Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Matatizo haya yote yamesababisha na ccm vijana chukueni hatua.
Daah!Waendelee vivyo hivyo wakiteseka wengi watarudi kuandamana wengi zaidi awamu nyingine.
Huko Mbagala hakujakamilika ni vuruvu tu hasa kwenye miundo mbinu ya usafiri kuifikia hiyo mwendokasi. Walichofanikiwa ni kutengeza parking kubwa ya magari pale terminal rangi3 huku wakisahau kuweka mtandao mzuri wa kufika pale/kutoka na kuzunguka kwa magari madogo. Mfano fika pale angalia njia ya kwenda Charambe Mbande. Pako ovyo mpaka kupelekea trafiki kufunga na kamba njia ya kuelekea huko pale round about.Hakuna competition ya daladala na mwendokasi. Mwendokasi ineletwa ili kuwe na organized transport hivyo kwemye njia iliokamilika daladala lazima ziondoke. Phase zote zikitimia daladala zote zitahamia huko nje ya mji. Hio ndio hali halisi. Sio kwasabbau ya Abdul au Samia huo ndio utaratibu wa brt. Hii ya mbagala kivukoni gerezani imekamilika daladala lazima ziondoke zitaemda route ambayo brt haifiki huko huko Mbagala. Mfano Gerezani Tuangoma,Gerezani Mwandege daladala zitaemdelea kuwepo.