Si waende njia ya Kimara? Maana haina kabisa mabasi. Biashara ni ushindani, ukiritimba hupandisha bei ya bidhaa na kupunguza ubora wa huduma.Kumbuka kwa sasa wanachaji nauli sh 1000 kituo hadi kituo, hiyo haitoshi kwa sasa wametuma ombi kwa LATRA kuwa wanafanya kazi kwa hasara hivyo wameomba kuzifungia daladala na bajaji zote njia ya Mbagala Kariakoo wabaki wenyewe
Je, wataweza?
Kuchele tena!🥺🥺🥺😭Kumbuka kwa sasa wanachaji nauli sh 1000 kituo hadi kituo, hiyo haitoshi kwa sasa wametuma ombi kwa LATRA kuwa wanafanya kazi kwa hasara hivyo wameomba kuzifungia daladala na bajaji zote njia ya Mbagala Kariakoo wabaki wenyewe
Je, wataweza?
Hasara kiaje wakati yale magari yanajaza hadi watu wanashindwa kupumua?Kumbuka kwa sasa wanachaji nauli sh 1000 kituo hadi kituo, hiyo haitoshi kwa sasa wametuma ombi kwa LATRA kuwa wanafanya kazi kwa hasara hivyo wameomba kuzifungia daladala na bajaji zote njia ya Mbagala Kariakoo wabaki wenyewe
Je, wataweza?
Sio mchezo.Kwani hapo mwanzo wakati wanakuja kuomba kibali hawakuziona hizo daladala na bajaj?
Uwanja wao, refa wao, lakini bado wanataka kuhamisha magoli.
Sasa kwa ule mtiti ruti ya Mbagala uondoe daladala???
Kwani hapo mwanzo wakati wanakuja kuomba kibali hawakuziona hizo daladala na bajaj?
Uwanja wao, refa wao, lakini bado wanataka kuhamisha magoli.
Sasa kwa ule mtiti ruti ya Mbagala uondoe daladala???
Huo mfano wa SGR kwani mabasi yameacha kufanya kazi Dar to DomMaendeleo yoyote yanakuja na hasara kwa wengine hata ujio wa sgr dar~dodoma ulileta hasara kwa wengine.Hivyo hamna budi kukubaliana na uhalisia wala hakuna sababu ya kuyachoma moto.
Na zitachomwa kweli ukiona comments za mwanzo tu hili wazo limeshaibuka basi kwa wananchi ndio litafanyiwa kazi mapema sanaSerikali isirudie makosa ya Kimara. Tuache kuwachokoza wananchi.
Hakuna competition ya daladala na mwendokasi. Mwendokasi ineletwa ili kuwe na organized transport hivyo kwemye njia iliokamilika daladala lazima ziondoke. Phase zote zikitimia daladala zote zitahamia huko nje ya mji. Hio ndio hali halisi. Sio kwasabbau ya Abdul au Samia huo ndio utaratibu wa brt. Hii ya mbagala kivukoni gerezani imekamilika daladala lazima ziondoke zitaemda route ambayo brt haifiki huko huko Mbagala. Mfano Gerezani Tuangoma,Gerezani Mwandege daladala zitaemdelea kuwepo.Wazee wanataka Mbeleko 😂 shenzi taipu. Wakati wanafanya assessment ya biashara yao hawakuona kuwa wanatakiwa ku compete na daladala ambazo zinaenda same route kwa bei nafuu zaidi?
Waendelee vivyo hivyo wakiteseka wengi watarudi kuandamana wengi zaidi awamu nyingine.Hivyo yale ya Mbezi na Kimara yanarudi Mbagala. Duuh
Kinacholalamikiwa siyo daladala kubakiHakuna competition ya daladala na mwendokasi. Mwendokasi ineletwa ili kuwe na organized transport hivyo kwemye njia iliokamilika daladala lazima ziondoke. Phase zote zikitimia daladala zote zitahamia huko nje ya mji. Hio ndio hali halisi. Sio kwasabbau ya Abdul au Samia huo ndio utaratibu wa brt. Hii ya mbagala kivukoni gerezani imekamilika daladala lazima ziondoke zitaemda route ambayo brt haifiki huko huko Mbagala. Mfano Gerezani Tuangoma,Gerezani Mwandege daladala zitaemdelea kuwepo.
Kuna daladala zaKwani Kimara Kivukoni/Gerezani kuna daladala?
Daladala zitabaki kuhudumia njia nyingine