190 sawa na 90.99% ni Watanzania na 1,108 sawa na asilimia 11.01% wakiwa ni raia wa kigeni.
Ujazo wa mabwawa haupimwi kwa Lita unapimwa kwa Mita (kina)Vipi Sasa hivi tumefikia ujazo wa lita ngapi ?[emoji205]
Ahsante kwa masahihisho, je umefikia mita ngapi mpaka sasa na hiyo hatua inatarajia kumalizika lini ?Ujazo wa mabwawa haupimwi kwa Lita unapimwa kwa Mita (kina)
Kila kitu jeshi. Zimamoto, uhamiaji, misitu, wanyamapori, nk nk na unatakw RUBADA. Si afya kwa nchi.
Acholile Kachola!! Choni MnyanguISIWE ZILONGWA MBALI ZITENDWA MBALI.
Ndiyo Ukweli WenyeweIkianza uzalishaji unit moja iwe sh 50, au siyo ndugu zangu.
Kama Kawaida77% wanajaza maji? !! Politricks!!